Weeh hata kama ni prank ....this is too disrespectful kwanza mtu kukwambia ati Toka uende....I can't stand such disrespect hata kama ni urafiki Acha ikae
Nmekumbuka hanna akiambia ariane ameeka kuku poison😂😂😂😂😂😂😂😂ahhhh 😂ingekuwa mimi mpate doo mseme prank na mi nikiwa ikoh ningesema bag ilika na thao mbili 😂😂hamngewai guza handbag ya wenyewe😂😂ikoh ameambia hanna tiga ngoma😂😂nihan anasema si poa aki she is a nice human
Hannah the prank was good buh kutaja Flossy is where ulidraw the line u need to apologise to Ikoh,,,then ako katabia ka kusema toka uende hakaleti shangwe change on that
Nihan is a very good friend she is a true one
Very true
I never thought grey and mustard can be that cute... beautiful house kairetu
If umetoka TikTok 😂😂😂😂.....we here
Am here😂😂😂😂
Am here
Ndio nimetoka😅😅
Ndio kuingia 😂😂
Ndio kuingia 😂
The best actor lol😂how can you be that serious addressing your friend,,,for me I could be laughing out loudddd
"Weeee tiga Ngoma Hannah weeee." 😅😅😅😅😅😅😅😅got me😂😂😂😂Kikuyu never disappoint 😂
Aki nihan is so concerned 😂😂❤hataki watu wakosane
Best prank ive ever seen,soo pure...not scripted
Nihhan a humble gal
Ikoh cant accept something she has not done, very nice, she didn't even cry
She doesn't take disrespect hivi,hivi 😂
Ukienda kuvusit Hanna be ready for anything 😂😂😂😂
The friendship will never be the same again
True
Hiii nayo ingekua mm tungekosana kbsa 😂😂😂
Wooie vile amesema very innocent 😂mm sichukuagi vitu za wenyewe😂😂😂....Hannah ukona dhambi😂😂
Nihan be blessed, nakupenda bure uko na advice poa ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
New sab kumbe kuna lit content this side,,am glad i came to this channel😅😅
Ikoh na Nihan Wako matured sana Sana Aki I love them
😂😂😂😂😂ikifikq ni prunk,huruma ni Estate, i love u hannah tena sana❤❤❤❤❤
iko ni kichwa😂😂😂 ati hii ni makaratasi naezakula siku mbili,,,, unafanana na uyo flossy we hanna😂😂😂 eh girl got guts
Hannah anakaa tuu Ana tabia ya kichini unaeza kula kwake akutangaze kwa watu ayii
Honestly this Hannah is so disrespectful….the things she said zilikuwa kwa roho….Actually I don’t even feel that was a prank
You guys hamuelewi the fact that mentioning flossy was just to spice it up😂😂mnajam nini
Ndo nashangaa pia ,
😂😂😂hii ni staged alafu watu wanacatch bure
Hannah shame on you saa mbona utaje flossy atakama ni prank 😂 lakini ikoh ni pole mimi ungesema kitu kama hio tungepigana
U got a new subscriber it was lit🔥🔥
😂😂😂wee tiga ngoma hanna 😅i didn't see that coming
😂😂😂😂😂😂ikoh ...i love ikoh....😢😢😢😢huyu hannah ile mdomo ako nayo ataaa kaaa ni prank mi naeza mtoka
Gai Nihhan si ako humble aki gai😢😢adi anataka kulia😅
Confidence ya ikoh wueeeh 😂😂
😂😂hungetaja flossy Hannah but that was a banger
Mi nmefeel mbaya aki
Who is flossy?
@@fridahmoronge6781 ex wake
Tabia gani hiya hannan
When Hannah mentioned Flossy,Ikoh went speechless..akie mie either ningelia ama nipigane😂
Anyways, to us that can't bear false accusations🥂
I just love Hannah the was she's always serious, Hannah kwani uliachanga kufanya pranks?
