Rc Hapi amsweka ndani Mzungu

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 26 ส.ค. 2024
  • Video from Mathias Canal

ความคิดเห็น • 252

  • @johnnybegood92
    @johnnybegood92 5 ปีที่แล้ว +16

    ❤️ Bring me that Tanzanian authority to Rwanda 🇷🇼🇷🇼🇷🇼🇷🇼👍 He deserves my beers 🍺 or milk 🥛 kabisa 👍👍 Proud of U ❤️ Africa is not a trash place to do whatever pleased them on the top of our head, as We was idiots. Mwabiye tena muzungu TO RESPECT THE LAW 👍 Kwawo kuna law to be respected, as well in East Africa too... Funga nauyo mu TZ jama yake, they are so disrespectful. Thanks Bro 🙏

  • @leonidaskwigize1853
    @leonidaskwigize1853 2 ปีที่แล้ว +1

    ALLY HAPPY KEEP IT UP IN DEFENDING OUR GOVT RESOURCES

  • @Mamatonny2065
    @Mamatonny2065 5 ปีที่แล้ว

    Haaa Haaa!.
    Hapo kazi tu.
    Hakuna cha mzungu hapa.
    Hapo kizunguzungu hicho!

  • @EzekielIongwa
    @EzekielIongwa หลายเดือนก่อน

    Rc hapi huyu gama sawa sawa na JONHE POMBE MAKUFULI KWLI KAELI HUNASTAHILI KABISA.

  • @masoudzanzibarali9994
    @masoudzanzibarali9994 5 ปีที่แล้ว

    Very Good bravo 👏 Mhe Hapy Mana sheria msumeno hawa Wazungu wanazichezea sana Nchi za Africa

  • @raymatunda5207
    @raymatunda5207 5 ปีที่แล้ว +4

    Hii ndio serikali tunayoitaka sheria ndio mwongozo wakila kitu maana hao wazungu wanatuonaga kma sisi mazuzu

  • @kissatuagusto2246
    @kissatuagusto2246 5 ปีที่แล้ว

    ....safi Sana Africa inaamka sasa, good Rc....!!!

  • @florameza9529
    @florameza9529 5 ปีที่แล้ว

    Hapy ninyooshee hao wazungu wanatunyonya sana weka ndani hao watu big up

  • @ThobiasMarandu
    @ThobiasMarandu 5 ปีที่แล้ว +2

    Tangu lini Mkuu wa Mkoa awe mkusanya kodi?

  • @zuwenasaid4121
    @zuwenasaid4121 5 ปีที่แล้ว

    Mweheshimiwa piga kazi hamana mzungu wala mwafirca mwarabu wala muhindi japo mimi mwarabu sheria msumeno kazi kazi hapa kazi tu hi Tanzania mpya go on president Magufuli ndugu yenu toka 🇴🇲

  • @samutykuntathebantu8402
    @samutykuntathebantu8402 5 ปีที่แล้ว

    sawa tz usipemberezee punda kwa mteremko from kenya with love

  • @mosesmukondya4205
    @mosesmukondya4205 5 ปีที่แล้ว

    Lazima heshima, asifuate sheria yeye kama, mbona kwao wanatutaka sana tufuate taratibu na sheria zao, ahsante mkuu wa mkoa wanyosheee tu.

  • @lawmaina78
    @lawmaina78 5 ปีที่แล้ว

    Yale yale ya kuwaona wazungu kuwa bora, kichwa cha hii habari hakikufaa kuwa neno mzungu.

  • @barryryoba1489
    @barryryoba1489 5 ปีที่แล้ว +1

    We RC Hapi, unafanya show ambayo sio nzuri machoni pa Jamii nyingi hapa duniani kwani hii clip dunia nzima inaiona.. alafu dunia itashangaa kuona hakuna hata taratibu za kisheria zinafuatwa, baadae dunia ianze kusema tz inakandamiza haki za binadam, huyo mtu ana haki ya kusikilizwa kuliko kuamini ushahidi wa mtu mmoja tena kwa njia ya cm.. pia we sio mahakama lakini tayari umehukumu.
    Jamani nyie wakubwa.. Tangulizeni hekima.. pia muombeni Mungu sana awajalie Hekima na Busara ktk maamuzi makubwa.. tena yanayotazamwa na dunia nzima.

