Ashley Nassary Ft Henrick Mruma - WEWE UMWEMA(Official Live Video)

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 1 ธ.ค. 2024

ความคิดเห็น • 96

  • @ObbyAlpha
    @ObbyAlpha 2 ปีที่แล้ว +1

    Kaka ubarikiwe mnooo

  • @ianmuthui7061
    @ianmuthui7061 ปีที่แล้ว +1

    This song has become an anthem in our church,,,right here in Kenya following up ❤

  • @Mr_S.M.S8587
    @Mr_S.M.S8587 2 ปีที่แล้ว +1

    Mruma bro hujawahi kosea Mungu Akupe neema zaidi... Asante kwa wimbo mzuri ndugu yangu Nassary unatupeleka viwango vingine Kila wakati.

  • @ponsianojackson2814
    @ponsianojackson2814 2 ปีที่แล้ว +4

    Asubuhi mchana WEWE U MWEMA MUNGU azidi kukupa haja ya Moyo wako ndugu yangu Ashley Nassary 🙏🙏🙏🔥🔥🔥 Naifurahia huduma yako ❤️❤️

    • @kaizamlowe.4851
      @kaizamlowe.4851 2 ปีที่แล้ว

      Amen
      👇🏻👇🏻👇🏻👇🏻👇🏻
      th-cam.com/video/G6a-k5OtzJ0/w-d-xo.html

  • @alexmwakikambako4743
    @alexmwakikambako4743 2 ปีที่แล้ว

    Hallelujah ni kweli asubui adi mchana ni mwaminif sana bwana mungu akubariki kwa kazi nzr

  • @annamkisi373
    @annamkisi373 2 ปีที่แล้ว

    Kila wakati yeye Ni mwemah, nyimbo zurii imejaa utukufu wa Mungu, ubarikiwe Sana na Mungu azidi kukuinua Mtumishi wa Mungu.

  • @noelmgina
    @noelmgina 2 ปีที่แล้ว

    Nimwema kila siku

  • @phiniaskamgishajoseph6853
    @phiniaskamgishajoseph6853 2 ปีที่แล้ว +1

    MUNGU akutunzee 🙏 na akubariki

  • @JonestaPonsian
    @JonestaPonsian ปีที่แล้ว

    .amen Mungu ni mwema mda wote be blessed watumish wa MUNGU

  • @marthakitinusa9696
    @marthakitinusa9696 2 ปีที่แล้ว

    Woow barikiwa Sana Mungu andelee kuwatumia

  • @makungumabeyo9483
    @makungumabeyo9483 2 ปีที่แล้ว +1

    Ubarikiwe sana mdogo wangu, I'm proud of you. Nimefurahi sana na hakika MUNGU ataendelea kukutumia kikubwa endelea kumuheshimu tu.

  • @eliasjeremia4701
    @eliasjeremia4701 2 ปีที่แล้ว +1

    Kazi njema Sana kaka.. Mungu azidi kukuinua kwa utukufu wake

  • @mwalimuleoh
    @mwalimuleoh ปีที่แล้ว

    Yeye ni mwema kila wakati...
    Barikiwa san mtumishi wa Mungu

  • @daniel_sylvester_sonda773
    @daniel_sylvester_sonda773 2 ปีที่แล้ว

    Amen barikiwa sana 💥💥

  • @LeonisiaMyinga
    @LeonisiaMyinga ปีที่แล้ว

    Barikiwa Sana mwanangu❤❤

  • @gracebetwel10
    @gracebetwel10 2 ปีที่แล้ว

    Hakika Asubuhi mchana Yesu ni mwema

  • @ruvugomusic2162
    @ruvugomusic2162 2 ปีที่แล้ว

    Kazi njema, ubarikiwe

  • @rosenamtangi
    @rosenamtangi 2 ปีที่แล้ว

    Mungu azidi kukuinua mtumishi

  • @mtindoelias8888
    @mtindoelias8888 2 ปีที่แล้ว

    Yesu yu mwema sana
    Ubarikiwe sana na uishi sana my brother

  • @ambakisyekediely
    @ambakisyekediely 2 ปีที่แล้ว +2

    This is one amazing Song hakika kila wakat yeye Ni Mwema Hallelujah🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌

  • @JoyceNelvis
    @JoyceNelvis ปีที่แล้ว

    Nabalikiwa Sana na huu wimbo❤

  • @mariammpale6542
    @mariammpale6542 หลายเดือนก่อน

    Hakika 💯🙏🙏

  • @godwingodwin2564
    @godwingodwin2564 2 ปีที่แล้ว

    Kumbe nami nilikuwepo nmejiona et, Kazi nzuri mtu wa Mungu

  • @rabekamwanja1747
    @rabekamwanja1747 2 ปีที่แล้ว

    Uuh nyakati zote ,,,morn ,noon ,nght GOD is good

  • @eliajames1387
    @eliajames1387 2 ปีที่แล้ว

    Hongera mtumishi kazi ni zuri

  • @maucrown2647
    @maucrown2647 ปีที่แล้ว

    Kweli u mwema Yesu wakati woote

  • @pastorzackielmabisaofficia7994
    @pastorzackielmabisaofficia7994 2 ปีที่แล้ว +4

