MASKINI JAY MELODY, NINI KIMEMKUTA.? ALIA KWA UCHUNGU AKIWA LIVE, ADAI “MAISHA MAGUMU”

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 27 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 389

  • @hildajoel5
    @hildajoel5 10 หลายเดือนก่อน +56

    Wanaomfahamu jamani kuweni nae karibu tusije tukasikia mengine . Kama maisha mgumu ni kwa kila mtu aisee. Nisher mwenyew kajimaliza wakati kwao kuna chemchem ya Hela. Money is not everything in life japo maskini wengi tunasema hela ndio kila kitu . Kaeni nae huyu mtu ana depression 😢😢

    • @Zainab-sq1tc
      @Zainab-sq1tc 10 หลายเดือนก่อน

      Hv nisher kajiua mwenyew

    • @officiallnobystar
      @officiallnobystar 10 หลายเดือนก่อน

      @@Zainab-sq1tcYah Alijiuwa Sema Wameficha Tu Taarifa za Mwanzo Kabisa ndizo Zenye Uwakika Nisher Alijiuwa Mwenyewe Yes

    • @TamuzaKale
      @TamuzaKale 10 หลายเดือนก่อน

      @@officiallnobystar Mtu hataki kutembelea watu. Hajishughulishi na suala lolote la kijamii, hapokei simu hadi ajisikie, hataki kazi hadi atake mwenyeewe. Utakosa SONONA? Mjivuni hajawahi kuvuka bahari yake salama!

    • @winygidarossa9472
      @winygidarossa9472 10 หลายเดือนก่อน

      Nisher hakufanya hivo

    • @TamuzaKale
      @TamuzaKale 10 หลายเดือนก่อน

      @@winygidarossa9472 Hakufanya nini?>

  • @mokyjuma7751
    @mokyjuma7751 4 หลายเดือนก่อน +2

    Jey pambana❤❤🎉

  • @bravemood2020
    @bravemood2020 10 หลายเดือนก่อน +53

    Depression is real be strong bro. Life is not easy to everyone

  • @OfficialA83640
    @OfficialA83640 10 หลายเดือนก่อน +24

    Siku 2 mtasikia mtu kajiua haijulikani kisa kumbe maumivu anayajua mwenyewe hali gani anayopitia Subhannallah Mwenyezi Mungu amlinde kwakila baya nampenda huyu kaka mie 😢

    • @RamsyPesa-wc9ov
      @RamsyPesa-wc9ov 10 หลายเดือนก่อน

      Nakupenda unashida Jamani

  • @nasrakitwana4744
    @nasrakitwana4744 10 หลายเดือนก่อน +6

    Mungu akutie nguvu bro Jay, kwenye maombi yenu watanzania wenzangu tusimsahau kaka yetu, Mungu pekee ampe faraja kupitia sisi

  • @aftabpits
    @aftabpits 10 หลายเดือนก่อน +2

    I am not judging,let no one come after me,i am just saying,since many artists have joined the dark side,i think he joined unwillingly,and now he is regretting,and he cant get out,
    Its just sad,😪he is battling somwthing very strong,
    Maombi yangu na yetu sote,atatoboa inshallah,

  • @shelevision
    @shelevision 10 หลายเดือนก่อน +45

    Anza kusali man, God is there always waiting. Meditate on God's promises

  • @Wigoz_puppy
    @Wigoz_puppy 10 หลายเดือนก่อน +20

    WACHAWI SIO WATU 😢😢😢😢😢❤
    Washa MUANZA WATAMUUA MTT WA WATU😢😢❤❤❤

    • @vumiliarichard9347
      @vumiliarichard9347 10 หลายเดือนก่อน +1

      Yaan wanadamu ukipata hawafrahii

  • @sophiayBakali
    @sophiayBakali 10 หลายเดือนก่อน +2

    Pole sn jay menlod sisi hatuwezi kujuwa kitu kinacho. Kusibu wewe mwenyewe ndio unajuwa mungu akutie nguvu insha'Allah 🙏🙏🙏🙏 mashabiki wako tunakupenda sn ❤❤❤❤❤❤❤

