ASSALAAMU ALEYKUM MY BROTHER MY ALLAH ALWAYS BLESSED U AND UR FAMILY AND ALSO GO FOR HAJJ SAUDI ARABIA 🇸🇦 INSHALLAH WITH UR LOVELY FAMILY. I AM ORIGINAL FROM KENYA 🇰🇪 MOMBASA BUT 🇬🇧 I AM LIVING IN UK REMEMBER ME IN UR DUA UR BROTHER SIDIK FROM LONDON 🇬🇧 WS ❤❤❤❤❤❤❤❤ I LOVE UR HISTORY OF 🇿🇦 ZANZIBAR ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
الله على ذلك السلطان سعيد بن سلطان رحمه الذي طور زنجبار و زرع شجرة القرنفل و أصبحت حتى اليوم يعتمد عليها الزنجباريون في معيشتهم و ترك حضارة عظيمة تتحدث عن نفسها أمام الزائرين لزنجبار وكذلك الأجيال القادمة . أبت زنجبار إلا أن تحتضن ذلك الجسد الطاهر ليكون شاهد على حبها له كما كان يحبها و يحب شعبه الزنجباري فيها .
Hiyo history sio ya kweli kabisa na na hili ndio tatizo letu Africa especially Tanzania ukijua kushika mic tu na una channel you tube basi unaongea lolote na kupost unachotakiwa kufanya we kama muandisho unapopata habari kama hizi kabla hujazileta kwetu binafsi fanya research vizuri kwenye swala uliloambiwa kisha lifikishe kwetu sio kuropoka ropoka tu warabu hawakuwa watu wa ovyo kama hivyo warabu ndio watu pekee waliyoijenga Zanzibar kuliko yoyote yule warabu walikuwa watu wema sana
@@abuuthan8716 waarabu wa zamani ni wema kuliko wa sasa? Maana na uliza ivo nmekaa qatar for more than 5 yrs nnaexepience nao utaponijibu twaweza jadili
ASSALAAMU ALEYKUM MY BROTHER MY ALLAH ALWAYS BLESSED U AND UR FAMILY AND ALSO GO FOR HAJJ SAUDI ARABIA 🇸🇦 INSHALLAH WITH UR LOVELY FAMILY. I AM ORIGINAL FROM KENYA 🇰🇪 MOMBASA BUT 🇬🇧 I AM LIVING IN UK REMEMBER ME IN UR DUA UR BROTHER SIDIK FROM LONDON 🇬🇧 WS ❤❤❤❤❤❤❤❤ I LOVE UR HISTORY OF 🇿🇦 ZANZIBAR ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
الله على ذلك السلطان سعيد بن سلطان رحمه الذي طور زنجبار و زرع شجرة القرنفل و أصبحت حتى اليوم يعتمد عليها الزنجباريون في معيشتهم و ترك حضارة عظيمة تتحدث عن نفسها أمام الزائرين لزنجبار وكذلك الأجيال القادمة .
أبت زنجبار إلا أن تحتضن ذلك الجسد الطاهر ليكون شاهد على حبها له كما كان يحبها و يحب شعبه الزنجباري فيها .
Africa they need to rebuild this historic building
Mashamba Yao wameyapata wap
Kumbee mimi hupita nikaona hapo ila sijui kua vyoo
Hahaha 😅😅😂😅😂
Asante sana broh
shukrani
Uwongo mtupu na bado mnaomba msaada kwao
Hao watumwa pia waliruhusiwa kutumia hivyo vyoo au walikuwa wanazoa tu kinyesi cha sultani?
Hivi watu wa sasa tumestarehe kuliko hao masultani wa wakati huo, khabari nyengine mnatuvuruga.
Kila waja nazama zao mzee siku hiz watu wanakula Bata wengi no hela yako tu tofauti na kipindi hicho viongoz tu ndo walikuwa wanakula bata