  • @lobalobaanase438
    @lobalobaanase438 5 ปีที่แล้ว

    kz na hasira haziendani

  • @anuaryally6177
    @anuaryally6177 5 ปีที่แล้ว +4

    Kamata masikini tu uyo utajili wenyewe anaupatia kwetu peleka kichwa chini miguu juu anatoka tumbo kwa mali zetu kabaila uyo

  • @amulimugisho925
    @amulimugisho925 5 ปีที่แล้ว

    Acha niwa shauri Mimi naishi apa USA wazungu hawako mnavio fikiri kila kitu wanafanya kwa hekima na heshima uyu rc atawaingiza kwenye shida watanzania Mimi ni mkongo shauri yenu

    • @johnotonya9754
      @johnotonya9754 5 ปีที่แล้ว

      una akila ww usa wapi www kichwa

  • @frankmwakibinga3627
    @frankmwakibinga3627 5 ปีที่แล้ว +10

    Kumuweka ndani mwekezaji hukulipi hiyo invoice, malipo yoyote yanalipwa kwa makubaliano hata ya installment. Picha flani sio poa

    • @masterfelimaster1014
      @masterfelimaster1014 5 ปีที่แล้ว +4

      Sana sana tumesikia akiongea na jamaa ktk simu na kumwamini maneno yake bila kuwapa hawa nafasi ya kujieleza vizuri. Na yy kusema anataka kuongea na waziri mkuu ni haki yake kwani kuna kitendo maalum kimeundwa na serikali kwenda nje ya nchi kutafuta wawekezaji kuja kuwekeza. Na pengine wameletwa kwa kupitia ofisi ya Waziri mkuu na pengine walishaambiwa kama kutakuwa na tatizo waende kumwona. Sasa huyu mkuu wa mkoa kachukia kuambiwa hivyo. Mimi naona ni misuse of power. Sisemi kwa sababu ni mzungu maana sasa hivi misuse of power mpaka kwetu inatumika sana tuu.

    • @dosidamas4140
      @dosidamas4140 5 ปีที่แล้ว +2

      Alipe kodi aache ubabaishaji

  • @thedeo472
    @thedeo472 5 ปีที่แล้ว

    Mimi siamini hii miti inayokatwa ovyo na kusafirishwa Nje inatuletea faida!! Tunaaribu mazingira kunufaisha wengine!!

  • @davidwandelage6627
    @davidwandelage6627 5 ปีที่แล้ว

    Kwa hiyo mamlaka husika ilishindwa kusimamia shwala na kuliweka sawa mpaka limsubiri mkuu wa mkoa (tuamke)natamani tungekuwa na sheria kali kama za china sidhani kama kungekuwa na mtu ambaye abgekuwa anatumia nguvu ya pesa,uongozi,ubabe,akili na janja janja.mmmmh tuzidi kumwomba Mungu ili tusimame katika kweli

  • @h.rukuba7464
    @h.rukuba7464 5 ปีที่แล้ว

    afric africa sawa leo tunafurahi kesho ....
    tuwaulize wenzetu
    .

  • @malombimbongolo9352
    @malombimbongolo9352 5 ปีที่แล้ว

    Kaka we we nikiongozi wa mfano hongera sana hata Mimi ningemsweka ndani coz hana nizam

  • @khadijaabdalla1011
    @khadijaabdalla1011 5 ปีที่แล้ว +2

    Haya mnasema Lisu anaharibu brand ya nchi. ..na huyu anatangaza nchi

  • @Baba-JJ
    @Baba-JJ 5 ปีที่แล้ว +7

    Hilo sio deni ambalo mtu kakopa elfu 10 ambapo ukimwambia nilipe deni langu anaelewa ni elfu 10 aliyokopa. Hilo ni deni la mrabaha/ mrahaba (royality) ambalo unatakiwa ulipe asilimia kadhaa ya unachokizalisha. Unapopata invoce una haki ya kujua madai hayo yamepatikanaje. Mimi ndio ninayezalisha mazao ya misitu au madini, yapaswa nielewe wewe hesabu hiyo ya deni umeipataje? Haswa kama hakuna utaratibu wa pamoja kujua nilichozalisha. Unaweza kupiga hesabu nilizalisha mzigo tani 100 ili upate pesa ya kodi kubwa wakati mimi nimezalisha tani 10, yaani lazima umweleweshe mtu hiyo hesabu imekujaje. Kwahiyo huwezi tu kuleta invoice halafu mtu alipe hapohapo, haiwezekani, labda kama tulishaeleweshana kabla hujaniletea hati ya madai hapo sawa.