  • @barakae.n6418
    @barakae.n6418 10 หลายเดือนก่อน +25

    Be strong Brother 💪

    • @susanaseyonyundo9689
      @susanaseyonyundo9689 10 หลายเดือนก่อน +1

      God is there for you 🙏🏿🙏🏿🙏🏿 be strong bro

  • @YonaJactor
    @YonaJactor 10 หลายเดือนก่อน +3

    We love so much may God be with you ❤️❤️❤️

  • @victorcephas3618
    @victorcephas3618 10 หลายเดือนก่อน +28

    Sehemu pekee yenye furaha ya kweli ni kumwamini Mungu tu
    Okoka na umwimbie Mungu utapata peace of mind na furaha ya Kweli

    • @niffonlinetz7214
      @niffonlinetz7214 10 หลายเดือนก่อน

      Unajua maana ya kuokoka kaka 😂😂

    • @hellenkiselema
      @hellenkiselema 10 หลายเดือนก่อน +1

      Nndiyoo anajua ndo maana kasemaa

    • @deborahdavie
      @deborahdavie 2 หลายเดือนก่อน

      ​@@niffonlinetz7214wewe kwani unajuaje kuhusu kuokoka?

  • @aishavogelmann5021
    @aishavogelmann5021 10 หลายเดือนก่อน

    Very true maisha you can have all but it not everything. JOY it everything . Jay Melody stay strong life it not straight you have to know that ,may be ur troubles are very small if you hear people story ur can know people they have alot.Your gomaa are all🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥nakupa 💯 kwa ngoma zako stay strong 💖

  • @ChristinaOnditi-el3xo
    @ChristinaOnditi-el3xo 10 หลายเดือนก่อน +3

    Naimani Hilo jaribu sio la.kwanza kwako, ,yalikwepo kabla ya Hilo na yakapita ,na Hilo nalo litapita Kwa uwezo wa mungu ameen.pole.sana J,melody, Umeshashinda, nakuombea uzidi ku shine, ameen

  • @phelgonaamondi8547
    @phelgonaamondi8547 10 หลายเดือนก่อน +5

    Huyo anataka tu kutoa album

  • @sautikaliitz934
    @sautikaliitz934 10 หลายเดือนก่อน +143

    Jamani sijawai kupata like 30 naomba leo mnisaidie nifikishe Mimi ni wa kwanza ata kumshinda Alie posti🎉🎉

    • @shuwehaharuna6309
      @shuwehaharuna6309 10 หลายเดือนก่อน +7

      Zinakusaidia nn 😂😂

    • @officialdinaize
      @officialdinaize 10 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂

    • @jastinedaudi-qi9vr
      @jastinedaudi-qi9vr 10 หลายเดือนก่อน +1

      Huna akili

    • @elizabethmasitsa6537
      @elizabethmasitsa6537 10 หลายเดือนก่อน

      Kweli dunia imeisha😢😂

    • @julius_wankyo
      @julius_wankyo 10 หลายเดือนก่อน +4

      Binadam mwenzako anapitia wakati mgumu, wewe unawaza kupata likes za kutosha😢😢😂😂

  • @Mtumakini
    @Mtumakini 10 หลายเดือนก่อน +3

    Freemason wanataka chao nn

  • @MariamBashiru-h3r
    @MariamBashiru-h3r 10 หลายเดือนก่อน

    Pole jay usikate tamaa mtangulize mungu kwakila jambo katika mafanikio lazima utakuta misukosuko mapambana jepes liko mbele

  • @MarthaHitra-s3m
    @MarthaHitra-s3m 10 หลายเดือนก่อน

    Pole mwaya Muombe Mwenyezi akupe nguvu na furaha pia akutangulie katika kazi zako tunakupenda sana jey

  • @Haneefa-l5w
    @Haneefa-l5w 10 หลายเดือนก่อน

    Pole sana jay mung akusimamiee❤❤ inshaallah 🙏🙏🙏

  • @arnoldndailagije273
    @arnoldndailagije273 10 หลายเดือนก่อน +12

    DEPRESSION IS REAL

  • @Rayaramadhanhassan
    @Rayaramadhanhassan 9 หลายเดือนก่อน

    love jaemalody everyday❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤music

