Mashallah fursa kama hizi ambazo wengi wetu hawazijui ni vema elimu kama hii isambazwe kwenye skuli zetu lakini pia kuelimishwa Jamii Kwa jumla. Ahsante sana mtarishaji wa video hii.
MaashaAllah, ni muhimu kwa kila mmoja wetu kuisambaza video hii ikiwezekana kwa Wazanzibari wote popote walipo ili kuwa sehemu kuhamasishana na wao kuhamasisha wengine wenye hamu na shauku ya kuitembelea Zanzibar kwa kupata taarifa njema za namna hii. Na shauri kwa documentery nyengine jaribu kushirikisha interviews za wataalamu wanaohusika na mambo ya mazingira na uhifadhi kwani kwa muono wangu hilo Bwawa la Bwani lina mambo mengi unayoweza kuyasimulia hivyo ukapata documenteries nyingi na sio ndege pekee. Nikushukuruni nyote mlioungana kutengeneza Documentery hii. Keep it up!! Amir Hamza Amir.
Mashallah fursa kama hizi ambazo wengi wetu hawazijui ni vema elimu kama hii isambazwe kwenye skuli zetu lakini pia kuelimishwa Jamii Kwa jumla. Ahsante sana mtarishaji wa video hii.
Mashallah ..nipo hapa mlandege ya mbele ya bwawani lakini sikuwahi kuyajua haya.shukraaan
Shukrani tulikuwa hatujui hii umetufumbua nadhani wengi wetu tumefumbuka kwa hii
MaashaAllah, ni muhimu kwa kila mmoja wetu kuisambaza video hii ikiwezekana kwa Wazanzibari wote popote walipo ili kuwa sehemu kuhamasishana na wao kuhamasisha wengine wenye hamu na shauku ya kuitembelea Zanzibar kwa kupata taarifa njema za namna hii. Na shauri kwa documentery nyengine jaribu kushirikisha interviews za wataalamu wanaohusika na mambo ya mazingira na uhifadhi kwani kwa muono wangu hilo Bwawa la Bwani lina mambo mengi unayoweza kuyasimulia hivyo ukapata documenteries nyingi na sio ndege pekee. Nikushukuruni nyote mlioungana kutengeneza Documentery hii. Keep it up!!
Amir Hamza Amir.
Asante Amir kwa niaba ya wenzangu tutaendelea kama ulivyoshauri , ni kweli kuna mambo mengi katika Bwawa hili ambayo yanahitajika kufahamika
Sisi tumezaliwa na kuishi Mchangani hapo wala hatuyajui yote haya. Tunakushukuruni sana kwa bidii na juhudi zenu.