  • @fadhilkishen7094
    @fadhilkishen7094 5 ปีที่แล้ว +6

    Hii ndo Sera ya viwanda , kwa diplimasia mbovu hivi

    • @--------GEO_SPORT_EARTH_EA
      @--------GEO_SPORT_EARTH_EA 5 ปีที่แล้ว

      Fadhil Kishen what a kind of diplomacy while foregn investors can't obey law.
      Just arrest them until they obey our laws as we do while we're in their countries

  • @geofreyanderson9291
    @geofreyanderson9291 5 ปีที่แล้ว +13

    tatizo huyu RC happ anapenda sifa mfatilieni clip zote anapenda sifa hata waziri wa tamisemi alishawah kulisema hilo kuhusu huyu RC anapenda sifa sana

    • @julianpeter7165
      @julianpeter7165 5 ปีที่แล้ว +3

      Hatujali kama anapenda sifa tunajali anafanya kazi

    • @moshimanyambo4967
      @moshimanyambo4967 5 ปีที่แล้ว +1

      lazima wafuate sheria za nchi njoo kwao wakuletee barua halafu uipuze kesho utajikuta bongo

    • @rajabmartojr3302
      @rajabmartojr3302 5 ปีที่แล้ว

      Geofrey Anderson si ndio ana sifa sana

    • @allymngwaya6219
      @allymngwaya6219 5 ปีที่แล้ว

      Kwenye hili hakuna sifa. Fuatilia tukio wazungu wanatudharau tena kwa kushirkkiana na sisi Watanzania wenyewe. Ona alivyokuwa anaongea kwa dharau yeye na huyo kibaraka wake mtanzania

    • @dosidamas4140
      @dosidamas4140 5 ปีที่แล้ว +1

      Mkuu wa mkoa chapa kazi achana na kelele za chura

  • @mustaphyassin5320
    @mustaphyassin5320 5 ปีที่แล้ว

    Safi sana Rc Hapi hao nguruwe weupe wanajeuri sana

  • @iviejustified8109
    @iviejustified8109 5 ปีที่แล้ว

    Safi Mh. hawa wadau wanaona sisi ni mediocres saana na ukienda kwao wanawafukuza

  • @GMShifo
    @GMShifo 5 ปีที่แล้ว +1

    Good job 👏🏾

  • @husseinsalimmaula4254
    @husseinsalimmaula4254 5 ปีที่แล้ว

    😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅 tutaona mengi

  • @mwalimumhunzi6694
    @mwalimumhunzi6694 5 ปีที่แล้ว

    Mmmh! Wabongo bhana, which is which! Ikija mvua wanataka his likija jua wanataka mvua! Cjui unawaelewa?!

  • @iddikogo4987
    @iddikogo4987 5 ปีที่แล้ว

    Huyu Rc anajielewa sana na anatambua kazi take vyema.

  • @georgemlonda4174
    @georgemlonda4174 5 ปีที่แล้ว

    hii c sawa, tunatengeneza pcha mbaya ktk nchi mtanzamo wangu wangefunga ofc zao na vtu vngne vnavyo weza kuzbtika nch yetu Ni bado atuna jeur kwa wazungu anapo peleka izo taharifa kwao na is abari za lissu znapo tapakaa Ni ushaid tosha

  • @user-ht6wt6kt5f
    @user-ht6wt6kt5f 6 หลายเดือนก่อน

    Alikosea sana tena sana walimuelewa vibaya magufuri sio muwe mnafanya sifa no fanyeni kazi kwa haki sio kukamata mtu na kumtia aibu sasa walifukuza wawekezaji kisa sifa

  • @leahedward8063
    @leahedward8063 5 ปีที่แล้ว

    safiiiii sana wazungu wanadharau sana

  • @marwaryoba9725
    @marwaryoba9725 5 ปีที่แล้ว

    Ingekuw ni uwezo wangu mambo kama haya yangekuw yanafuata procedure nzur ila sio kwa style hii, kwani ni lazima uite media?? wakuu wa wilaya na viongozi wengine igeni style ya utendaji ya waziri japho,he is very smart on decision making.

  • @nkwabitz233
    @nkwabitz233 5 ปีที่แล้ว

    Safiiii sana maana wanazalauu

  • @abdillahichicha8366
    @abdillahichicha8366 5 ปีที่แล้ว +7

    Sijaelewa kinachoendelea ila navyojua kama kuna mkataba walioingia baina ya muwekezaji na serikali kama umekiukwa kuna hatua za kufuata kabla ya kumkamata huyo muwekezaji

    • @jaspertito5343
      @jaspertito5343 5 ปีที่แล้ว

      Uko sahihi sana.
      Zaidi baada ya kutoka ndani tunategemea akabiliwe na mashtaka.
      Kinyume na hapo ni batili.

    • @maximilianbiyemotungaraza6422
      @maximilianbiyemotungaraza6422 5 ปีที่แล้ว +1

      Tuache maneno maneno! Mzungu afuate sharia! Hataki, akawekeze huko kwao! Tuache ushaabiki! Wazungu wanatunyanyasa sana!

