JINSI YA KUISHINDA DHAMBI YA UZINZI-SEHEMU YA NANE

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 7 ต.ค. 2024
  • Mfululizo huu wa Mada ya Jinsi ya Kuishinda dhambi ya UZINZI inayofundishwa na Mwalimu Dickson C Kabigumira wa Kanisa la ABC, Utakuwa ukikujia kupitia chaneli hii, Tafadhali subscibe kwenye chaneli yetu uwe wa kwanza kupata mafundisho mapya kila yakiwekwa.

ความคิดเห็น • 4

  • @kelvinchisongela870
    @kelvinchisongela870 2 ปีที่แล้ว

    Asante mtunishi wamuguu

  • @Monthbongohit
    @Monthbongohit 4 ปีที่แล้ว

    Nikweli Mungu atusaidie

  • @jeanmjimmy
    @jeanmjimmy 3 ปีที่แล้ว

    Tuepuke, zinaa, uasherati na uzinzi maana atendea dhambi hizi unajinajisi mwenyewe.
    1 Wakorintho 6:18
    Ikimbieni zinaa. Kila dhambi aitendayo mwanadamu ni nje ya mwili wake; ila yeye afanyaye zinaa hutenda dhambi juu ya mwili wake mwenyewe

  • @Monthbongohit
    @Monthbongohit 4 ปีที่แล้ว

    Nikweli Mungu atusaidie