Aii hannah mi naeza kutandika vibaya ati prank
😂😂😂woiye ikoh😂😂
Heri angepiga uyo jessy😅😅😅
Wallai ata kama ni prank u owe an appology kwa kufufua maiti ya flossy bt anyway..nyce one❤
Hii ya kuitwa mwizi nothing to solve surely nmefeel do bad had nmemhurumia but mnapendana
Apo kwa flossy imeniuma sanaa😂😂😂😂
Same😢😢😢😢
Nihan is concerned wow 😊
Napenda spirit ya ikoh😢😂
Huyo ikoh akona on going beef na huyo cuzo ya benta Hidden feelings 😂😂😂
walai tena
Walai😂😂
This was so disrespectful 😂😂 apologise to ikoh
Have watched so many pranks but this you were tooooo personal to that girl,,hadi unamention X wake like unamdai huyo boy ama
Nihan our gal😌😌🥺🥺🥺she is so humble🙏💜💜i love this soul aki hanaaah 😂😂😂😂😂surely
Ooooh nihan penda wewe aky your sooo good
Hannah Anza kufunga nyumba sasa ushajitangaza
Next tm utalia aki😂
She is like me ntakupiga 😂 nyamaza
Tiga ngoma was just chilling 😎
Nihan ni mrembo weeeeeh
Ikoh is a strong girl ❤
Wueh ati 10k anakula siku mbili😂😂
Gifts za tiktok unadhani ni pesa kodogo😂😂mm nimechoka hustle it's high time nianze kuearn tiktok😭
Ikoh zoea kujikakisha,kiherehere ya kuingia nyumba za watu aki 😂
Eeeh Hannah unasema online hufungagi nyumba ww😮
Waaaa hako ka felling Hannah 😊😊😊😊😊
Nichapwa for me 😅😅😅😅
Ikoh is so strong,,Nihan is so sweet..😂😂c mtakuja kupigana juu ya prank
😂😂😂😂😂😂😂😂this aare the real pranks we want
Na c jana ni nyinyi tu mlikua mnasema huyo dem akona kiherehere etty kufungua gift za hannah ,leo tena hannah ni mbaya ,aki watuu
😂😂😂😂
Me hapa naeza wapiga vibaya sana mkisema ni prank
Not me,,,i cant come back,that was very disrespectful,,,Hannah,,,ni kama ulikua na grudge na ikoh
Walai alafu anaiblame on prank..hii si poa ..mmi adi naeza lia😅
My favorite love you hanna❤❤❤
This what always happen in real life when two or more ladies stay together
Wooooi😂😂😂😂 alafu unajifanya kukula chocolate 😢
😂😂 Hannah ni queen wa pranks
Patience ndio amebaki
Nimekwama apo Nihan anauliza kama Iko anabeba bag za wamama 🤣🤣🤣🤣
We need more pranks....nice one
Malaya was chilling 😂
Aki Hannah anakuanga mtough khai 😂😂😂💔💔💔💔watoto watakuwa straight mbaya 😂
Weeh hata kama ni prank ....this is too disrespectful kwanza mtu kukwambia ati Toka uende....I can't stand such disrespect hata kama ni urafiki Acha ikae
Wacheni makasiriko😅😅ni prank
Ni prank😂😂
First day to comment but i kinda feel ikoh needs real friends,,,,she is nice and deserves to be treated well,,,sina ubaya😂
Khaiii ata kama ni kuongea uyu dame naye apana ..this prank is bad unarudishia mtu kitu aliambiwa n ex 😢 it's painful
Wow,mimi siwezi rudi tena...iko your confidence manze
Nmekumbuka hanna akiambia ariane ameeka kuku poison😂😂😂😂😂😂😂😂ahhhh 😂ingekuwa mimi mpate doo mseme prank na mi nikiwa ikoh ningesema bag ilika na thao mbili 😂😂hamngewai guza handbag ya wenyewe😂😂ikoh ameambia hanna tiga ngoma😂😂nihan anasema si poa aki she is a nice human
Ni Yule dem kihere😂
Their rlship will never be the same again 😢😂
Sure...
😂😂😂aki mi ata siez endeleza ubesthe
Samenhere@@sharonjefwa5475
Akii their love itafade
Sure
Next akue Sheryl 😂😂😂
Ikoh ni strong Kama hajalia,,,,
Hanaa pranking achana nayoo hizo feelings apana
Apo ikoh umebebwa ufala ata kama ninprank walaaai ,,,,, apo umebebwa mjinga
Ikoh is a gangster weh🤣🤣 karibu apigane vita weh
Hata mimi ntampiga hiyo ni ufala
😂😂 it's the weee tiga ngoma hannah wee 😂😂😂
Wilipaul ata waua mna cheza na iko
Aki Nihan ako na huruma anaambiwa tokeni muende anasema si msolve tu tujue tuko sawa
😂😂😂 that feeling for the girl
Bad manners Hannah nkt!😢
Si ni prank ni nini hauelewi😂
I like nihan ,,she is so concerned with friendship
Wee tiga ngomaa😂
Hamja on ikoh akikuna makwapa alafu ananusaa😂😂
😂😂😂
Hata Georgina vile aliprankhousegal wake mlimwa ia tu ivo😂😂😂
Nimekusubscribia nipitie
Hannah umesema juu n prank lakin flossy atachukulia criac 😢😢anaweza mchamba n yule wake😢
She stood her ground ....woiye ata nmemfeel 😢
Mentioning Flossy kwa prank seems Hannah had hidden beef...her sound is way more different na mtu anaprank mwingine
I feel the girl....wueh 😢😂😂
Hannah haky utaona binguni,and the way ulikuwa serious 😂😂
Hii imekuwa 🔥🔥🤣🤣🤣 Hannah jaribu kuprank pertance m Titus na trisha
Prank should be like this😂😂kudos hanaah,
Not nihan trying to solve😂
Hannah the prank was good buh kutaja Flossy is where ulidraw the line u need to apologise to Ikoh,,,then ako katabia ka kusema toka uende hakaleti shangwe change on that
Mm swez rudi ata kama n prank 😢it will never be me
Aki pia mm siwezi
Ikoh aki😅😅💔 pole but uko sawa hata hushtukii
Aish hannah 😂😂😂😂iyo prank ni kali😂😂😂
Say hey to nihan wewe Hannah nawe tiga ngomaaaaa 😂😂😂😂
my friends would never pull such a prank hii ingekuwa world war 3 it will back fire😂😂ile war itakuwa hapo siwezi kubali false accusation
Me qwnza nakuwanga na temper ungekuwa na slap hanah😂😂😂 aki icant hold it any more😂