PRANKED MY FRIEND THAT SHE IS SMELLING🥺🤭SHE LEFT THE HOUSE😞😅

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 29 ธ.ค. 2024

ความคิดเห็น • 308

  • @joycenjeri3535
    @joycenjeri3535 ปีที่แล้ว +6

    🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣wenye mnaskia harufu itabidi mmetafuta

  • @katrinakatrina8208
    @katrinakatrina8208 ปีที่แล้ว +7

    Mnasema ananuka juu ya nduma n mayai😅😅😅😅😅that one got me on the floor😅😅

  • @sarahkeziah7061
    @sarahkeziah7061 ปีที่แล้ว +6

    😂😂😂mtu WA Uber ata kufaa
    Maggie : nyinyi mmekufa😂😂😂

  • @annechepkorir4720
    @annechepkorir4720 ปีที่แล้ว +16

    Prank zingine zii ..inaweza tuma mtu ajichukie

    • @CaspianJohn
      @CaspianJohn 7 หลายเดือนก่อน

      Walai tena

  • @IamSsasa
    @IamSsasa ปีที่แล้ว +6

    Oh my God! That was so annoying, but I love her confidence hahaha she refused to go take a shower she knew she wasn't smelling. Much love from UG 🇺🇬

  • @marylinebarasa1764
    @marylinebarasa1764 ปีที่แล้ว +4

    Mnaskia kaaarufu ama n mm nakaskia😂😂😂😂 benta mungu anakuona😂😂😂😂😂

  • @aliceshikor2413
    @aliceshikor2413 ปีที่แล้ว +3

    Nduma na mayai nikitu ya kwambia mtu ananuka woiye hahaha

  • @njerimercy2718
    @njerimercy2718 ปีที่แล้ว +1

    Hannah hamuezi fanyia BFF hivi ata nyinyi. Babes uko sure ungefika na boda hiyo asubuhi yote😂😂😂😂😂. You really got her well. Mimi ningelia

  • @NasimiyuLonah
    @NasimiyuLonah ปีที่แล้ว +7

    Na huyu maggie ni dem mcool aje.she is arguing in a polite way😂😂😂

  • @DIVINAH553
    @DIVINAH553 ปีที่แล้ว +3

    😂😂😂😂benta mbinguni ni ya wachache endelea na hizo vituko zako😂😂😂😂😂

  • @Jane-ru2ut
    @Jane-ru2ut ปีที่แล้ว +7

    Kama ni mm natafuta tu mshuto moja tu puuuussss ndio tukuwe wote the same mwache kuniekelea😂😂😂😂

    • @gentrixkhasiro
      @gentrixkhasiro ปีที่แล้ว

      😂😂😂😂😂😂

    • @sjfjfs7005
      @sjfjfs7005 ปีที่แล้ว

      😅😅😅😅😅😅😅haaaaauuuu

    • @LydiaAdhiambo-
      @LydiaAdhiambo- 11 หลายเดือนก่อน

      😅😅😅😅

  • @empressshanny4295
    @empressshanny4295 ปีที่แล้ว +2

    Welcome to Kenya huwa tunaskia harufu 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @LydiahBokee-lm2ul
    @LydiahBokee-lm2ul ปีที่แล้ว +3

    Ukipanda husikiii na ukishuka chini kinakugonga 😂😂😂😂😂hannah nyiiiiii walai😂😂😂😂😂ananukia

  • @JudithMasi
    @JudithMasi ปีที่แล้ว +11

    Hannah heaven utafika kama umechoka😂😂🎉

    • @IceChampakaWolf888
      @IceChampakaWolf888 10 หลายเดือนก่อน +1

      😂😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @loiseirungu5890
    @loiseirungu5890 ปีที่แล้ว +10

    Hey ata ka ni prank this was too much ....I like the confidence at the same time I felt for you Maggie

  • @MariahG959
    @MariahG959 ปีที่แล้ว +2

    Hannah huezi fanyia my neighbour ivo aki ..wooii Maggie

  • @angelathungu6401
    @angelathungu6401 ปีที่แล้ว +4

    😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 Maggie,pole saana😂😂😂😂@Hannah nikikuja kwako uniprank,tunafight😂😂