  • @SharifaRamadhani-e4d
    @SharifaRamadhani-e4d หลายเดือนก่อน

    Jamn jay usiache muziki mm pia ni shsbiki yako napenda sana nyimbo zako❤

  • @Trixiewixie
    @Trixiewixie 10 หลายเดือนก่อน +17

    This guy needs Love 😢❤

    • @faidhamyovela179
      @faidhamyovela179 10 หลายเดือนก่อน +1

      mm huwa nampenda huyu kak

  • @HawaSaid-yh5pz
    @HawaSaid-yh5pz 10 หลายเดือนก่อน

    Oh pole sanaaa,mungu atakufanyia wepes inshallah

  • @harmonize_tz
    @harmonize_tz 10 หลายเดือนก่อน +2

    Wewe kama umeshaingizwa kwenye ulimwengu wa kumtumikia shetani pole sana unapata pesa ila huna furaha

  • @KazumareeYusufu
    @KazumareeYusufu 10 หลายเดือนก่อน +3

    Mapenz yanaumiza

  • @personalitiesan9806
    @personalitiesan9806 10 หลายเดือนก่อน +1

    Haters wanna smoke him alive..... don't hold back big bro and very sorry for what ur goin through 😮😮

  • @makero04
    @makero04 10 หลายเดือนก่อน +5

    MAISHA BWANA, VITU VINGI TUNAVYOWAZA TUKIVIPATA NDIO VITATUPA FURAHA, VIKIJA NDIO VINAKUA SABABU NYINGINE YA MAUMIVU, Nilichojifunza ni kua maisha hayatokuja kua mepesi hata kama una kila kitu, hii vita ni endelevu mpaka siku tunafukiwa chini, hivyo ukipata nafasi ya kufurahi furahi, usisubiri wait for Nothing. Mungu akutie nguvu jay

  • @RatifamaurusTifamaurus
    @RatifamaurusTifamaurus 10 หลายเดือนก่อน

    Never giveup na muombe Mungu akusaidie bro jay

  • @jaylanluxy3603
    @jaylanluxy3603 10 หลายเดือนก่อน

    Keep God first my bro, evrthng gonna be alrgth.🤝

  • @banajuliana758
    @banajuliana758 10 หลายเดือนก่อน +4

    Mungu akupe wepesi mtoto mdogo❤

  • @nyanzobebujiku3523
    @nyanzobebujiku3523 10 หลายเดือนก่อน

    Pole Jay kitu pekee ni kumtanguliza mungu ktk kila Jambo lako baada ya hapo fanya kazi zako mungu atakulinda na utazid kufanikiwa maana usikate tamaa mashabik tunakpnd

  • @juvestinatarimo7678
    @juvestinatarimo7678 10 หลายเดือนก่อน +1

    Duuuh Jay nn kimekukumba kam n matatizo n kawaid tu Coz ss huko tumepita n kufanikiw but nikwambyy kitu muomb san God akupe wepes ww bad mdogo kam n bby wako achn nae we struggle ili uzid kuw n lifestyle nzur ww pmbn mbn Mondi kapambn n hela anaz n kumwag ebu angalia success people walipitia magumu kuliko ww

  • @shuwehaharuna6309
    @shuwehaharuna6309 10 หลายเดือนก่อน +7

    Sasa una pesa una kila kitu maisha yanakuwa mabaya haya tuseme umepewa magonjwa au

    • @cleveronlinemedia820
      @cleveronlinemedia820 10 หลายเดือนก่อน +1

      😮Ndo hapo sa

    • @annahjuliusy3211
      @annahjuliusy3211 10 หลายเดือนก่อน +1

      Search kitu kinaitwa depression af uje uongee tena. Sometimes hata uwe na maisha mazuri kias gan ukiwa huna aman haisaidii kitu. Watu wake was karibu wamuangalie sana huyu

    • @shuwehaharuna6309
      @shuwehaharuna6309 10 หลายเดือนก่อน

      @@annahjuliusy3211 ni search ww

  • @aishanassor-wf8vq
    @aishanassor-wf8vq 10 หลายเดือนก่อน

    Pole brother mungu yupo nawe pia jitahidi kuwavalisha madada wenzangu nguo za stara kwani hao walioanza muziki walifika mbali na hawakuwahi kuvaa nguo za uchi ❤🎉