    • @jacksonmodaha1590
      @jacksonmodaha1590 5 ปีที่แล้ว

      Kutokusoma ist Like thise thinks b4 you do it

    • @gospalflavour7304
      @gospalflavour7304 5 ปีที่แล้ว

      Upo sahihi.

  • @ulimwengu5599
    @ulimwengu5599 5 ปีที่แล้ว

    Hapo RC amenifurahisha amemuonyesha mkanyaga sheria kuwa sheria ni mvua!😀

  • @danysikira4302
    @danysikira4302 5 ปีที่แล้ว

    kazi

  • @ladsonmshana9920
    @ladsonmshana9920 5 ปีที่แล้ว +2

    busara iwe inatumika jaman

  • @nehemiahbudi5753
    @nehemiahbudi5753 5 ปีที่แล้ว

    Mzungu anatafsiri yake akikutana na kiongozi wa juu, pia hata akiongea kiswahili bado ataongea kiswahili kutokana na tamaduni zao, yaani kiswahili kingereza, kwa hiyo hakidhi kwa usahihi tafsida yetu, pia RC kwao ni mtu mkubwa sana pia wao wanasimamiwa na maafisa tu na wala sio RC. Kwa hiyo ili pia tuliangalie, tutafute utaratibu mzuri wa kuwawajibisha, hasa kutumia mabarozi wao katika kuingia mikataba na kuwakilisha malipo na ahadi, yaani kuwe na kitengo cha Sheria baina ya ubarozi wa mwekezaji na serikali ya Tanzania ili kuepusha unyanyasaji wa aina yoyote ile kuhusu mgeni

  • @heraldloshi1864
    @heraldloshi1864 5 ปีที่แล้ว

    I like this game.Safi sana R.C. Kaa ngumu,hamna cha kumtetemekea mtu.

  • @fedelischengula7891
    @fedelischengula7891 5 ปีที่แล้ว

    du noma sana tunako elekea sujuwi

  • @simbawateranga7020
    @simbawateranga7020 5 ปีที่แล้ว

    Wawekezaji wana tazama dunia nzima

  • @saeed6811
    @saeed6811 5 ปีที่แล้ว

    Saivi hata walevi watajipendekeza kwa raisi kutuma video za kushika watu😂😂

  • @georgemelliyo1791
    @georgemelliyo1791 5 ปีที่แล้ว +7

    Ukichunguza saaaana utagundua ni ushabiki tu hpo hakuna la maana

    • @ilovejesus9303
      @ilovejesus9303 5 ปีที่แล้ว

      JPM mambo yamebadilika, bado huamini

  • @jp1780
    @jp1780 5 ปีที่แล้ว

    Daah jama kaongea point kweli mimi naishi Marekani nanikweli uku huwezi ukaichezea serekali utajikuta jail na alafu tena wanakuwaga natuona sisi wa Africans mabwege hiyo nikweli uyo akileta ubosho mtieni jail wala hasitaki kuzingua mtu yoyote hapo mafala hao yini anaona hao watu hapo sio watu bila niwa nyama fala wewe ningelikuwepo hapo iliniweze kumtimua😂🤦‍♂️

    • @festomarwa4633
      @festomarwa4633 5 ปีที่แล้ว

      bro thats America..first world country...this is TZ one of the POOREST countries duniani...we NEED investers sasa angalia investers wanaona hivi vitu mtandaoni unazani watataka kuja kuwekeza huku.wanaona mwenazao anasukumwa kwenye defender u think watataka ata kujua ishu ilikua ni nini?no my friend nazani kuna namna ya ku deal na hawa watu

    • @rashidiasantemwalimngandil4890
      @rashidiasantemwalimngandil4890 5 ปีที่แล้ว

      JP MB safi sana watu kamanyinyi mnatakiwa mnchi hii

    • @jp1780
      @jp1780 5 ปีที่แล้ว

      Rashidi asante mwalim Ngandile mdawao utafika bro

    • @jp1780
      @jp1780 5 ปีที่แล้ว

      Festo Marwa bro it doesn't matter how rich you are you can't be disrespecting people like that especially in they own country come on bro ya the type of niggas that a white man would slap the shit of u and you will walk always without doing anything shhm that time is past bruh but u were right we need to start investing in own countries and some of us are starting planning on that

  • @rahimlaki1778
    @rahimlaki1778 5 ปีที่แล้ว

    hakuna busara hapa

  • @georgemafayo2797
    @georgemafayo2797 5 ปีที่แล้ว

    Sukuma ndani wote😂😂😂😂

  • @alumberashidi4157
    @alumberashidi4157 5 ปีที่แล้ว

    Watu 50 kama huyu jamaa tz yenu itaendeleya

  • @rashidiharoun4199
    @rashidiharoun4199 5 ปีที่แล้ว

    Mie huwa sipendi uonevu ila ukinikamatia mtu mweupe ukatia ndani hata kwa bahati mbaya Poa Tu.