  • @JoyceLeakono-gk9ec
    @JoyceLeakono-gk9ec ปีที่แล้ว +5

    Khaii pia mm ngeskia vibaya Ku prankiwa hivi wueh hii imepita kiasi😂

  • @rosekesi7556
    @rosekesi7556 ปีที่แล้ว +2

    Aki Benta😂😂😂ata hautaki kumfungulia gate😂

  • @sharonmoraa4099
    @sharonmoraa4099 ปีที่แล้ว +2

    😂😂akh mm singewaforgive 💔

  • @bettymuchoki5440
    @bettymuchoki5440 ปีที่แล้ว +1

    Aaaaiii mm ningekua nmewaekelea mâkofi weh😅😅

  • @lilyan1330
    @lilyan1330 10 หลายเดือนก่อน

    This is amazing 😂😂😂😂😂, eti ataeza ua mtu wa ubber😅😅😅😅

  • @shikonjenga-eq1ky
    @shikonjenga-eq1ky ปีที่แล้ว +4

    😂😂😂😂😂Ati mmshikanie mmoshe😂😂😂😂

  • @ValehNjue
    @ValehNjue 5 หลายเดือนก่อน

    Aki Hannah
    Ukona marafiki cool Sana

  • @frankcourtney684
    @frankcourtney684 ปีที่แล้ว +3

    Mayai na nduma😂 .
    It's looks Yammy 👌😋😋😋😋

  • @margaretnjoki3836
    @margaretnjoki3836 ปีที่แล้ว +1

    Woii Maggie my name i have felt for her akii ata mm nigelia😢😢😢😢❤❤❤more pranks galfie ❤❤❤

  • @perisnjeri
    @perisnjeri 11 หลายเดือนก่อน

    Aki Hanan 😢nifeel kulia n Maggie nimemuhulumia ..ningemuchoma na hiyo chai 😅

  • @Car_enthusiastic254
    @Car_enthusiastic254 ปีที่แล้ว +8

    Justice for Maggie 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂nduma na mayai part 😂😂😂

    • @marynasim2615
      @marynasim2615 ปีที่แล้ว

      ❤❤hello friends mnipitie pliz

  • @ruthkiranga1987
    @ruthkiranga1987 ปีที่แล้ว +22

    Maggie's confidence is of another lever I love it 😍😍 ati niko na kwangu na siogi

  • @fioner1074
    @fioner1074 ปีที่แล้ว +2

    Too personal 😂😂😂it's Saad aki I feel for her you guys are too serious 😂😂

  • @rhouziemlite-vj2cj
    @rhouziemlite-vj2cj 8 หลายเดือนก่อน

    😂😂😂😂I was silent then boom Aaargh the nDuma n mayai

  • @FaithKemunto-r9w
    @FaithKemunto-r9w 8 หลายเดือนก่อน

    Hannah bebta u need to prank Jessy tuone kutaenda ajje💞💔😭

  • @Kikibossy254
    @Kikibossy254 ปีที่แล้ว +2

    Izo kabati huna time ya kupanga benta😮inakaa ndunyo😂woii mabeste kaa hao obident huwa hawana doo😂😂😂mna manipulate 😢 Hannah umenifurahisha ati mumushikanie... Mumuoshe

    • @PurityNgari-t5z
      @PurityNgari-t5z ปีที่แล้ว +1

      Yenyewe nashangaa marafiki wanainagani,,,wamenibooo

  • @tabithanjoronge2744
    @tabithanjoronge2744 ปีที่แล้ว +3

    Nduma na mayai😅😅😅😅ni kitu ya kunyimana

    • @LilianOrwavi-fd5or
      @LilianOrwavi-fd5or 10 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂 she's funny ati nduma

  • @listernyanchama2744
    @listernyanchama2744 ปีที่แล้ว +4

    It's the "nyi mmekufa question" for me😅😅😂

  • @Gracious-
    @Gracious- ปีที่แล้ว +6

    Ak hapo mwisho nmelia mm mtu acwai niprank walai mm tutamalizana juu roho niko nayo weuh

