pika hivi chai ya bwanawako ya maziwa iliokolea viungo/)masala milk tea

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 2 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น • 37

  • @roselynekenga7001
    @roselynekenga7001 3 ปีที่แล้ว +1

    Mpaka mpishi nakuskia ukiimezea mate..mashaallah 🥰,,,napenda mm..tapikia mpenzi wangu jameni

  • @najlaskitchen1572
    @najlaskitchen1572 3 ปีที่แล้ว +4

    Ma sha Allah ma sha Allah...chai pambe chai iliyo hitimu chuo kikuu😋😋 nakuja na vitafunwa vyangu tuenjoy shogaangu 🤤🤤

    • @ashayummy2299
      @ashayummy2299  3 ปีที่แล้ว

      😂😂😂chai ya choo kuku njoo my love nakusubiri shukran
      ❤❤❤

    • @shadhiinyoha210
      @shadhiinyoha210 2 ปีที่แล้ว

      Duuh

  • @kareemmkuki-pq8jq
    @kareemmkuki-pq8jq ปีที่แล้ว

    Mashaallah nimependa nzuri san

  • @aminasalamalekumamina6217
    @aminasalamalekumamina6217 3 ปีที่แล้ว

    Salam alekum mashaallah chai nzuri sana

  • @zuwenasabeya1269
    @zuwenasabeya1269 3 ปีที่แล้ว +1

    Mashaallah I like it😍

  • @khadijaidd9032
    @khadijaidd9032 3 ปีที่แล้ว +1

    Mashallah mashallah Allah barik like you mwaa

  • @amrahschannel5599
    @amrahschannel5599 3 ปีที่แล้ว +1

    MashaAllah MashaAllah...imekolea viungo

  • @bindawood978
    @bindawood978 3 ปีที่แล้ว +2

    Maashaallah, chai ya afya!

  • @bellamadeiteasy1693
    @bellamadeiteasy1693 3 ปีที่แล้ว +1

    I love to try this tea with different kind of spices interesting.

  • @fooddiarytz
    @fooddiarytz 3 ปีที่แล้ว +1

    mashallah chai nzuri sana hii mtu akinywa awez sahau atatamani kila siku nakuja na mikate yangu tuinjoy

  • @kareemmkuki-pq8jq
    @kareemmkuki-pq8jq ปีที่แล้ว

    Dad shayami me naomba unitumie mahitaji ya alkasusi

  • @taniascooknlifestyle
    @taniascooknlifestyle 3 ปีที่แล้ว +1

    Nice mashaallah me from Bangladesh

  • @fadhiliosuta1719
    @fadhiliosuta1719 3 หลายเดือนก่อน

    Shukran sana ❤

  • @sofiarajabu1210
    @sofiarajabu1210 9 หลายเดือนก่อน

    Asante dada sha

  • @neemasadiki9474
    @neemasadiki9474 2 ปีที่แล้ว

    Mashalaah

  • @tutiswai6790
    @tutiswai6790 ปีที่แล้ว

    Siwez tia vanilla dada

  • @jamilafuad1159
    @jamilafuad1159 3 ปีที่แล้ว

    Mashallah enjoy

  • @SaumuMohamed-t8v
    @SaumuMohamed-t8v ปีที่แล้ว +1

    Dada hiyo star nikiungogani?

  • @sofiyaalawi127
    @sofiyaalawi127 3 ปีที่แล้ว

    Mashallah

  • @MunaMuna-tn3go
    @MunaMuna-tn3go ปีที่แล้ว

    Dada uko tanga sehemu gani

  • @darlinmamawatatu6411
    @darlinmamawatatu6411 3 ปีที่แล้ว

    😍😍😍

  • @jamilahnaifah2267
    @jamilahnaifah2267 3 ปีที่แล้ว

    Jamani tanga raha jamani eèeeeeeeèe

    • @ashayummy2299
      @ashayummy2299  3 ปีที่แล้ว

      sanaaaaa my dear
      😂😂😂

    • @hawakambio2686
      @hawakambio2686 ปีที่แล้ว

      Hiyo Star ⭐⭐ jina lake yaitwaje

    • @Ali-nl2du
      @Ali-nl2du ปีที่แล้ว

      @@hawakambio2686 Inaitwa star anise kwa kiingereza. (Pronounciation = Star 'Anais')