    Yesu akuinue zaidi ya hapa man of God! Hakika Yesu ni mwema. Even in times that we think he's not with us( his absence) no matter what happens he's so good to us

  • @mathewmwasangwale4205
    @mathewmwasangwale4205 2 ปีที่แล้ว

    Amen amen Hakikaa Mungu ni mwema wakati wote asubuh, mchana, jioni hata usiku yeye ni mwema

  • @ruthmwasomola655
    @ruthmwasomola655 2 ปีที่แล้ว

    Hakika Mungu Wetu Asubuhi mchana yeye Nii Mwema barikiwa watumishi wa Mungu 🔥🔥🔥🔥🔥🔥

  • @neemaemily4116
    @neemaemily4116 2 ปีที่แล้ว

    Mungu azidi kukuinua mtumishi , i nabarikiwa sana ukiwa kazini yaan shambani mwa Bwan🌺

  • @goodluckmsuya8994
    @goodluckmsuya8994 2 ปีที่แล้ว

    Mungu akubariki sana mdogo wangu hongera ukiri huu mzuri

  • @michaelsollo190
    @michaelsollo190 2 ปีที่แล้ว

    Yes, Mungu ni mkuu sana, na kwa shauku kubwa nilikuwa nasubiri huu wimbo, mbarikiwe mno na Mungu awaongezee neema kubwa

  • @mariammbwaga8463
    @mariammbwaga8463 ปีที่แล้ว

    Wewe u mwema👏👏👏

  • @davidfrank1644
    @davidfrank1644 2 ปีที่แล้ว

    Goodwork shemej

  • @EmmaFrancis14
    @EmmaFrancis14 2 ปีที่แล้ว

    God bless MOG nyimbo kubwa sana

  • @happymuwelelwa4796
    @happymuwelelwa4796 2 ปีที่แล้ว

    Mungu akuinue zaid Mtumishi wa Mungu

  • @fridadenis
    @fridadenis 2 ปีที่แล้ว

    Ubarikiwe mno kaka kweli Mungu mwema kila wakati

  • @gaspargiddson5060
    @gaspargiddson5060 2 ปีที่แล้ว

    Friday blessing Mungu akubariki sanaa kaka

  • @BarakaGmen
    @BarakaGmen 2 ปีที่แล้ว

    Bro You Made It Hakika Ni Mwema Kila Wakati Na Anastahili Sifa.

  • @christianchavala8785
    @christianchavala8785 2 ปีที่แล้ว

    Tunabarikiwa sana mkuu pia tunaimba sana nyimbo zako🙏🙏🙏

  • @gospeltotheworld
    @gospeltotheworld 2 ปีที่แล้ว +1

    Hallelujah hallelujah utukufu kwa Mungu. Huu ni wimbo mzuuri sana, Umenibariki sana

  • @joshuagecha2697
    @joshuagecha2697 2 ปีที่แล้ว

    🔥🔥🔥🔥🔥hatare

  • @joshuagullymusic2336
    @joshuagullymusic2336 2 ปีที่แล้ว

    Kwakweli hii Ni Ni baraka

  • @elishahaule3090
    @elishahaule3090 2 ปีที่แล้ว

    Nilisubiri kwa hamu hatimaye neema imetoka🙌🏾🙌🏾🔥🔥

  • @kababaethan6159
    @kababaethan6159 2 ปีที่แล้ว

    💪💪💪 Hakika nimwema

  • @Sayunichurch
    @Sayunichurch 2 ปีที่แล้ว

    Amen unarikiwe sana Kaka Ashley

  • @farajaedson7789
    @farajaedson7789 ปีที่แล้ว

    Wewe umwema Mungu wangu❤❤

  • @gellshamsimon3347
    @gellshamsimon3347 2 ปีที่แล้ว

    Woooow Kazi njema kk hongera sanaa

  • @MinisterOppah
    @MinisterOppah 2 ปีที่แล้ว

    Brother ubarikiwe sana kwa baraka hii hakika Asubuhi Mchana Yesu ni mwema Jioni Usiku Yesu ni mwemaaa

  • @timotheoashery4051
    @timotheoashery4051 2 ปีที่แล้ว

    Yeye ni mwema asubuh mchana na jioni neema yake inazidi kuongezeka kila wakati, asante ndugu, 🔥🔥