    • @rosemomanyi8093
      @rosemomanyi8093 9 หลายเดือนก่อน +1

      😂😂😂😂nakuona

    • @Gracious-
      @Gracious- 9 หลายเดือนก่อน

      @@rosemomanyi8093 walai c uongo😂😂😂 fika account yangu nifanyie ile kitu🥲

  • @hellen-kh2xm
    @hellen-kh2xm ปีที่แล้ว +3

    Aki Hannah hiyo si fare

  • @seniorsergeant
    @seniorsergeant ปีที่แล้ว +43

    Keep that spirit Maggie nobody should try to disrespect you

  • @barbramuna4081
    @barbramuna4081 10 หลายเดือนก่อน +1

    Ati usisahahu charger yako😂😂😂

  • @gracewaithaka6201
    @gracewaithaka6201 ปีที่แล้ว +3

    😂 😂 Maggie hapangwingwi 😂.. Nyinyi wasafi mmepelekwa wapi 😂

  • @codelabs9989
    @codelabs9989 ปีที่แล้ว +5

    Aki it's humiliating kuambiwa unanuka

  • @anneilado3352
    @anneilado3352 10 หลายเดือนก่อน +1

    Mufunge madirisha basi Kwa marge😂😂😂😂😂

  • @AnnNjeri-mz6hr
    @AnnNjeri-mz6hr 8 หลายเดือนก่อน

    Surely maggie ,,,,n beshte yangu

  • @hinyawanjiku-yh3th
    @hinyawanjiku-yh3th ปีที่แล้ว +2

    But ako na confidence😂😂😂ati ile.kitu mnanskia mtafute😂😭

  • @lavietrizer3934
    @lavietrizer3934 ปีที่แล้ว

    Huyu ako na roho😂😂😂😂na bado anawatengenezea chai😂😂mm vita ingeshuka

  • @divinahnyarangi205
    @divinahnyarangi205 7 หลายเดือนก่อน

    Hasira yangu ni mbaya aki mungu tu ni anajua😂😂

  • @Winnypretty
    @Winnypretty 9 หลายเดือนก่อน +4

    she saw the camera in the first pace😂😂😂 dakika ya 3:43

    • @Kareehwainaina
      @Kareehwainaina 8 หลายเดือนก่อน

      Wee accuracy on point ☝️🤣

  • @Benecah-tl8zp
    @Benecah-tl8zp ปีที่แล้ว +1

    Sasa kitu mnasema nanuka ni nduma na mayai 😂😂😂😂😂😂😂

    • @EvansWanaina
      @EvansWanaina 10 หลายเดือนก่อน

      Njhu urine and some buy

  • @lauryn3962
    @lauryn3962 ปีที่แล้ว +1

    😂😂😂"ghai!imagine ni maggy" that part😂woiieee!

    • @Sallygracious22
      @Sallygracious22 9 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂😂😂😂

  • @mercynzikwa4419
    @mercynzikwa4419 ปีที่แล้ว +3

    😂😂😂😂😂😂😂😂Khaaai aki hannah

  • @gracewangechi2170
    @gracewangechi2170 ปีที่แล้ว +1

    Huyu dame akiweka maji naona aliangalia camera so ni kama alijua kuna prank inaendelea 😂😂😂😂i saw her see the camera