  • @Rafia-o7h
    @Rafia-o7h 10 หลายเดือนก่อน

    We love you so much keep on focus ❤❤❤❤

  • @salmaalimusa6809
    @salmaalimusa6809 10 หลายเดือนก่อน +12

    Ukiw maarufu vita huwa kubwa 😢

  • @athmanomar5671
    @athmanomar5671 10 หลายเดือนก่อน

    last show yake ilikuwa huku kwetu kenya lamu island culture festival after hapo kurudi tz katangaza kuacha mziki ila ni life tu

  • @risumatechnology5476
    @risumatechnology5476 10 หลายเดือนก่อน

    Use""

  • @nanajoseph2356
    @nanajoseph2356 10 หลายเดือนก่อน +1

    Kuna wakati unapitia magumu mpaka unajiuliza MUNGU uko wap lakin all in all MUNGU hajawahi kulal yupo na anasikia na kuona but sometimes huacha yatukute ili tupate funzo pole broo talk to GOD

  • @FloraMachange
    @FloraMachange 10 หลายเดือนก่อน +8

    Nakupenda mtoto wangu mungu akupe faraja unayopitia ni daraja tuu mkabidhi mungu kila jambo lako

  • @daudiedsonrichard509
    @daudiedsonrichard509 10 หลายเดือนก่อน +10

    mziki una ushetani mwingi sana..

  • @Kamandakamanda-uz6jq
    @Kamandakamanda-uz6jq 10 หลายเดือนก่อน +2

    Freemason hkunaga furaha wazee

  • @Best_tz
    @Best_tz 10 หลายเดือนก่อน

    Hisia hazijifichi aise mungu akuepushe bro na mazonge

  • @ShizoNoela
    @ShizoNoela 10 หลายเดือนก่อน

    Sasa kama unapata pesa na mungu kakaubarik maisha yanakuw magum kivp

  • @sandejacob623
    @sandejacob623 10 หลายเดือนก่อน +10

    Tumtafute Mungu tajiri wa AMANI , ya ulimwengu hayawezi kukupa AMANI

  • @zennahmtoto1867
    @zennahmtoto1867 10 หลายเดือนก่อน +2

    Nilichogundua jay melody anahisi Kuna baadhi ya Watu anawapenda ila wao hawamuoneshii upendo😢😢 depression is really jamani apate mtu wakuongea naye

  • @MahrezJammll-zf7op
    @MahrezJammll-zf7op 10 หลายเดือนก่อน

    Just focus👀, everything will gona be allright .we mwanaumee mwanangu jikazee.god bless u moree🙏

  • @hafsalucky1088
    @hafsalucky1088 10 หลายเดือนก่อน

    Pole sn, Ni kweli kuna mambo huwezi shirikisha kila mtu lkn wazazi km wapo, wambie, na pia Tafuta Kiongizi wa dini ambaye ana imani thabiti atakusaidia, Pia wanasaikilojia, Usikae nalo peke yk, Hakuna gumu mbele za Mungu 🙏

  • @realdanilaizo
    @realdanilaizo 10 หลายเดือนก่อน

    Antaka atoe Album

  • @RoseLekule-j3t
    @RoseLekule-j3t 10 หลายเดือนก่อน

    duhh pole sana jay but take care tafuta mtu wakuwa nae karibu, coz i afraid hiyo hali yako usipate baya

  • @Anuaryomary-su9cd
    @Anuaryomary-su9cd 10 หลายเดือนก่อน +10

    Tatizo la wasanii wengi wanachukuliaga easy sana kuuza soul zao lwa shetani kutaka umaarufu lakin wakishaingia deep sana ndo hayo ya desperation

    • @imatisatv9239
      @imatisatv9239 10 หลายเดือนก่อน +1

      Nakubali kaka asilimia 100%

    • @HappyMwaigwisya
      @HappyMwaigwisya 10 หลายเดือนก่อน

      ​@@imatisatv9239kabisa

    • @zawadibernard8232
      @zawadibernard8232 10 หลายเดือนก่อน

      We ni kiazi

    • @samludo5435
      @samludo5435 10 หลายเดือนก่อน

      ​@@zawadibernard8232kiaz akat anasema kwel mm nandg yangu msanio mkubwa tz maisha yake anayoish n tabu tupu anaonyesha furaha kweny media lakn kiuhalisia hana furaha n mtu w kafara sna. Hao wasanii wengi wnahit kwa damu za watu kafara na mashart makali wengne wnafirwa ndo wahit

