Wewe ney hiyo good idea Ila tafuta sponsor mjini wapo wengi Na subiri fiesta iishe utaonekana unaleta ushindani Nimeipendaaaa list ya waliokubari tamasha
Aisee uwe unaandika basi coz point zako hazijapangiliwa. Unatuchanganya. Hoja ni nzuri tatizo hujipangi kuongea. Unaongea na waandishi kama unapoga story na washkaji kijiweni bana
I love this kakaMkorofi.....welldone brother uwe na mafanikio katika vyote!!!
we ndo rais wa manzese keep it up mr
Nic idea broo mr true boy (ney) big up
Mungu akutangulie kwenye safari ulio ianza
Km kuna Day Nay Amenena Points Baxi Leo Ndio Kaongea Big Speech,,
Ney leo umehongea kma mtu mwenye busara sna hongera sna ubarikiwe sna
Khadija Mbuta nei mi namukubali sana, maana anajitambua
Msafr Luswaga nikweli pia Ney ni msema kweli mungu hatambarikia kazi ya mikono yake
good idea Mr.nay aka true boy love you brother
safi Mimi nalipa jina ilo tamasha naliita zawadi kwa mashabiki wangu wa kitaa ....kiingilio isizidi buku 5
Sawa kaka nakuku Bali Sanaa ndani ya Mombasa
So proud of u nay n itakulipa pia bro big up
pw mr ney kipenzi cha masela kitaani
All the best big bro
kama sio ww vileee
well done brother
big up bro
Wewe ney hiyo good idea Ila tafuta sponsor mjini wapo wengi
Na subiri fiesta iishe utaonekana unaleta ushindani
Nimeipendaaaa list ya waliokubari tamasha
Nakubalii Sana ney
Naye ure a good person. Keep it up. Keep smiling. 👍
Na kubali jah a brass harakati zako brow
nice idea broo
..
Ni wazo zuri Sana.! Wasanii mkiungana mtafanikiwa.Maana wasanii wengi wanafikiri mafanikio ni Fiesta tu.!
nice idea brother
Q boy Sihaba Amepewa kipao mble 😂😂😂 WCB hawakumfanyia vizuri Mtu na busara zake huyu😆
Mungu hamtupi mja wake Q boy kapata ulaji
Bigup brother,,,,, uko vizur ney
Ni fresh unaongea ila usiishie dar kwakua wanao hangaika zaidi wapo mikaoni
ulifaa uwe rc manaake unauwezo wa kutumia kipaji chako kutatua matatizo ya wengine
Dah hongera bro unafnya ktu kzur
noma Sana Ney
aah hongera ila jifinze public announced
Wazo zuri san ney godblec u
Nay umekuja na wazo zuri ila kama vipi tafuta spokesperson au jifunze public speaking/mass communication or something like that
kweli
Huyo mkaka wa hapo pembeni kavaa scarf kichwani ndo swagger ama 😂😂😂
👍👍👍👍👍 nakubali sana Mzee WA show show za kibabe ney wa mitego
Mariam's Lifestyle q boy huyoooo hahahah lol
Ndio alikuwa anamvalisha diamond wallah 😂😂😂😂😂😂
Mariam's Lifestyle aise hata mm nashangaa
😂😂😂 kwa style hii hapana
Mariam's Lifestyle kuna barid sana dar
Nakuelewa mzee
nime kuelewa ka mkubwa mr nay
Aisee uwe unaandika basi coz point zako hazijapangiliwa. Unatuchanganya. Hoja ni nzuri tatizo hujipangi kuongea. Unaongea na waandishi kama unapoga story na washkaji kijiweni bana
Nice
Blaza ney pamoja kakaang
OK inapendeza sana mabro ney nijambo la kheri
safi sana
Qeuboy. vepe mbona upo kama hupo
good idea
wazo zuri sana
Ney true boy
Uko vzr xn ney
daima tuko naww
amani
THATS GOOD IDEA KAKA....
uhakika
I salute my brother Mr Nay keep it up
Good ney
Safi kaka
nc
NINJAAA. TRUEBOE
Nimayota kwsanaaaaaaa
Umeiacha Tanga khaaaaa wewe daaah hayaaaa
Usi subiri mungano hakuna
nay
Kasalamba juma nakukubali sana Raisi wakitaa nay wamitego
Saf brod
Good idea blaza nay
Nmekuelewa broo kaza buti maana hata Hilo wazo utapata upizan pia
hamna kitu hapo
kuna kitu kwk
we boya usiye jielewa
Shuweha Omar kakuma chako fanya ww basi tuone
nakubal
Nikweli hata Mimi ninakipato Cha chini ila naku love saana
safi sna dogo
Usifuge rasta wa mitego
sjakusoma saw jpange
Safo
waoooh!!!!
good
umechangua Fungu Jema
jux
Hyo jamaa hapo pemben mbna hana meno
ELIAS JOHN 😂😂😂😂
ELIAS JOHN hahahahaaaaaaaa
/
DUH HALI IMEKUWA NGUMU hadi 500 mnataka kutunyanganya duh HATA 100 sitoe wasanii WAKOMAE NA HALI ZAO
🤣🤣🤣
nay nakkubal xana
Dah hongera bro unafnya ktu kzur
Good idea broo
Good
Nice
good
good