Gangana umenifuraisha jinsi ulivyolirusha swali la Mzee Wasira kulala bungeni umempiga na kumpulizia maana kama vile alianza kuamaki..akasema alikunywa dawa ndio maana akasinzia ukampiga sasa kwanini ukupumzika nyumbani kama unaumwa mzee akaamaki ni mafua tu lakini sote tunajua kuwa ni Posho tu ndio ilimpeleka bungeni lkn mzee anafuraisha
Mzee a najibu maswali vizuri Sana.. Kweli old is gold
Hongera mzee wetu waisira, mungu akupe maisha marefu
Mzee Wasira ni genius sana kwenye siasa. Ukitaka ufurai mkutanishe na upinzani...Mbowe anamjua huyu Mzee.
Big up Sana kwa mzee... He's very brilliant.
Ahsante kwa hekima zako mzee Wasira
Youngs learn from older ones!
Wizara ya kilimo huliimudu sana kwasababu unapenda kula maindi sanaaaa
Yaani elimu ni bomba sana
Gangana umenifuraisha jinsi ulivyolirusha swali la Mzee Wasira kulala bungeni umempiga na kumpulizia maana kama vile alianza kuamaki..akasema alikunywa dawa ndio maana akasinzia ukampiga sasa kwanini ukupumzika nyumbani kama unaumwa mzee akaamaki ni mafua tu lakini sote tunajua kuwa ni Posho tu ndio ilimpeleka bungeni lkn mzee anafuraisha
Embu tuletee wazee wengine Kama Hawa tuendelee kupata madini
Aisee Mzee umeongea....!...Na una kumbukumbu kali..?
Gangana mbona kama unamuogopaogopa mzee
Namvizia vizia hapo mana kuna maswali lazima niyaguse.
Kipindi kizuri. Ila kuchekacheka kwa gangana kunatibua. Cheka vizuri bwana siyo kuchekacheka. Kuna tofauti kati ya kucheka na kuchekacheka...
Toa mfano hapa kakaaa
Hizo nidharau,hizo personal attacks,Kwan kunashida gani
Siyo kwamba anachekacheka makusudi lazima abalance story kwa mtu anayemuhoji. Anaweza akaondoka kabla kipindi hakijaisha. Chezea Wasira wewe
Siyo kwamba anachekacheka makusudi lazima abalance story kwa mtu anayemuhoji. Anaweza akaondoka kabla kipindi hakijaisha. Chezea Wasira wewe
@@nzengarichard6440 kunywa soda nalipa kakaa😀