RAIS SAMIA AKIWA KWENYE MAZUNGUMZO YA ANA KWA ANA KATIKA JUKWAA LA THE CITIZEN RISING WOMAN

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 29 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 37

  • @FatinaAlly-f5f
    @FatinaAlly-f5f 7 หลายเดือนก่อน +1

    Mashallah

  • @fatmaaliomar9733
    @fatmaaliomar9733 7 หลายเดือนก่อน +1

    Ahsante Muheshimiwa Rais kwa kujiamini na kuweza kutuvusha nchi yetu salama tokea ukae madarakani na kujitahidi kutuongoza vizuri kwa kutuletea maendeleo katika nchi yetu ya Tanzania.Kazi iendelee.

  • @MwatijaFikoti
    @MwatijaFikoti 7 หลายเดือนก่อน +1

    Mama yetu upo vizuri.ujajibu vizuri big up.

  • @neemafuime215
    @neemafuime215 7 หลายเดือนก่อน

    Kauli ni kitu chema,Mama una kauli za hekima sana.Barikiwa sana Mama

  • @frankbangimoto3462
    @frankbangimoto3462 7 หลายเดือนก่อน +1

    Mama anauwezo mkubwa mno na kimsingi ana talanta ya uongozi na kipawa cha hali ya juu. Na tunapaswa kumtia moyo wakati wote na cha msingi ni kuweka mifumo rafiki yenye kulijenga taifa letu malidhawa la Tanzania. Mama ana chapa kazi vizuri sana ila baaadhi ya watu aliowapa mamlaka baadhi yao wanamuangusha sana baadhi ya sehemu na hii inahitaji jicho lenye radha ya kuona mambo kwa mawanda mapana zaidi. Na bado nina imani kubwa kuwa atatuvusha salama kabisa hata kipindi kijacho cha uongozi wake na tunaenda na T2025 SSH. Kila la kheri mama yetu.

  • @neemafuime215
    @neemafuime215 7 หลายเดือนก่อน

    That was a statement Mama. You have proved men that we women we can …Yes we Can

  • @namuaifarmslimited7840
    @namuaifarmslimited7840 7 หลายเดือนก่อน +1

    Mama Samia, Namna ulivyo jieleza. Maneno yako yanaonyesha wewe ni mzazi mwema na unastahili uendelee kutuletea. Huna hiyana Mama yetu.
    M/mungu akulinde na shari zote duniani na Akhera.

    • @SelemanHaridy
      @SelemanHaridy 7 หลายเดือนก่อน

      Ni kwel lais

  • @gracekagoma3231
    @gracekagoma3231 7 หลายเดือนก่อน

    Mimi nilikuamini tangu dakika ya kwanza bila wasiwasi kabisa🎉❤

  • @FatinaAlly-f5f
    @FatinaAlly-f5f 7 หลายเดือนก่อน

    Allah hakika ukiwa kiongozi lazma ujue kuishi na kila mwanadamu

  • @vinenswilliam3534
    @vinenswilliam3534 7 หลายเดือนก่อน

    Mama is such an inspiration!

  • @nancynoellacryson5271
    @nancynoellacryson5271 7 หลายเดือนก่อน

    Ukisikiliza historia ya mama ni dhahiri Mungu alimuandaa kuja kuwa rais

  • @WhitneyWilliam-vx6oc
    @WhitneyWilliam-vx6oc 7 หลายเดือนก่อน

    Now i understand her.....❤

  • @zainabomar5144
    @zainabomar5144 7 หลายเดือนก่อน

    Nakupenda mama,nataman siku nikuone inshaallah,ninajambo tutete

  • @petersilas4234
    @petersilas4234 7 หลายเดือนก่อน

    Mama Yuko vizuri, ila haya mambo ya uhuru mpana Sana tuangalie Sana ya Gorbachev, pana la kujifunza pale.

