Amani by AIC Mwadui Choir - Shinyanga

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 20 ก.ย. 2024
  • Swahili gospel,Tanzania swahili gospe by AIC Shinyanga Mwadui church choir

ความคิดเห็น • 29

  • @esthermutiso7931
    @esthermutiso7931 2 ปีที่แล้ว +1

    More than 10yrs and still enjoy this song

  • @danielkahabi2990
    @danielkahabi2990 7 ปีที่แล้ว

    Kiukweli wimbo huu wa Amani naupenda sana na unafundisha sana maana pasipokuwa na Amani Taifa huangamia MWENYEZI MUNGU azidi kuwatumia, kuwabariki na kuwazidishia ubunifu katika utunzi wa nyimbo BARIKIWENI SANA AMEN.

  • @jeridawilliam7320
    @jeridawilliam7320 ปีที่แล้ว

    Tunaomba mtuwekee Ile album inaitwa.... NURU YA BWANA IKO NA WENYE HAKI

  • @babyboss2886
    @babyboss2886 5 ปีที่แล้ว

    Amani ni kitu cha muhimu kwa nafsi ukiwa na yesu

  • @rosemarybenjamin4333
    @rosemarybenjamin4333 7 ปีที่แล้ว +1

    I kwaya zamn nmechek i think km myak 7 imepit Leo ndo nzion yutub kwaya nzur San 😘😘Aman ni Kwa Yesu

  • @danielndekeja7184
    @danielndekeja7184 4 ปีที่แล้ว +2

    Miaka kadhaa iyopita najiona mm na ndugu zangu tumejipanga tunaucheza huu wimbo hapo microphone n magunzi ya mahindi honestly nilikua sielewi kitu by now naelewa n nn tulikua tunamaanisha

  • @imanueliyonah9138
    @imanueliyonah9138 ปีที่แล้ว

    Mnafanya vizuri sana

  • @bintijuma942
    @bintijuma942 ปีที่แล้ว

    Amina

  • @mashakathomas5231
    @mashakathomas5231 4 ปีที่แล้ว

    Naomba mwalim wa kwaya hii wa enzi hizo anitafute fecbuk ama huyo mama solo au wote wawili pamoja luben au mweye mawasilino nao Wimbo hu huwaga Unanibalik sana na kuimalisha iman yangu. Saana tu jina la fecbuk natumia mashaka thomas. Asanten watumishi. wa MUNGU !

  • @zahorosakala3031
    @zahorosakala3031 6 ปีที่แล้ว

    Kwa kweli, nyimbo zenu nazipendaga. Mbarikiwe zaidi.

  • @godblessbenedict514
    @godblessbenedict514 6 ปีที่แล้ว +1

    kiukweli may God bless you all who sing this son

  • @matondonindwa8967
    @matondonindwa8967 7 ปีที่แล้ว

    Mungu awabariki sana mwandui wimbo mzr sana maana bila amani nishida tupu amen.

  • @selegioelias5524
    @selegioelias5524 7 ปีที่แล้ว

    wimbo wazamani ilakwangu haujachuja naupenda sana solelist huko vzr mno from Dvc

  • @webingogo3633
    @webingogo3633 4 ปีที่แล้ว

    Huu wimbo unaweza kukuliza aisee mama amesolo kwa uchungu sana:

  • @sofiamugabe5476
    @sofiamugabe5476 2 ปีที่แล้ว

    Amen barikiwa sana

  • @ally.mwinyimkuumwinyimkuu2107
    @ally.mwinyimkuumwinyimkuu2107 4 ปีที่แล้ว

    2020 Naitazama vya zaman dhahabu an

  • @josephsuzana2153
    @josephsuzana2153 4 ปีที่แล้ว

    Nimesikiliza hadi nimemiss nyumbani

  • @smoneonlineschool2447
    @smoneonlineschool2447 8 ปีที่แล้ว

    Mbarikiwe sana watumishe

  • @somekemaduhu3232
    @somekemaduhu3232 5 ปีที่แล้ว

    Tumtumikie bwana kwa kumuomba

  • @bigjizee4130
    @bigjizee4130 4 ปีที่แล้ว

    Natamani hii team irudi tena , japo haiwezekani ilikuwa tamu sana enzi hizo

  • @tinajackson1462
    @tinajackson1462 12 ปีที่แล้ว

    mubarikiwe sana

  • @leahshilatu6606
    @leahshilatu6606 5 ปีที่แล้ว

    Amani uko wp

  • @waenzeti
    @waenzeti 14 ปีที่แล้ว

    @mwendethe

  • @imanueliyonah9138
    @imanueliyonah9138 ปีที่แล้ว

    Mnafanya vizuri sana

  • @godblessbenedict514
    @godblessbenedict514 6 ปีที่แล้ว

    kiukweli may God bless you all who sing this son

  • @somekemaduhu3232
    @somekemaduhu3232 5 ปีที่แล้ว

    Tumtumikie bwana kwa kumuomba