Watu 4 wajeruhiwa kwenye utata wa ardhi eneo la Majaoni, Mombasa

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 18 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น • 13

  • @alexmogusu2337
    @alexmogusu2337 หลายเดือนก่อน +1

    Hii kitu kimeniuma sana kwa roho kwa kweli vile nimeona huyo nyanya akiongea kama kweli hii Kenya 🇰🇪 tumefika kunduruma masikini ni vyema tu ss masikini tupelekwq na maloli tumuagwe kwa bahari tufe ili matajiri waishi kwa amani mungu tulumie ss masikini wako

  • @RoseKillian-b8k
    @RoseKillian-b8k หลายเดือนก่อน

    Aaah, poleni Jamani, quick recovery in Jesus might name Amen

  • @Nicholas-yr2sq
    @Nicholas-yr2sq หลายเดือนก่อน

    Hustler nation, we are on good mode😎👊

  • @happytsalakushe141
    @happytsalakushe141 หลายเดือนก่อน +1

    Huko tunako elekea bado maskini tuuliwe wabaki natajiri watupu..😮

  • @RoseKillian-b8k
    @RoseKillian-b8k หลายเดือนก่อน

    Hoa wa Kiembeni police Bure kabisa, ungewapa pesa wangecheka Jino la December 😮😮

  • @jacklinezombo5806
    @jacklinezombo5806 หลายเดือนก่อน

    yes mbona hii kenya matajiri ndio wenyehaki masikini hawana haki kwa nini kwa nini Kila eneno ninamabwenyenhe why

  • @sohrabtajadin3402
    @sohrabtajadin3402 หลายเดือนก่อน

    HIZI MAJINA ZA MOMBASA ZIBADILISHWE KAMA DONGO KUNDU, LANGO LA KUINAMA,....

  • @JnatJaaa
    @JnatJaaa หลายเดือนก่อน

    Kenya hakuna haki ndunguzangu hakuna ni Mungu tu atusaidie.

  • @patrcikgithinji7539
    @patrcikgithinji7539 หลายเดือนก่อน

    Wheathe with title or no title no difference

  • @remiomar7154
    @remiomar7154 หลายเดือนก่อน +1

    Kwa serikali tulionayo mwenye pesa ndio mwenye sauti n ndio mwenye hakupata haki

  • @ruthlisi8487
    @ruthlisi8487 หลายเดือนก่อน

    Maskini kenya hana haki

  • @rahema907
    @rahema907 หลายเดือนก่อน

    Kawaida wa pwani hawana haki