MZAVA "MHE.MKUU WA WILAYA KONGAMANO HILI LA VIJANA LIWE ENDELEVU"

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 23 ส.ค. 2024
  • Kiongozi wa mbio za Mwenge wa uhuru Kitaifa ndugu Godfrey Mzava ametoa rai kwa Mkuu wa Wilaya ya Chunya kuhakikisha Kongamano la Vijana linakuwa endelevu ili kuwawezesha vijana kujua fursa na kujikwamua kiuchumi.

ความคิดเห็น •