  • @franksiame1790
    @franksiame1790 5 ปีที่แล้ว

    Hakuna alie juuu ya Shelia umekwepa kodi Shelia Kali ichukuliwe..sio zalau

  • @jumamakaja8802
    @jumamakaja8802 5 ปีที่แล้ว +1

    Huo ni ulimbukeni wa madaraka sasa kumweka MTU unayemdai ndani ni kujichelewesha malipo busara ni njema maana bado tunawategemea sana hawa wageni katika uwekezaji maana sisi tukiachiwa yanabaki magofu tu.

  • @abuibra
    @abuibra 5 ปีที่แล้ว

    TAKATAKA HIYO KATUPENI JALALANI.

  • @pabloescoba4260
    @pabloescoba4260 5 ปีที่แล้ว +5

    This type of behavior is not good for Tanzania 🇹🇿 especially for foreign investment, if someone has not paid their taxes or royalty or any type of tax their is a law and things shall be done according to the law of the land.
    By the way what is RC got to do with taxes when their is TRA who collect taxes.
    Foreign investment is what makes an economy of Tanzania grow and accomplish Mr Magufuli vision of Tanzania becoming a middle income economy and what they are portraying here is not helping the president or Tanzania as a whole.
    Tanzania is a very good place to invest but government employees are the problem.
    I speak as an investor in Tanzania who appreciate the country and its people.
    🇹🇿👌

    • @theiceman9247
      @theiceman9247 5 ปีที่แล้ว

      Pablo which law u talking about if u break the law u must pay the consequences regardless of ur status or race

    • @pabloescoba4260
      @pabloescoba4260 5 ปีที่แล้ว

      abdi yusuf
      If you don't pay the correct taxes or you cheat the government you have broken the law, its a universal understanding of any country. By saying you must pay the consequences, I mean not going to jail at first( like the example in this video) but your business been investigated for tax evasion and if found guilty obviously you pay what's due or you go to jail.I hope that answer your question mate!

    • @johnkaru8107
      @johnkaru8107 5 ปีที่แล้ว +1

      Yeah bro that's true, you know we as Africans bado tuko chini kiuchumi and we must concur that for real. ok. well there are various ways and means of handling such issues in an amicable manner instead of confrontation. on the contrary imma see no need of driving foreign investors out of the country cuz the repercussion will be upon our people. k.k from Kenya

    • @pabloescoba4260
      @pabloescoba4260 5 ปีที่แล้ว

      John Karu
      Well said john, I'm African my self, we need to learn how to asses a situation without jumping into action that will have a negative outcome for us Africans.

  • @issaalfani1030
    @issaalfani1030 5 ปีที่แล้ว

    Mimi siyo kiongozi ila kwa muono wangu kiongozi alitakiwa awaite pamoja na huyo ambae amepigiwa simu huwezi kuamua kitu kwa kumpigia simu wakati angewaita tena masaa tu na wangefika angewauliza vizuri wakiwa pamoja kwanini mambo yako hivi hayo ni mawazo yangu

  • @MambaAfrica
    @MambaAfrica 5 ปีที่แล้ว

    Weka ndani huyo pumbavu😡

  • @johnkaru8107
    @johnkaru8107 5 ปีที่แล้ว

    I wish all people should style up and follow the right channels laid down by the constitution. Ok. well this white dude shouldn't evade paying tax as so said, But we must concur one thing, being third world countries our sovereignty is in jeopardy. still we need this Caucasians people in our land and no hide about it na tusidanganyane my fren. still we down economically, infrastructure e.t.c so acha sheria ifanye kazi but sio kidomo. Damt it!!! Fuck that!!! kenyan love

  • @abuuashyam8417
    @abuuashyam8417 5 ปีที่แล้ว

    jamani mawaziri mengine siyakuiga ..waacheni mabosi wenu..leo rc unamdhalilisha huyo jee shida kwenu zishaisha kwaooo

  • @goldensensemedia.7906
    @goldensensemedia.7906 5 ปีที่แล้ว +12

    Busara inapaswa kutumika kutatua matatizo sio kila tatizo hutatuliwa kwa nyundo.

  • @faryalibrahim8505
    @faryalibrahim8505 5 ปีที่แล้ว

    Ni sawa kufuata sheria lkn media isiwe inatoa matukio ya yasio kamilka ambayo police wananchukua forener bila taarifa kamili' wasio watanzania watachukulia tofauti na wataogopa Tz tunaenda wapi si apewe mda maalum ama onyo.... wewe kama kiongozi!!!

