Ya'ani sio tu mjaja kwakuimba sijui alikiba ni MTU au ni music note? Jama hadi kawapotezea kwenye uwanja wao KBS... Salute my kingkiba #alikiba... Rwanda, East africa, Africa we must be proud of this talent... Nyau... Ebu sikia bongo flaver ilivyo cyanganywa amapiano duh! Niko hoyi...
Utu uzima dawa kweli!! That's why nakukubari Alikiba...harafu watoa tuzo wanakuja kuwapa Tuzo WAIMBA MATUSI kisa wanamajina na Pesa......u still A King in Bongo fleva Music.
Noma Sana! Mpaka kwenye mziki wao King umeenda kuwafundisha Nini Cha kuimba! Noma zaidi ya Sana! Humu hakuna kugeuza macho juu juu Kama mtu unataka kukata roho! Unapata burudani na ujumbe unaondoka nao plus vocal kaliiii kweli kweli! King Kibaaaaa!
Weweeeee ngoma yamoto kaka king kiba fundi wa kuotea mbali marioo na yeye ajacheza mbali tunapita kule kule asake wa tandale number 1 ataisikia 2 😂😂😂😂😂🔥
Weeee hili goma ni hatareeeee......msg kali sanaaaaa❤
Dahh king ni mmoja tu mpaka afe tuchague mwingine gonga like za kiba hata kumi wazee kazi mzriii xn
Waaaazi nmengoja sana hli ngoma bro good job
Bonge la ngoma kaka mafundi mmekutana hakikisha mondi akai namba 1 🔥🔥🔥🔥🔥🔥
nakupenda alikiba 👏👏👏👏 una bayaaaaaaaaa
WOYOOOOOO WAKWANZA LEO NI MM KING KIBA 🔥🔥🔥🔥🔥
Sumu king 👑 and young king,
Mbona sijasikia Chino wa men 🔥 Kama nakubali King & Toto Bad Gonga Like 🤩
Bad nation and King's music ❣️
Alikiba na marioo mmeuwaaa sijawah kutegemea alkiba angeimba namna hii na beat ya bongo piano.hili goma n 🔥🔥
Yaaaaaaaap king
Goma Kali 🔥🔥🔥🔥🔥🔥 kumbe alikuwa anewaacha wajigambe ndo aonyeshe .
King forever anafanya kama King
Kama umeikubali ngoma ya king kiba gonga like hapa please
#Bongo_Amapiano hiii ni shuleeee watoto. Waje wasomeeee. 🙌🙌🙌🙌
King kiba noma sana 100%ngoma kali sana haina kelele inaskilizika kwa kila mtu
Milioni 50 umesha ikosa bro ngoma itasumbua hii🧠🍾☄☄☄
Baaaaaadi big up sn🇰🇪
Bonge la ngoma kutoka kwa 👑 kiba
Bonge moja la hits hili yaani ni la kuombea mkopo kabisa na ukapewa bila maswali. #KingKiba
Jameni huu alikiba mbona bingwa sana ❤❤❤? Hii amapiano is so fire 🔥 🔥 🔥
King 👑 🔥, from Kenya it's approved
Mafundii wawili kwenye Amapiano Dadekiii 🔥🔥 gonga like tuondoke
On fireeee sumu
🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥💥 King Kiba Ft Badie
King Kiba hazeeki bana 💥hits tu from nikiwa around 7yrs mpaka sasa uzeeni 21yrs man. Living Legend✊
Wow ❤❤❤❤❤
Salute kwa alikiba tumeiyelewa ngoma ❤❤
Wewe uliyoko apa saizi kuakikisha tunapeta 1 on Trending twanga like tufahamiane apa #Kings
Only one king wakwanza jaman naomben like zenu amapiano fulan jamaa.
Kingkiba 👑 badbad 🙌🙌💥
Mwamba huyu hapa sasa, tulisubiri chuma hiki hapa🔥🔥🔥🔥 nilijua tu kitawaka haya likes hapa team good music
Nategemea #dance ya hii #sumu iwe kama hivi th-cam.com/users/shortsNi5694EgzO8?feature=share4
th-cam.com/video/vazEIFBZvWM/w-d-xo.html
Kiba
@@CentralMerlinKamauSpartap0😅
Bonge ya ngomaaa kudadeki trend ni moja mpaka mwaka.uishe
Goma litambae 🔥 🔥
King ni moja tu na anajulikana sio mwengine yooow king kiba 🔥🔥🔥🔥
Mziki unasilizika na unachezeka🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Abudhabi 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉#onlyoneking
Gonga like hapa kama umeikubaliii hiii ngoma nouma sanaaaaaaaaa 🔥🔥🔥🔥🔥
Sumu hii staki maziwa kabisa 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Sound nyokooo...Abbah🙌🙌🙌🦅🦅🦅
Shabiki mwenye mapenzi ya kweli hali lali hovyo mpaka jambo la mfalme lipite ukilala bila kufanya kazi utaiba na ukumbuke kuna jela #Sumu
Nimeipendaaaa iyoooo king ft mariooo🔥🔥🔥🔥
Mwamba kabisa boss ❤
Good one right now it's 🔥❤
Sema nn King Kuna mda watoto wadogo wanatakaga wakuzoee..ila hawakuezi wahlai🔥🔥🔥
😅😅 umeonaa kawanyosha
The song is lit mehn🎉
Jaman ni amapiano lakin watu wameimba sio kelele wala tatusi..Nomaaa king
Ni SUMU kumchukia #King Kiba....The song hits differently
Haaa uyu nan kaimba tena hii ngoma.. hooo kumbe king mfalume wa musc duuuh aya twenden sawa wanangu
king kibaaa team Mapicha for life🎉🎉🎉🎉
King kiba x next King 👑
Yessssss ngoma yamwaka🔥🔥🔥
Umekomaa Sana fikra ALIKIBA mandondocha lazma wangesema Kuna gesti wanapromot dhambii big up KING na Marioo saf amekumbusha madenii
🔥🔥
Huu mwaka ni wetu aise #TEAMKIBA twenzetu
Dah! Yani kiba noma sana wewe King 🤴 yani unajua sana bro
wanavyotaka tunaruka navyo 💥💯 The King never disappoint,,, hit song 👌👌👌
We 🎉 listen good music 🎶🎉 with good melody 🎉
King 🔥🔥🔥🔥🔥
KING 👑 ME ndo wakwanza jaman naomben zanguuuu likee
Goma la kikatilii uyu kiba bc kashndkanaaa
King kiba na marioo ni 🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Pisi kali❤
Yani ngoma inavyoanza unajua hit moja kali ya mwaka kudadeki❤❤❤
Love from kenya
Ya'ani sio tu mjaja kwakuimba sijui alikiba ni MTU au ni music note? Jama hadi kawapotezea kwenye uwanja wao KBS... Salute my kingkiba #alikiba... Rwanda, East africa, Africa we must be proud of this talent... Nyau... Ebu sikia bongo flaver ilivyo cyanganywa amapiano duh! Niko hoyi...
