Lugha hii ni nzuri sema wachungaji wanashindwa kuongoza nakumbuka hata ibada za mazishi ziliongozwa kwa kichaga tunaomba mchungaji ibada za mazishi muimbe kichaga na kiswahili
Ni kweli. Hata sara ya Baba ya Bwana Kiswahili kinasema Baba yetu uliye mbing uni, hii ni tofauti na Isheichwe asingiile omwigulu (lugha ya Kihaya) = Baba unayetawala huko/kutokea mbinguni
KKKT ilikuwa mlinzi na muendelezaji mzuri wa Lugha ya kichagga kwa kuendesha ibada zake.ktk maeneo ya uchagani kwa lugha ya kichagga,leo hii hata wachungaji na wainjilisti Ni wachache Sana waaofahamu kichaga,kiswahili kimetawala,hata vitabu vya Nyimbo Ni vya kiswahili,Lugha yetu ya kichaga itakufa kabisa!
Amen sana najivunia kua mchaga Karibu usharika wa mboni Mchungaji
Nabarikiwa sana ibada yako Mtumishi wa Mungu Mchungaji
Kichaga kipo vzr mtumishi. ameen.
Lugha hii ni nzuri sema wachungaji wanashindwa kuongoza nakumbuka hata ibada za mazishi ziliongozwa kwa kichaga tunaomba mchungaji ibada za mazishi muimbe kichaga na kiswahili
Ni kweli. Hata sara ya Baba ya Bwana Kiswahili kinasema Baba yetu uliye mbing uni, hii ni tofauti na Isheichwe asingiile omwigulu (lugha ya Kihaya) = Baba unayetawala huko/kutokea mbinguni
Nimeipenda sana hiyo tafsiri!
Mungu atusaidie
amina baba mchungaji nasisi wamalangu hatujaachwa nyuma sana
Ameni mtumishi ubarikiwe
Waaa..nami najifunza nami
Nakumbuka nikienda kusali marangu na enjoy sana
Ameen .Aika mana o Ruwa.
KKKT ilikuwa mlinzi na muendelezaji mzuri wa Lugha ya kichagga kwa kuendesha ibada zake.ktk maeneo ya uchagani kwa lugha ya kichagga,leo hii hata wachungaji na wainjilisti Ni wachache Sana waaofahamu kichaga,kiswahili kimetawala,hata vitabu vya Nyimbo Ni vya kiswahili,Lugha yetu ya kichaga itakufa kabisa!
Ameni
Amen
Tengeneza hii clip dk 1 ili tushare
Nyoe muwapatise muworyo ngyiukyiwa kyipfa kya ngyiunyamaryi tsanyu ..........
Amen
Amen