  • @aloycemabula8649
    @aloycemabula8649 5 ปีที่แล้ว +4

    Kazi nzuri sana vijana

  • @ramadhanimussa882
    @ramadhanimussa882 5 ปีที่แล้ว

    Good job
    Waache Dharau

  • @umranim5854
    @umranim5854 5 ปีที่แล้ว

    😚 kwa kweli ina sikitisha

  • @tumainimchomvu4373
    @tumainimchomvu4373 5 ปีที่แล้ว

    Hapo kiongozi atumie hekima kidogo

  • @severinemabirika2249
    @severinemabirika2249 5 ปีที่แล้ว

    Nchi hii ina watu ambao hawana akili kabisa .....sisi tukivunja sheria tunakamatwa Leo mzungu kakamatwa mnaomuona Mkuu wa Mkoa hana maana ....kamuoneshea Mkuu wa Mkoa dharau ni kudharau mamlaka ya Nchi afu bado kuna Litanzania jingine linatetea lkn watanzania wanakamatwa huko nje ....na kikubwa zaidi madudu haya kwao hawayafanyi .....big up RC , huyo yuko chini ya utawala wako ,they must respect our laws without which they will face charges

    • @theiceman9247
      @theiceman9247 5 ปีที่แล้ว

      Severine this is slave mentality usi washangae kuna baadhi ya Africa mpaka Leo wana muabudu msungu ndio maana Hawa taka huyu bwana afungwe Aki vunja sheria

  • @elvisurio4095
    @elvisurio4095 5 ปีที่แล้ว

    Hapo inabidi hekima itumike siyo kila mara ni ku excising power, b'cos of position you have, hapo angetoa order like nakupa 3 days hakikisha umetekeleza na Mkurugenzi utanipa taarifa, na siyo ku mweka ndani afu hiyo faini au mkataba utasainiwa under such environment

  • @sheikhibrahimabdullahikeny1509
    @sheikhibrahimabdullahikeny1509 5 ปีที่แล้ว +1

    Sasa camera za nini tena, Do it in a professional manner, na sio kumtia mtu Maneno mdomoni. Watafuta sifa au ni kazi utafanya

  • @arsenalwenger4797
    @arsenalwenger4797 5 ปีที่แล้ว

    Yani hapi umenifurahisha kumtia ndani huyo zeru zeru, sasa mmekosea mnampeleka bila pingu na bila kichapo huku kwao tunakoishi hamna kichapo bali ukiwa mtu mweusi ni rasasi au kupigwa vibaya sana.

  • @joelzacha
    @joelzacha 5 ปีที่แล้ว +14

    How could you arrest the investor in such way?this isn't fear,we can't be the Tz of industry without wisdom.

    • @hawalul8094
      @hawalul8094 5 ปีที่แล้ว +3

      very shameful they arrest the guy as if ni jambazii very sad

    • @tadeymdota8480
      @tadeymdota8480 5 ปีที่แล้ว +2

      Me too, nimekuwa disappointed sana. This is not fear kabisa. Tunafanya kazi bila kuangalia madhara ya kesho!!

    • @masainyorosha3978
      @masainyorosha3978 5 ปีที่แล้ว

      Nendeni huko kwao mkaishi nao,kafanya kosa tupa ndaniii hakuna cha mzungu wala mchina nyie acheni kudharirisha wafrika.

    • @gospalflavour7304
      @gospalflavour7304 5 ปีที่แล้ว

      Msi missuse mamlaka jamaniii

    • @severinemabirika2249
      @severinemabirika2249 5 ปีที่แล้ว

      Don't be slave of white people bro....if any goes astray to state laws ...why not arrested? he has to face charges and only place to prove him innocent is before the court

  • @kelvinvitalis175
    @kelvinvitalis175 5 ปีที่แล้ว

    Hatakama we RC tumia ustarabu wa kufatilia jambo usukurupuke na kumzalilisha uyo mzungu inaonesha ni kwanzia ngazi yako na hao unaofanya nao kazi mfumo apo ni empty....!!!