  • @Fatymoha_
    @Fatymoha_ 10 หลายเดือนก่อน

    😂😂juu ya nduma na mayai

  • @WinnieSyombua-ka
    @WinnieSyombua-ka ปีที่แล้ว +7

    Woye Mimi atakama n prank siez vumilia ak naeza lia woye ak😢😢😢😢

    • @SusanKimwana
      @SusanKimwana ปีที่แล้ว

      And you know you clean!!! Ni madharau

  • @lilianwakhu8867
    @lilianwakhu8867 ปีที่แล้ว +1

    Aki hannah uliamua hiruma ni Estate,,😂😂😂😂😂❤❤wueeh,,ingekuwa mimi ningelia aki

  • @AnnNjagi-gz1nj
    @AnnNjagi-gz1nj ปีที่แล้ว

    Ndio maana huskii arufu juu ni wewe😂😂😂😂😂😂

  • @jacintamuasya7869
    @jacintamuasya7869 ปีที่แล้ว

    Wallahi mm siezi wasamehe😂😂😂nakula na naenda kwangu

    • @lauryn3962
      @lauryn3962 ปีที่แล้ว

      😂😂kukula lazima,aiih! haiezi ata teremka kwa koo

  • @musilivimediatrix3570
    @musilivimediatrix3570 ปีที่แล้ว

    Ooh Maggy sorry hiyo prank ni mbaya😂😂😂

  • @mildredshikami1234
    @mildredshikami1234 ปีที่แล้ว +1

    Ata kama n prank mm nifanyiwe hivi I cut the friendship 😂😂😂

  • @doreenmueke
    @doreenmueke ปีที่แล้ว

    Hio prank imenda shule 😂😂😂 Maggie pole na uwache kuwa mpole hivo

  • @beatriceokello9047
    @beatriceokello9047 ปีที่แล้ว +1

    Nduma na mayai 😂😂😂😂😂

  • @raelphilip2373
    @raelphilip2373 ปีที่แล้ว

    😅😅😅ati juu ya Duma na mayai

  • @risperbonareri942
    @risperbonareri942 ปีที่แล้ว +1

    Nice prank hii imeenda shule 😅😅aki n mko serious ananuka

  • @cheiruth
    @cheiruth ปีที่แล้ว

    😂😂nduma na mayai inafanya mnasema nanuka😢😢😢,,, Maggie you are soft mm🙆🙆🔥

  • @ipher420
    @ipher420 8 หลายเดือนก่อน +1

    Si poa hizi prank zibanniwe

  • @janewamaitha3407
    @janewamaitha3407 ปีที่แล้ว +1

    Nguvu ya kumwita Ann anatoa wapi 😂😂😂...mimi naeza mwita Hannah wa annaniah akii

  • @IreneMutoro
    @IreneMutoro 7 หลายเดือนก่อน

    Hii imeniua😂😂😂😂😂

  • @IbrahShaban-rm2ox
    @IbrahShaban-rm2ox ปีที่แล้ว +14

    Watu siwajinga huyo dem ana prankiwa alivyokua anaeka maji kwafriza ameangalia kwa camela😂😂😂

  • @annwanja3164
    @annwanja3164 ปีที่แล้ว +2

    😂😂😂😂the nduma na mayai part killed me😂😂😂😂😂aaaah

    • @codelabs9989
      @codelabs9989 ปีที่แล้ว +1

      Kikuyus can cook anything

  • @MarthaNyokabi-mg3cg
    @MarthaNyokabi-mg3cg ปีที่แล้ว +2

    😂😂😂 pole classmate,she was,funny though na,hashtukagi ni roho juu

  • @ebisibehmonari
    @ebisibehmonari ปีที่แล้ว

    Mtu wa boda was chilling 😅😅😅

  • @naomishi5182
    @naomishi5182 11 หลายเดือนก่อน

    Kama hamtaki mtu semeni😂😂😂😂

  • @lvyshan777
    @lvyshan777 ปีที่แล้ว

    😂😂😂aki ana wewe hapo pa eti ata kuendanishana na wewe ni stress got me😂😂😂

  • @Tashlyne-rt5di
    @Tashlyne-rt5di ปีที่แล้ว

    Hio prank apana aki wueh ka ni mm aki ito cwezi walai ju kitambo ufikie ku prank kitu ka hiyo lazima Kuna venye hua mnamusema..

  • @LucyMillicent
    @LucyMillicent ปีที่แล้ว

    😂,😂😂😂😂😂 siuoge to Aki nyinyi is not fair 😅

  • @listernyanchama2744
    @listernyanchama2744 ปีที่แล้ว +1

    Mnaanza kuambia mwingine ananuka juu ya mayai na nduma surely😂😂😂🤣I'm dead😂

  • @All-round-Martha
    @All-round-Martha ปีที่แล้ว +1

    Sisi forehead gang btw tunakuaga na hasira sana. Hasira yote Iko stored apo. Msicheze na sisi😂😂😂😂😂

