ขนาดวิดีโอ: 1280 X 720853 X 480640 X 360
แสดงแผงควบคุมโปรแกรมเล่น
เล่นอัตโนมัติ
เล่นใหม่
Nakupenda mno mdogo wangu katika kristo na nabarikiwa na uimbaji wako wewe na wenzako wote mbarikiwe 🙏❤️❤️
Ubarikiwe mtu wa Mungu
Huyu binti ni alama mhimu sana katika mabinti wa kiadventista, Ubarikiwe sana kwa kazi ya utume binti, na kwa Neema ya Mungu usipungukiwe
Ameen hallelujah
Good song, mmbarikiwe sana aisee kwa utunzi mzuri wenye ujumbe ulionona. Mungu awafikishe mbali
Ubarikiwe sana mdogo wangu kwa kipaji alichokujalia Mungu wetu wa Mbinguni
Dada Huwa napenda sana nyimbo zako.Mungu wa mbinguni azidi kukuinua.Pongezi pia kwa kutunga wimbo unaotupa matumaini kwa kipindi hiki kugumu tunachokipitia juu ya COVID 19
Ubarikiwe kwa wimbo mzuri, tumaini lipo.
Kazi nzuri
Barikiwa
Mungu akubariki kwa mchango wako kwa jamii kuhusu Corona
Binti sayuni Bwana akubariki zaidi
Asee naipataje cd yako ile ya kwanza Glory... Napenda uimbaj wako
Barikiwa sana dear.Zote zipo hapa Bonyeza Subscribe.
Wow Amina, kazi nzuri ya Voccapella studio, Video zao hazifubai Yani HD bila Marangi rangi
Barikiwa Sana dada Glory nabarikiwa Sana na huduma yako ya uimbaji
Barikiwa pastor
Naomba mawasiliano ya kikundi hiki napatikana 0764465556 Arusha
Sorry,Sikuona ujumbe wako kwa Wakati.0753296951@@maduhumagembe6537
Ubarikiwe sana Glory
Keep on sister!
Mungu awabariki
Mungu tulinde Tanzania naimani mungu halali atatusaidia
@@wemandrea943 oky
Ameen
Amina.
Amina