Watu imbeni watu imbeni paza sauti zenu imbeni malaika malaika malaika nanyi sifuni malaika malaika malaika wa mbinguni sifuni tumwimbie mungu wetu tumshangilie 1.Njooni na tarumbeta,njuga na vinanda 2. Anga ishangilie nchi iruke ruke 3. Enzi zimwadhimishe zama zimhubiri 4. Yeye amezipita sifa tupambazo
Nyimbo nzuri nimeijua kupitia makuburi walivyoiimba juzi kwenye tamasha la yesu ni mwema imenibidi niitafute japo Kuna kipande wanaimba wanaume ila Kwa hapa sijasikia how!
wimbo ni wa Bernard Mukasa na kwaya ya chuo cha MUHAS ndiyo waliorekodi wimbo huu na Mukasa anaimba makuburi pengine inaweza ikawa sawa kuimbwa na makuburi pia. Kuhusu beti kuimbwa na wanaume kwa kwaya ya makuburi huo ni umahiri wa kwaya husika lengo ni kuleta ladha ya wimbo.
Watu imbeni watu imbeni paza sauti zenu imbeni
malaika malaika malaika nanyi sifuni malaika
malaika malaika wa mbinguni sifuni tumwimbie
mungu wetu tumshangilie
1.Njooni na tarumbeta,njuga na vinanda
2. Anga ishangilie nchi iruke ruke
3. Enzi zimwadhimishe zama zimhubiri
4. Yeye amezipita sifa tupambazo
Nyimbo nzuri nimeijua kupitia makuburi walivyoiimba juzi kwenye tamasha la yesu ni mwema imenibidi niitafute japo Kuna kipande wanaimba wanaume ila Kwa hapa sijasikia how!
Na Mimi nimeletwa na haohao wanna kwaya ya Mt kizito Makuburi .nzuri mno sijui na wao watatoa 😅
Hata mm ndio nmeujua kupitia tamasha hilo.....
Same here
Same here🤣
wimbo ni wa Bernard Mukasa na kwaya ya chuo cha MUHAS ndiyo waliorekodi wimbo huu na Mukasa anaimba makuburi pengine inaweza ikawa sawa kuimbwa na makuburi pia.
Kuhusu beti kuimbwa na wanaume kwa kwaya ya makuburi huo ni umahiri wa kwaya husika lengo ni kuleta ladha ya wimbo.
Baraka Thomas mashibe...mwalimu wa kinanda hatari kubwa..i likenyour fingers mwalimu ❤❤
Hongereni sana,kwa kazi nzuri, nimemwona mdogo angu Efro
Kwa kweli tumshangalie na tumsifu pamoja na Malaika❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Mumetisha sana kwa mtunzi na waimbajo .Hongereni sana Mungu awasimamie katika utume wenu
Ana level👐👐👐👐 hongeren kwa uimbaj mzuriii
Woow wimbo Mzuri Sana hongereni Sana wanakwaya 🙏🙏
Wimbo mzuriiiii yaaan....
Tumwimbie Mungu wetu Tumshangilie🎉💝💝
Hongereni sana ndugu kazi nzuri
Bw. Mukasa B never disappoints 🔥🔥🔥❤️❤️🙏 beautiful composition ❤🎉 angelic voices😍🥰🥰🫂🥳🥳
Wimbo mzuri na mtamu sana... @japhe mmetisha sana 🔥🔥🔥🔥
Hongereni Sana mungu awabariki kwa uimbaji, kazi nzuri sanaaaa nawa❤❤
Hongeren San kwa wimbo mzuri
Wow nyimbo taamu sana jaman❤❤.nyumbani kumenoga💚💚🌲🌲
Kazi nzuri sana. Hongereni sana
Asante sana. Mtunzi❤🙏🙏
Hongereni sana ndugu zangu kwa kazi nzuri ya kumtukuza Mungu. Naomba Mwenyezi Mungu azidi kuwakirimia baraka na neema zake.
Hakika Hawa kondoo wameongozwa vyema na kupata malezi yaliyosahihi katika Zizi lililo sahihi kwao🙏🤝
Nice ❤
Mashibe mungu anamuona aisee
Hongereni kwa pamoja❤❤❤nawapenda sana
Hongereni❤
Kazi njema , nzuri sana hongereni
Watu imbeni🙏🏾🙏🏾
🙏🙏🙏🙏Utukufu kwa BWANA.
Wimbo ni mzuri, mbarikiwe kwa kazi njema
Kazi nzuri sana , hakika watu tuimbe kumsifu Mungu ❤❤
Nyimbo tamu jmn❤️🔥
Hiii motooo sanaa 🔥🔥🔥🔥❤❤
Mungu azidi kuwabaliki katika utume wenu
Yes yes strong
Very nice be blased and In God we trust amen
God bless this Familia, Good Song 🔥
❤❤❤❤❤nice makuburi hoyeee
😳
Anna mhagama nakuona 😂😂🥰
Juddy Amina Kubwa
🔥🔥🔥safi sana vijana
Wapi Midelo na Kijana wangu wa Babati😅🔥
🔥🔥🔥watu imbeni msifuni Bwana
Kazi nzuri sanaa❤❤
hongereni sana kazi nzuriii❤
Mpaka mwaka huu unafika mwisho basi Kwaya yetu itakuwa top 5 Kwa nyimbo nzuri sana
aminaa❤
Mbarikiwe sana kwa kazi nzuri #Watu imbeni
Thomas Mashibe my favourite
Wimbo mzuri
Wimbo mzuri sanaaaa 💯
Good song 👍💚
❤ hongereni sana waimbaji kwa kazi nzuri Mungu awabariki wote katika utume wenu
Hingereni sanaaa 🔥🔥
Wooow kazi Safi imetulia
Kazi nzuri
mungu awabark sana kaz nzur
kazi nzurii❤
❤❤❤❤ hongereni
Hongereni sana
Hongera sana Wanandugu❤
Namuona Luis anakazana 😂😂😂 aise bigup brothers and sisters hakika kazi imefanyika na inaonekana
Luis ni hariii ❤
Wimbo umenibariki sana,,mbarikiwe sana waimbaji kwa kazi nzuri
Amen🙏🙏
Praise the Lord...
Good job
💪💪💪👌👌😘😘
🙏🙏❤❤❤
Si mtu anjitplee anipeleke Tz jameni
karibu❤
Hahahhaa, njoo
@@BernardMukasa Kwanza wewe napenda nyimbo zako sana
A very Beautiful song 💓🫶🫶🙏🙏🙏
Kazi nzuri..naweza pata nota?
❤❤
Kuna mdada apo apinguze poda
Hongeren sana kwa kazi nzuri❤
❤❤❤❤❤❤❤❤
❤️❤️❤️❤️