    • @shikxwainaina4319
      @shikxwainaina4319 ปีที่แล้ว

      Aaah 😂😂😂😂😂😂😂 spare my ribs aky

  • @MarcelinoCellinah
    @MarcelinoCellinah 11 หลายเดือนก่อน

    Eti juu ya nduma😅😅😅

  • @belladaqueen9693
    @belladaqueen9693 ปีที่แล้ว +1

    Ati Maggie penda maji wewe ni msichana🤣🤣

  • @elizabethwambui3183
    @elizabethwambui3183 10 หลายเดือนก่อน +1

    Ati ghaii imagine ni maggy.....😂😂😂Aki hannah

  • @zayntana297
    @zayntana297 ปีที่แล้ว +1

    Maggie alisema anataka kwenda then akakumbuka, Kuna nduma na mayai😅😅😅😅😅😂

    • @jahckythom2580
      @jahckythom2580 11 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂😂😂😂

  • @rhodawambui459
    @rhodawambui459 ปีที่แล้ว +1

    😂😂😂 i had to subscribe becz of this,big up hannah😂😂😂

    • @yogamyg
      @yogamyg 6 หลายเดือนก่อน

      ME TOO😆

  • @margaretndungu7662
    @margaretndungu7662 ปีที่แล้ว +1

    Aki Hannah huwezi fanyia schoolmates hivyo..... Maggie

  • @reginahgathoni4297
    @reginahgathoni4297 9 หลายเดือนก่อน

    Woiye wakonyo😂😂😂😂😂

  • @estrella5185
    @estrella5185 ปีที่แล้ว +7

    The prank was fire🔥🔥🤣🤣😂😂i even felt for maggie🤣

  • @cellinamjeni7573
    @cellinamjeni7573 ปีที่แล้ว

    Kamagie kanakaa kapole masikini pole dear 💔😅😅

  • @pascalinenjeri7283
    @pascalinenjeri7283 ปีที่แล้ว

    Aki hamtaona mbinguni nyinyi 😂😂😂😂

  • @muirurisusanwairimu3399
    @muirurisusanwairimu3399 ปีที่แล้ว

    Kwani mtu husikia smell 🤣🤣

  • @BelindahJohns
    @BelindahJohns ปีที่แล้ว +1

    Nduma na mayai😂😂😂😂

  • @pollynsheeofficial
    @pollynsheeofficial ปีที่แล้ว

    Hannah was kujifunika mapua na t-shirts necessary unaweza Fanya mtu afikirie ni ukweli ananuka🤣🤣🤣🤣🤣

  • @sylviakoech4009
    @sylviakoech4009 ปีที่แล้ว

    😂😂😂😂ata kama ni me ningetoka mbio sana nkilia😢😢😢 pitieni kwangu pia

  • @marthamaina1204
    @marthamaina1204 ปีที่แล้ว +5

    Hannah utaniua ati Maggie penda maji nko Chini 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @evamacharia4742
    @evamacharia4742 ปีที่แล้ว +1

    Me Hannah kabla ifike it's a prank tutakuwa tushafika Kwa mangumi najijua tu😂😂

  • @Georgereen
    @Georgereen ปีที่แล้ว

    Mtu wa uber atakufa😂😂

  • @SandraOkumu
    @SandraOkumu ปีที่แล้ว

    hee hiyo intro tumebondewa🤣🤣🤣

  • @PaulWaweru-sk9yw
    @PaulWaweru-sk9yw 8 หลายเดือนก่อน

    Ameona camera yawa

  • @hildanjiru3540
    @hildanjiru3540 ปีที่แล้ว

    Aki Hanna jameni😂😂😂😂

  • @cwangari1133
    @cwangari1133 8 หลายเดือนก่อน

    Maggie ni fire mungemwosha mungekipata 😂😂😂😂try me!!!

  • @shesblack8917
    @shesblack8917 9 หลายเดือนก่อน

    Nilihurumia maggie until vile alianza kuongea mbaya 😢

  • @janenjeri427
    @janenjeri427 ปีที่แล้ว

    Njuu ya nduma n mayai 😅😅

  • @ShikohShii
    @ShikohShii ปีที่แล้ว +1

    Wenye tumetoka TikTok,lakini Hannah unaweza Fanya mtu alie😂😂😂