    • @sumakitaja3872
      @sumakitaja3872 10 หลายเดือนก่อน

      Kweli kabisa,huenda kaambiwa mda wa kutoa kafara umefika hahaha kimbilia Kwa yesu kaka

  • @AlivnFrance-xo6km
    @AlivnFrance-xo6km 10 หลายเดือนก่อน

    Ni mapenzi ndy bro lkn tft mwngn sy lazm kuwa naye pole

  • @Officialnauju
    @Officialnauju 10 หลายเดือนก่อน +13

    Jay usinichanganye,tambua kuwa hata mwanangu nimempa jina linaloanza na jina lako la usanii.
    Mungu akupe wepesi uondokane na hiyo hali.

  • @tiffahbby3697
    @tiffahbby3697 10 หลายเดือนก่อน

    Pole sana kaka mungu akujalie wepesi palipo na ugumu usilie swali umuombe Allah twakupenda sana mitihan ni sehm ya maisha usikate tamaa usikubali shetani akutawale mshinde na mungu atakusimamia utakua imara😢😢😢

  • @NasraMsuya
    @NasraMsuya 10 หลายเดือนก่อน

    Pole

  • @OdiloTv
    @OdiloTv 10 หลายเดือนก่อน

    But Why...?😞

  • @zuenahamoud1532
    @zuenahamoud1532 10 หลายเดือนก่อน +1

    Atoe tu hiyo mpya song asitutishe

  • @stellahwilfred5762
    @stellahwilfred5762 10 หลายเดือนก่อน +4

    Free hao😢 wanaanza kumfos ukute

  • @dorahpatrick6698
    @dorahpatrick6698 10 หลายเดือนก่อน

    Pole San jmn

  • @hellenkiselema
    @hellenkiselema 10 หลายเดือนก่อน

    Mwombe mungu sanaaa kakaangu,,,atakusaidiyaaa

  • @officialdinaize
    @officialdinaize 10 หลายเดือนก่อน +10

    Sasa uwezi kumwambia kila mtu unachopitia kwenye mitandao unatulilia ili iwaje siulie ndani mwenyewe😅

    • @HassanJaphari-rx7jy
      @HassanJaphari-rx7jy 10 หลายเดือนก่อน +1

      😅😅😅

    • @officialdinaize
      @officialdinaize 10 หลายเดือนก่อน +1

      @@amedeuskimario8895 kiki

    • @AminaAli-g8i
      @AminaAli-g8i 10 หลายเดือนก่อน

      😢😢Astaghafirulillah Mungu akusamehe coz hujui anachokipitia mwenzako subr yakukute ndo( utakumbuka kutia maji na za kwako ) utamalizia hiyo👆

  • @happynelson1136
    @happynelson1136 10 หลายเดือนก่อน +3

    Hizo ni stress za mziki kukutana na watu wengi kila mara kinamfanya mtu apate stress, mimi mwenyewe kama nikikutana na watu wengi huwa napata stress mbaya mpaka ninakuwa na mawazo mengi usiku nashindwa kulala maana yake mimi sipendelei kuzungukwa na watu na wala sipendi kukutana na watu mara kwa mara na sijazoea ndiyo maana huwa napata stress sana kama nikiwa na mda wa kukutana na watu na kuna sababu ilinifanya nione tabu kukutana na watu cha kwanza kuna kitu kinachofanya nisimuamini mtu yeyote sababu kuna kipindi nilipitia wakati mgumu sana

  • @BrightonMartinMollel
    @BrightonMartinMollel 10 หลายเดือนก่อน

    Umarufu ni sawa na arufu... Lkn kuna garama jmn muelewen ni kwamba ana kila kitu lkn ana aman unafikir ni kwann.? Shetan shetan vijana wengi upenda kupata mafanikio harakaaraka matokeo yake ndio hayo