Jamaa ni genious Kama jini flani kwny music
The one and only
Mke wa mtu sumu ni ngoma ambayo ukisikiliza haraka haraka unaweza usiielewe na huo ndo mziki wa Alikiba ulivyo ni kama dawa utapona taratibu 👑👑
hamna kitu we sema tu ukweli
😂😂😂😂
n kwel kabsa
Duuuh hapa team tuweke pembeni kiukweli hii ngoma nimeipenda sana 🤝
Wallahi
😊
Eyooo This is Bad 🔥🔥
Woooooowwwww❤❤❤❤ king kibaaahhh
Uwiii Alikiba na Mario🙌🙌🙌 thanks for this jam...Abbah salute kwako..certified banger
Nomah sana king
#Bongopioneer 🇰🇪 Kenya represents ❤❤
Bon mélodie macha allahh continue comme ça 💪
❤ mbogo kumekuchaaaaaaaaaa🎉
Kama unapenda vile King kiba anaimba gonga like 🔥🔥
Kingkiba 🔥🔥🔥💥💥 Gong like hapo kama umeikubari #sumu
ngoma kali sana
Utu uzima dawa kweli!! That's why nakukubari Alikiba...harafu watoa tuzo wanakuja kuwapa Tuzo WAIMBA MATUSI kisa wanamajina na Pesa......u still A King in Bongo fleva Music.
Utashangaa.Nabii hakunaliki kwao
Kama unakubar hii ngoma 100% gonga like
Yebabaaa yaani King umeamua kuua kweli #Sumu
JIWE LA MWAJA HILI...🔥🔥🔥LITASUMBUA SANAAA...💪💪💪MUCH LOVE FROM..🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Respect the king 🤴 king kibaaaa
Apo safi kaka good song makes me very happy this weekend
Bongo piano+kingkiba to the world 🌋🔥✍️✔️💯%
Nice song
King 👑 kiba 1
good music good vibes 💯😎
Gonga like kama unaukubali wimbo huu, On fire 🔥
❤ngoma kalii
Oyooooooooooooooooooo hatimae bhana team kiba weka like twende sawa
Noma Sana! Mpaka kwenye mziki wao King umeenda kuwafundisha Nini Cha kuimba! Noma zaidi ya Sana! Humu hakuna kugeuza macho juu juu Kama mtu unataka kukata roho! Unapata burudani na ujumbe unaondoka nao plus vocal kaliiii kweli kweli! King Kibaaaaa!
😅😅😅😅😅😊😊😊😊
Kaka huyu jamaa nimkali kinoma sema wabongo si tunazingua sio pw mm kwa king mbele mbele iyoo, na sisi kama people tutasomana ivoooo tu
Ni hatariiii huyu jamaa danger de mort
Safi sana hiyo collabo
Hii ngoma ndio funga mwaka imewezaa sana🔥🔥🔥
Boom..classic..🔊🎵_Lyrics..song..🔥🔥
King kiba na toto bad🔥💥❤️
Nice one big song lyrics 🔥🔥, kama unakubali gonga like
Weweeeee ngoma yamoto kaka king kiba fundi wa kuotea mbali marioo na yeye ajacheza mbali tunapita kule kule asake wa tandale number 1 ataisikia 2 😂😂😂😂😂🔥
This is a banger keep going king kiba👑
First amapiano to have good lyrics
Mynyamaaa
What a beautiful song 🔥🔥 hakuna shuuu shuuuuuh Wala fufufufuhhh amapiano ya kiutu uzima 🙌🙌
😅😅😅
😂😂😂 alafu beat la amapiano umelisikia sio la kuigiliza wasouth,na zile shushu shukuu wanawaiga wasouth🤣🤣🤣
@@princekarani7836 umeonaee 😂😂
Mna kitu mtafika mbali 😂😂😂
You're always king keep it up ma boy
Song is fire worldwide 🤣🤣 kwenye jambo langu kaaa mbali kuna jera