  • @IsmailOmar-k1f
    @IsmailOmar-k1f 7 หลายเดือนก่อน

    Sichoki kumsikiliza ❤

  • @neemafuime215
    @neemafuime215 7 หลายเดือนก่อน

    Mama saidia otherbtea bags we can Mama
    I quote what you quoted “Woman is like a tea bag,you cant know her strenght till you put in hot water” …..Umeweza ❤

  • @nenenongi66
    @nenenongi66 7 หลายเดือนก่อน

    Mungu aendelee kukusimamia,naamini umeweza na unaweza wewe Mungu alijua kabla hayajatokea hayo yaliotokea,Mimi naamini tukikupa miaka mingine hata kumi ijayo naamini Tz itakuwa nyingine,naamini utatufikisha sehemu nzuri,tunakuombea.we love you mama.🙏

  • @abubakarkarsan31
    @abubakarkarsan31 7 หลายเดือนก่อน

    Huyu mama mimi niliwahi kumuona na kuongea nae kidogo sana,mwaka nimesahau,mimi nilikuwa mwenyekiti wa mwanza press club,na pia nilikuwa mwenyekiti wa mtandao wa ngos za mwanza inaitwa mwanza non governmental organizations,mwaka huo,ngos za mwanza kwenye sherehe ya simu ya mwanamke,tulimwalika yeye awe mgeni rasmi na akaja tulifanya mkutano hapo nyamagana,mimi na wenzangu tulimpokea na kwa muda kidogo tukaongea nae,na nilimwona,akijiamini sana.Nimemsikia leo kwa makini sana,kama alivyokuwa marehemu Mwinyi,huyu mama Mungu alimuandaa kuwa rais wa nchi na alimpitisha kote huko ili ajifunze,namna ya kuongoza.Mungu ampe moyo,busara,ujasiri na uvumilivu

  • @mfaumeetienne2814
    @mfaumeetienne2814 7 หลายเดือนก่อน

    Congratulations

  • @aminanamoyo83
    @aminanamoyo83 7 หลายเดือนก่อน

    ❤❤

  • @johnokuyu
    @johnokuyu 7 หลายเดือนก่อน

    🙏🙏🙏🙏 waeeeain 🇰🇪🇹🇿 Ameeein

  • @neemafuime215
    @neemafuime215 7 หลายเดือนก่อน

    Historia ya Mama ni chachubya Matumaini.Hakuna kukarabtamaa sisi wanawake

  • @StumaiHassan-q2c
    @StumaiHassan-q2c 7 หลายเดือนก่อน

  • @neemafuime215
    @neemafuime215 7 หลายเดือนก่อน

    Watu wa January to February tuko vema jamani acheni tu😂😂😂

  • @abubakarkarsan31
    @abubakarkarsan31 7 หลายเดือนก่อน

    Mama anaongea kwa uhodari na ukakamavu,pia Bakari kauliza vizuri sana,japo ni dhahiri mama katoa coated answer,kwamba alikuwa anawajibu watu walio karibu nae

  • @dodotz906
    @dodotz906 7 หลายเดือนก่อน

    Ada ya Mja Hunena... KAZI INAENDELEA...

  • @FatinaAlly-f5f
    @FatinaAlly-f5f 7 หลายเดือนก่อน

    Hskika kila mja ana mapungufu yske hakika hakuna alie kamilika ni kujitahidi kuchukulia mapungu fu ya mja na kwenda navyo

  • @carenhilary8067
    @carenhilary8067 7 หลายเดือนก่อน

    MAMA RAISI WETU MUNGU AKUTUNZE,LAKINI NIOMBI LANGU NATAMANI KUPATA NAFASI YAKUONGEA AU KUKUTANA NAWEWE MAMA ,BARIKIWA SAAANA

  • @FatinaAlly-f5f
    @FatinaAlly-f5f 7 หลายเดือนก่อน

    Allah ni mjuzi wa yakini na hujua nani anaweza kuwa nani na humchagua amtakae na humuongoza amtakae hakika ulipata kiti kinacho stahiki kwani wewe ni kiongozi shupavu

  • @drewbulbuloglu9234
    @drewbulbuloglu9234 7 หลายเดือนก่อน

    Kutawanyika vyema