  • @mziwandamziwanda
    @mziwandamziwanda 10 หลายเดือนก่อน +7

    mpk mtu alie hiv ni mbaya sana😢😢😢sababu nilipitia huku 🙌🙌🙌🙌

    • @mejumaabaraza3989
      @mejumaabaraza3989 10 หลายเดือนก่อน

      Umeongea kweli aky waezakuta amepewa Fila moyo Sasa roho ya tanga maskini lkn mungu amjalie wepesi au unakuta ni jitoto la kike ndio linamtesa ivyo

  • @SwaleheSaad
    @SwaleheSaad 10 หลายเดือนก่อน

    Kaka ukiona mizinguo piga nguba tu maisha mengine yaende

  • @teddysananga
    @teddysananga 10 หลายเดือนก่อน +3

    Sema shida nn usaidiwe

  • @edithmangu5846
    @edithmangu5846 10 หลายเดือนก่อน

    Pole kaka muombe Mungu Sanaa

  • @ginafaruque5335
    @ginafaruque5335 10 หลายเดือนก่อน

    Nini jamani Jey mungu atakurinda kikubuaah nini😢😢

  • @MwanaidMsindo
    @MwanaidMsindo 10 หลายเดือนก่อน

    ❤❤❤❤ ila pole mungu akupe uvumilivu na uyashinde unayo pitia kwa nguvu za allah

  • @SHAROBUSINESS-p3x
    @SHAROBUSINESS-p3x 10 หลายเดือนก่อน

    😢 Pole. ila km mganga wko kakutoa mdiso ndio masharti yke ili ufanikiwe bc jua kuwa shirki ndio mbaya hata mungu hapendi

  • @maconelmpenitaffar
    @maconelmpenitaffar 10 หลายเดือนก่อน

    Stay real imba vitu ambavyo vina saidia community usipo fanya ivyo this stress and evil stuff hazito kuacha

  • @evaristermakunganya
    @evaristermakunganya 10 หลายเดือนก่อน

    Mkimbilie mungu....mungu ni muweza wa yote

  • @teedullah5708
    @teedullah5708 10 หลายเดือนก่อน

    Twakupenda weh akha mpenzi weh kwako hatujiwezi we my pole ni mthihani tu huo lkn munqu yupo utaivuka mthihani usijali

  • @kabulletmathew9111
    @kabulletmathew9111 10 หลายเดือนก่อน

    Mapnz yanakusumbua acha ujinga nyee ndio znakuutesa😊

  • @josephjoh8260
    @josephjoh8260 10 หลายเดือนก่อน

    I think ni mapenzi sema kka simama imara focus na maisha kaka mungu atakupa mtu sahihi

  • @richkaja3317
    @richkaja3317 10 หลายเดือนก่อน

    Pesa hainunui furahaaa haujiaminii mdogo wanguu

  • @arinvybz208
    @arinvybz208 10 หลายเดือนก่อน

    Get on spiritual life

  • @ffialdeoxgamestz
    @ffialdeoxgamestz 10 หลายเดือนก่อน +1

    Tatz bongo kurudishana nyuma ndo kinacho uwa wanii wetu kuna wananii hutegemea nyota zawatu ili wafanikiwe

  • @neema_mollel
    @neema_mollel 10 หลายเดือนก่อน +7

    Mpe Yesu maisha Yako

    • @idrisamapesa2732
      @idrisamapesa2732 10 หลายเดือนก่อน +1

      sasa akimpa yesu maisha alaf yeye abaki na nin 😊😊😊

    • @arifali3942
      @arifali3942 10 หลายเดือนก่อน +1

      Kwa hiyo yesu kashakup ampe maish yake yy akazimu yesu arud ww unaumwa

  • @vibetz9991
    @vibetz9991 10 หลายเดือนก่อน +1

    Kazi za kishetani ,ni kuwa mtumwa spiritually ,,,unateseka na hela zako mfukoni...ndo mana vanesa kakimbia..