  • @ndarophares36
    @ndarophares36 5 ปีที่แล้ว

    Rc vitu vingine jaribu kufanya private na viongozi wako hii kila kitu unaenda na micamera unapunguza ueledi wa kazi

  • @unitytzdar9553
    @unitytzdar9553 5 ปีที่แล้ว +7

    MI NAONA NI SAWA.
    ANGALAU ANGEJITETEA KUWA NDO ANATAFUTA HIZO PESA KULIKO KISEMA HADI AONANE NA PM. SASA NDO ATAJUA KUWA HADI UFIKE KWA PM UTAKUTANA NA WATENDA KAZI WENGI HAPO GHOROFA ZA CHINI

    • @--------GEO_SPORT_EARTH_EA
      @--------GEO_SPORT_EARTH_EA 5 ปีที่แล้ว

      Unitytz Dar ni kweli kabisa wapuuzi hao wazungu

    • @Baba-JJ
      @Baba-JJ 5 ปีที่แล้ว +2

      Kwanini msishuhudie mlichosikia? Nyie mmesikia akisema hadi aonane na PM? Yeye mwenyewe anakanusha hajasema hayo maneno, na aliyeposti hii video hajaona haja ya kuweka hicho kipande ambacho mzungu kasema mpaka aonane na PM, sasa nyie mmetoa wapi uhakika kwamba kayasema hayo maneno?

    • @unitytzdar9553
      @unitytzdar9553 5 ปีที่แล้ว

      Justin Mrope
      Hebu yasikilize maneno ya RC vizuri, utasikia akilalamikia hilo kiwa hawa jamaa wanaona mtu sahihi wa kuongea nae ni " PM peke yake" Kumbuka RC ni sehemu ya Serikali na ni authoritative.

    • @Baba-JJ
      @Baba-JJ 5 ปีที่แล้ว +1

      @@unitytzdar9553 kama ulivyosikia RC kasema ndivyo ulivyotakiwa kusikia toka kwa huyo mzungu. Mzungu anasema yeye hakusema hivyo. Hao ni watu wawili ambao mmoja anasema umesema na mwingine anasema sikusema. Sisi kama watu wa pembeni tulitakiwa tuthibitishe kuwa ni kweli kasema au hajasema? Ndo tulitakiwa tusikilize video tusikie mzungu akisema ndo tuhitimishe kweli mzungu kasema, ila kwa jinsi video ilivyo mzungu hajasikika akisema. Hii akaunti si ya mzungu ni ya mswahili mwenzetu, kwani ni kitu gani kilifanya video isianzie hapo mzungu anaposema anataka kuonana na PM? Au mzungu aliwakataza wasiweke? Mi nafikiri kwa kumuumbua na kumuaibisha walipaswa waweke vinginevyo hata sisi tunastahili kusema mzungu hakusema ila RC ndiye anayesikika kusema. Sijui kama tunaelewana ndugu yangu, ni logic tu.

    • @tadeymdota8480
      @tadeymdota8480 5 ปีที่แล้ว +1

      Na amesema hakuna maandishi yoyote kiserikali yaliyopelekwa kwake.

  • @zuwenasaid4121
    @zuwenasaid4121 5 ปีที่แล้ว

    Good job 👍🏻

  • @ramadhanibakari9480
    @ramadhanibakari9480 5 ปีที่แล้ว

    Hivi siku hizi hakuna ofisi za kuzungumzia mambo mpaka tuwe tunakemeana hadharani???

  • @mugemainyas5241
    @mugemainyas5241 5 ปีที่แล้ว

    Kusweka ndani sio sifa .

  • @thabitmohamed8744
    @thabitmohamed8744 5 ปีที่แล้ว

    Mmhh kazi ipo miaka hii tutayaona mengi tuu ata bado

  • @awadhirajabu7754
    @awadhirajabu7754 5 ปีที่แล้ว

    Watanzania Sijui Tumerogwa Na Mchawi Gani Mtu Akisimamia Aki Eti Anafanya Sifa Kumbukeni Nyerere Alisema Ukitaka Kutenda Aki Uwe Kama Chizi Rakini Chizi Fureshi Sio Vinginevo

  • @anuaryally6177
    @anuaryally6177 5 ปีที่แล้ว

    Peleka lupango kaburu huyo sukuma ndani bebelu ulifikili unavyomchezea matako lisu kumuweka kinyumba ughaibuni sawa na wengine fyekelea mbali

  • @clarazin6826
    @clarazin6826 5 ปีที่แล้ว

    Perfect 👌

  • @sniperbogo6210
    @sniperbogo6210 5 ปีที่แล้ว +34

    Jaman tambueni bado wazungu wapo juu yetu huu uthalilishaj mnaofanya mjue na wazungu waliopo kwao wanaangalia na bado mnahitaj wawekezaj wa kigen haileti picha zuri kwa mataifa makubwa hapi kwann unapenda kudhalilisha mtu kwenye media halafu unalusha kipisi chenye migogolo ebu fanyen kazi inayoleta heshma kwenye nchi sio kutafta kiki kwenye media kwan hamna ofice za kukaanao ukatafta ukwer?? Hiyo ni kampun inautaratibu wake

