Naukumbuka sana usharika huu wa Forest, nilikuwa nasali hapo wakati nasoma chuo cha uhasibu, mchungaji mwakihaba ndiyo alikuwa mchungaji kiongozi, ni mtu mnyenyekevu sana. Hongereni sana wana Forest kwa kumlea vizuri mchungaji hatimaye amekuwa Askofu wenu wa Dayosis ya konde.
Watu wachache wasilichafue kanisa kwa maslahi yao binafsi. Shukrani nyingi kwa Baba Mungu wa mbinguni na kwa Askofu wetu mkuu Dr. Fredrick Shoo,pamoja na kamati aliyoiunda.
Hahaha basi hujajua kuwa hakuna tofauti ya Majina Kati ya Kyela na Rungwe ikiwemo Busokelo! Labda hujajua kuwa sehemu kubwa ya waumini wa KKKT KONDE ni kina Mwa.... Na ndio maana hata hoja ya Ukanda kwa wanaolewa ni MUFLISI! Hao ni ndugu moja!
Jamani mwogopeni Mungu acheni mashindano na mvutatano usiofaa. Wapo waliomwacha Mungu, Mungu naye akawaacha, kilicho wapata baada ya hapo. Wanajua wenyewe. Ebu mwogopeni Mungu.
Nafuuu Mmejibu maana nilistuka kuwaona wachungaji ninaowaamini wapo kwenye kikao kile, maana Matusi kejeli na Vijembe ndio vilitawala, kumbe mtu mmoja ndo aliandaaaa tamko lile ili kuchochea vurugu, Hao watimuliweeee
Neno la Bwana linatuonya kwamba Makwazo hayana budi kuwako,lakini ole wake kwa yule ayasababishayo,itamfaa yeye kufungiwa jiwe la kusagia nakutupwa baharini na huko kutakuwako kilio na kusaga meno.
Bwana wamajeshi twakuomba mgogoro huu ushindwe ili jina lako liinunuliwe. Wachungaji wasio na wito wa kazi yako ndio wanaleta mambo haya.wanataka Mbeya kwenye matanuzi maana tukuyu kijijini Washindwe
Askofu Mwaikali anapenda migogoro nakumbuka alikwendaga kuchochea mgogoro wa Dayosisi ya Sumbawanga. Janani hii ni aibu haya madaraka yatakuwa kuni kwetu
Naukumbuka sana usharika huu wa Forest, nilikuwa nasali hapo wakati nasoma chuo cha uhasibu, mchungaji mwakihaba ndiyo alikuwa mchungaji kiongozi, ni mtu mnyenyekevu sana. Hongereni sana wana Forest kwa kumlea vizuri mchungaji hatimaye amekuwa Askofu wenu wa Dayosis ya konde.
Busikelo Tv taarifa zenu zinaelemea upande mmoja
Watu wachache wasilichafue kanisa kwa maslahi yao binafsi. Shukrani nyingi kwa Baba Mungu wa mbinguni na kwa Askofu wetu mkuu Dr. Fredrick Shoo,pamoja na kamati aliyoiunda.
Hahaha basi hujajua kuwa hakuna tofauti ya Majina Kati ya Kyela na Rungwe ikiwemo Busokelo! Labda hujajua kuwa sehemu kubwa ya waumini wa KKKT KONDE ni kina Mwa.... Na ndio maana hata hoja ya Ukanda kwa wanaolewa ni MUFLISI! Hao ni ndugu moja!
Jamani mwogopeni Mungu acheni mashindano na mvutatano usiofaa. Wapo waliomwacha Mungu, Mungu naye akawaacha, kilicho wapata baada ya hapo. Wanajua wenyewe. Ebu mwogopeni Mungu.
Mm nafkkiri mpo sahihi like tamko liliandaliwa na Mvhungaji Mwambola nafikiri na Askofu mwaikali kutamuwa na kitu sio bule ipo siku Mungu yupo
Kweli chukizo la uhalibifu limeingia patakatifu toba ni muhimu watu wa Mungu ushabiki haufaii
Karibuni tujiunge na kanisa la sabato kweli naamini kanisa la kweli la Mungu Ni sabato
Nani kakudanganya
Nafuuu Mmejibu maana nilistuka kuwaona wachungaji ninaowaamini wapo kwenye kikao kile, maana Matusi kejeli na Vijembe ndio vilitawala, kumbe mtu mmoja ndo aliandaaaa tamko lile ili kuchochea vurugu, Hao watimuliweeee
Neno la Bwana linatuonya kwamba Makwazo hayana budi kuwako,lakini ole wake kwa yule ayasababishayo,itamfaa yeye kufungiwa jiwe la kusagia nakutupwa baharini na huko kutakuwako kilio na kusaga meno.
Kanisani ndo nimefika huko ,,Asomaye na namfahamu.
Amen
Naongana nanyi watumishi wa Mungu mko sahihi
Mbon a nalo Lna migogoeo??
Bwana wamajeshi twakuomba mgogoro huu ushindwe ili jina lako liinunuliwe.
Wachungaji wasio na wito wa kazi yako ndio wanaleta mambo haya.wanataka Mbeya kwenye matanuzi maana tukuyu kijijini
Washindwe
Ubhugulufu nkyeni mwa Kyala mbibhii ngindilile
Hivi kwanini mwaikali na mwambola wasifukuzwe kazi wanataka kufanya kanisa kama lao!t
Nyinyi watu wa Busokelo TV mlidhani askofu ataingia kwenye mtego wenu lakini mmeshindwa maana nyinyi mnaonekana habari zenu zinapendelea upande mmoja.
Unyakyusa
Sio unyakyusa ni ubusokelo
Mwaikali na Mwambola Ni mapepo kamili.
Kulingana na mihemko ya busokelo
hawana uwezo hao
Askofu Mwaikali anapenda migogoro nakumbuka alikwendaga kuchochea mgogoro wa Dayosisi ya Sumbawanga. Janani hii ni aibu haya madaraka yatakuwa kuni kwetu
Makanisa mengine Mby mjini mbona kimya kingi?. HONGERENI Forest. Tuwapinge wanaotaka mgogoro uendelee hasa wapambe wake na Yeye smithereens...
Wao hawataki "ubusokelo" kama wajinga wengine wa jimbo la kati ndio maana wako kimya
Tujue Mungu hadhihakiwi, apabdacho mtu ndicho atakachovuna