  • @RamsyPesa-wc9ov
    @RamsyPesa-wc9ov 10 หลายเดือนก่อน

    Jamani jei meroddy2

  • @adamshop-b9t
    @adamshop-b9t 10 หลายเดือนก่อน

    Sasa mbona chanzo Cha hayo yote huongei

  • @burudanitiv324
    @burudanitiv324 10 หลายเดือนก่อน

    Usiri ni mbaya bwana jay sema usaidiwe kaka
    😢😢😢

  • @malkavoice2570
    @malkavoice2570 10 หลายเดือนก่อน

    Akili ya biashara haipo na yupo kwenye game kitambo sana na management yake pia haiko properly. We collabo gani ile na phina bro?!

  • @SIXBIZZZTANZANIAN
    @SIXBIZZZTANZANIAN 10 หลายเดือนก่อน +2

    Au antaka kutrend kupitia depression zake

  • @GessaboyStaaa-gg7hj
    @GessaboyStaaa-gg7hj 10 หลายเดือนก่อน +2

    Tatizo Mashariti aliyo pewa ndo magumu .ko ndo mana haelew

  • @DomiNjeni
    @DomiNjeni 10 หลายเดือนก่อน

    Yaya big

  • @mikemutabuzi3665
    @mikemutabuzi3665 10 หลายเดือนก่อน

    Msiingie kwenye Freeman's vijana, Sasa mnatakiwa mtoe mvipendavyo, Sasa ndo shida hiyo, 20percent Mnamcheka alivyoukataa utajiri huo, Sasa mmoja mmoja vijana wa kisasa mtafunguka tu

  • @shuwehaharuna6309
    @shuwehaharuna6309 10 หลายเดือนก่อน +4

    Kiki 😂😂😂😂 nategemea kuna ngma una kuja

    • @annahjuliusy3211
      @annahjuliusy3211 10 หลายเดือนก่อน

      Depression is real ndugu yangu usiombe yakukute. Muhimu tumuombee

  • @halemmmbarak16
    @halemmmbarak16 10 หลายเดือนก่อน +1

    Kama kweli una pesa na huna raha bac kimbilia kwa mungu wako pengine umemsahau sana. Mungu akupe utulivu wa fikira na moyo.

  • @VintanDismas
    @VintanDismas 10 หลายเดือนก่อน

    Pesa sio kila kitu

  • @praisesamson8298
    @praisesamson8298 10 หลายเดือนก่อน

    Mmmh...!

  • @malichanda3146
    @malichanda3146 10 หลายเดือนก่อน +4

    Atakuwa kaachwa jamani 😢😢😢 ndo kinachowatesa watu saivi mapenzi pole jay jamani MUNGU NA AKUPE UJASILI uyahinde hayo magumu 😢😢

    • @khadijasayeed3381
      @khadijasayeed3381 10 หลายเดือนก่อน

      na alishawahi kusema kaachwa ndy

  • @maxsenciusalexander2213
    @maxsenciusalexander2213 10 หลายเดือนก่อน

    kaka UNAJUA👌🏾👌🏾👌🏾👌🏾MashaAllah!Whatever kinakukatisha tamaa,Take it as a challenge to move on,Kisichokuua kinakuimarisha...umekwisha imarika,songa mbele mkuu.Mungu akutangulie.Amina

  • @Qtep-eb3og
    @Qtep-eb3og 10 หลายเดือนก่อน

    Washampiga na kitu kizito watu wabaya na mziki usiache jay wangu please pambana nao❤

  • @Wellbeck1
    @Wellbeck1 10 หลายเดือนก่อน +1

    Yeyote alie gundua kama jay melody amelewa anipe likes zangu❤

  • @makoyejohn3930
    @makoyejohn3930 10 หลายเดือนก่อน +5

    Tatizo la hawa wasanii wanatumia sana kick kujitangaza . Kwaiyo mtu anapokuwa na changamoto watu hawaamini kwasababu wajua wasanii ni waigizaji wakubwa.

    • @salamafair1169
      @salamafair1169 10 หลายเดือนก่อน +1

      Always j melody hana Kiki ni msanii mwenye nidhamu na heshima ata maisha yake sio ya mtandaoni sana wala maigizo

  • @luchirimusa231
    @luchirimusa231 10 หลายเดือนก่อน +1

    venasa quited😢 kwa shetani sheria ni moja tutumie tukutumie.. mwendo ni ule ule mwendo wa makafara😂 bona ulie 😢 ila kiki tu labda ataka kuachia ligoma libovu😅