MATHAYO
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 7 ก.พ. 2025
- Video hii inahusiana na namna ya kutumia uwezo wako wa KIPEKEE MUNGU aliokupa....MUNGU ametupa karama,wito, zawadi mbalimbali za KIPEKEE kulingana na nguvu itendayo kazi ndani yetu hivyo kazi ni kwetu KATIKA kuweza kutambua hizo baraka na kuzitumia ili tuweze kutimiliza kusudi la MUNGU KATIKA maisha yetu kwasababu mwenendo wetu watoka kwake Mungu mwenyewe na sisi tu watoto wake,,chukua hatua ya ki Imani KATIKA kutekeleza hayo.
Blessings 🙏
Amen 🙏
🌅🎁👗🫅💐