    • @dominicclassic8089
      @dominicclassic8089 5 ปีที่แล้ว +6

      We mjinga kweli

    • @sniperbogo6210
      @sniperbogo6210 5 ปีที่แล้ว +3

      +Dominic Classic malipo nimakubaliano fala ww

    • @dominicclassic8089
      @dominicclassic8089 5 ปีที่แล้ว +4

      Em we nenda kwao afu ufany kam huyu jamaa alivy fany kam ujawekwa ndan usahulike moj kwa moj

    • @dominicclassic8089
      @dominicclassic8089 5 ปีที่แล้ว +1

      Utakubal mkap lin kuw chin yao

    • @hidayaseif6379
      @hidayaseif6379 5 ปีที่แล้ว +5

      Daaah kwahiyo kumu arest mzungu udhalilishaji angekuwa mzawa ndo sawa ??? Yaani wewe unatia huruma sana

  • @kisanganyakiswanta1379
    @kisanganyakiswanta1379 5 ปีที่แล้ว

    Hii nchi bana dah

  • @aminilendi5560
    @aminilendi5560 5 ปีที่แล้ว

    NANI ATAKUJA KUWEKEZA NCHI HI I KILA MMOJA ANAMADARAKA YA KUWEKA MEAN I TENA MWEKEZAJI NA JUZI IMESEMWA MKUU WA MKOA NA MKUU WA WILAYA WASIJUKUWE SHERIA MKONONI KUWAWEKA NDAN I WATU KIHOLELA HATA MUDA AWAKUMPA YA KUJIELEZA

  • @stanleymbwana4828
    @stanleymbwana4828 5 ปีที่แล้ว

    Viongozi wanapenda kiki za mitandaon nini shida nikuonekana au

  • @rasheedmuslih3142
    @rasheedmuslih3142 5 ปีที่แล้ว

    Huyu mkuu wa mkoa mwisho wake utakuw mbaya tena wa aibu time will tell

  • @steveswakei9600
    @steveswakei9600 5 ปีที่แล้ว +1

    sasa angekua mwafrika mungeweka kwenye youtube?? upuuzi huu mtupu

  • @Mnaveed_804
    @Mnaveed_804 5 ปีที่แล้ว

    Haitakiwi kufunya hivo this is not the way to talk with investors hata kama amefunya kosa inatakiwa kukaa nae ndani but naona everyone anataka afunye front of camera sasa hiyo mchezo ata cost tanzania... halafu hayu maneno anatoa it's not the way he is talking......

  • @florasamuel9860
    @florasamuel9860 5 ปีที่แล้ว +2

    Yes let him be arrested

    • @steveswakei9600
      @steveswakei9600 5 ปีที่แล้ว

      for what? did you even understand the issue here??

  • @mohameddamka922
    @mohameddamka922 5 ปีที่แล้ว +4

    Hongera saana Rc

  • @elizagabrael4818
    @elizagabrael4818 5 ปีที่แล้ว

    Kwa tunaekoelekea tutawaona ma DC/ Rc wakipiga Doria na askari wa usalama barabarani au hata kutaka mrejesho wa dhamana toka polisi,si wenyeviti wa kamati za ulinzi na usalama?

  • @simbawateranga7020
    @simbawateranga7020 5 ปีที่แล้ว

    Bora hata ya liBashite lipo vzr sn nawafanya biashara

  • @fazzletv6129
    @fazzletv6129 5 ปีที่แล้ว

    Tatizo Video camera za nn ukifanyakazi kila mtu atajua sio kilaunapotaka kufanya kazi unamuita Video kamera uwo ni udhalilishaji. Kiongozi kuwa mfano bora Kwa watu
    Najua hiyo ni kiki

  • @AK-ho2lb
    @AK-ho2lb 5 ปีที่แล้ว

    Hayo masuala siyo mpaka unaita media kudhalisha watu .

  • @thomastarimo68
    @thomastarimo68 5 ปีที่แล้ว

    No hii sio sahihi kabisaa, tunataka heshima but not in this way, poor approach, na hii ina umiza investments kwa taifa. tupunguze mihemuko kwenye mambo ya msingi.

  • @divaifrank6746
    @divaifrank6746 5 ปีที่แล้ว

    Mkuu wa mkoa safi sana I like it

  • @davidlaizerleyan5259
    @davidlaizerleyan5259 5 ปีที่แล้ว

    Kiki katika masuala kama haya ya uwekezaji hazitatuacha salama Hapi u must have think about international relation here

  • @eddymilao1530
    @eddymilao1530 5 ปีที่แล้ว

    Don't let him out......

  • @deogratiashaule5224
    @deogratiashaule5224 5 ปีที่แล้ว +4

    good job RC HAPI

  • @kingofkings7525
    @kingofkings7525 5 ปีที่แล้ว

    R.I.P Tanzanian