  • @scolasticamaghembe1189
    @scolasticamaghembe1189 2 ปีที่แล้ว

    Hongera sana kwa huduma hii, safiii

  • @goodmusic8389
    @goodmusic8389 2 ปีที่แล้ว

    Wimbo mzr

  • @Lexerjoh
    @Lexerjoh 2 ปีที่แล้ว

    Yu mwema 😍😍

  • @janethallan5694
    @janethallan5694 2 ปีที่แล้ว +3

    🔥🔥He is always faithful God'

  • @reinifridamsigwa9791
    @reinifridamsigwa9791 2 ปีที่แล้ว +1

    amen is a blessing song..
    wewe u mwema Bwana
    more congratulations to you both

  • @georgedavid8358
    @georgedavid8358 2 ปีที่แล้ว

    Hii ni Huduma njema sana

  • @desaumwaweza
    @desaumwaweza 2 ปีที่แล้ว

    Wewe umwema baba

  • @rudinyumbani
    @rudinyumbani 2 ปีที่แล้ว

    Ubarikiwe Sana kaka

  • @yamunguofsay
    @yamunguofsay 2 ปีที่แล้ว

    MUNGU akubariki sana brother...

  • @kaizamlowe.4851
    @kaizamlowe.4851 2 ปีที่แล้ว

    Kweli umwema

  • @julianaisaya9954
    @julianaisaya9954 2 ปีที่แล้ว

    Ubarikiwe mtumishi wimbo mzuri

  • @barakanndefokisomioyoffici3981
    @barakanndefokisomioyoffici3981 2 ปีที่แล้ว

    Njema sana

  • @gillianjared
    @gillianjared 2 ปีที่แล้ว +1

    🙌🏾🙌🏾🙌🏾 wonderful piece. Keep soaring

  • @elizabethelias3130
    @elizabethelias3130 2 ปีที่แล้ว

    Be blessed mtumishi 🔥🔥🔥🔥 Kazi njema sana..utukufu kwa Mungu

  • @footballbloods4416
    @footballbloods4416 2 ปีที่แล้ว +4

    This song has been a blessing to me

  • @martinkheyofficial7051
    @martinkheyofficial7051 2 ปีที่แล้ว

    Wonderful

  • @jacobkilimba748
    @jacobkilimba748 2 ปีที่แล้ว +2

    Blessed Glory To God

  • @bestshine6273
    @bestshine6273 ปีที่แล้ว

    Wewe U mwema

  • @esthermartin9939
    @esthermartin9939 2 ปีที่แล้ว

    Amazing amazing

  • @ananemaemanuel8751
    @ananemaemanuel8751 2 ปีที่แล้ว

    Majira yoteungu wetu ni mwema ❤️❤️
    Such a blessing song , Mungu akuinue zaidi my brother

  • @vincentanyona6854
    @vincentanyona6854 2 ปีที่แล้ว

    More Grace hallelujah

  • @millicentblessing8330
    @millicentblessing8330 2 ปีที่แล้ว

    Umwem sana

  • @erickmlowezi2939
    @erickmlowezi2939 2 ปีที่แล้ว +2

    This is great blessing brother!!😇

  • @niceallen7839
    @niceallen7839 2 ปีที่แล้ว

    Amazing🔥🔥🔥🔥❤️Anointed song

  • @nibitangasteven9691
    @nibitangasteven9691 2 ปีที่แล้ว

    Amen

  • @Joshuandauka
    @Joshuandauka 2 ปีที่แล้ว

    Be blessed brother

  • @ministergamalielchaula3301
    @ministergamalielchaula3301 2 ปีที่แล้ว

    Glory to God🔥🔥🔥

  • @lukeymabula6894
    @lukeymabula6894 2 ปีที่แล้ว

    Ameeen

  • @onatngohamwende9635
    @onatngohamwende9635 2 ปีที่แล้ว

    Hallelujah God is living

  • @goodmusic8389
    @goodmusic8389 2 ปีที่แล้ว

    Nc songs

  • @rosedayson6460
    @rosedayson6460 2 ปีที่แล้ว

    i like

  • @fikirinehemia7394
    @fikirinehemia7394 2 ปีที่แล้ว

    Powerful 🔥🔥

    • @yasintadominic9828
      @yasintadominic9828 2 ปีที่แล้ว

      Wooooow so powerful God bless u kaka kazi yako njem sana

  • @ianoburudi
    @ianoburudi 2 ปีที่แล้ว

    Nice

  • @LeonisiaMyinga
    @LeonisiaMyinga ปีที่แล้ว

    Audio hii hamna ?

  • @LeonisiaMyinga
    @LeonisiaMyinga ปีที่แล้ว

    Barikiwa Sana mwanangu❤❤

  • @gaspargiddson5060
    @gaspargiddson5060 2 ปีที่แล้ว

    Friday blessing Mungu akubariki sanaa kaka