Maashaallah muheshimiwa wazir juma aweso kaz nzur Allah akusimamie kwa kila jambo na hatua na akulinde na hasad za sir na zahir Inshaallah 🙏🙏🙏❤❤❤my brother kaz iendeleee
Arusha MTU analetewa bili ya 60000 na mita hazifanyi kazi yani hazitumiki lakini idara ya maji inaleta bili waziri njoo arusha tatizo lipo kubwa sana ni wababe hawaambiliki njoo waziri
We wa arusha tarakwa mji mdogo wa ngaramtoni hatujapewa maki ya Mari nini tatizo km saitabau wamefungiwa maki kila sehemu kwanini kata ya tarakwa tunaweza ndoo
MHESHIMIWA WAZIRI MADUDU HAYO HAPA DAR NDO YAMEZIDI, HAPA DAR VITUO VYA MAJI VYA BOKO NA MIVUMONI UKITAKA KUWEKEWA MAJI INATAKIWA MTEJA AJIPANGE MAANA ANASUMBULIWA SANA, BILA KUTOA RUSHWA KUUNGIWA USAHAU : USHAURI WANGU KUHAMISHA WOTE, ILI WAACHE KUFANYA KWA MAZOEA
Huwez amini kesi ya Nyani ukampelekea ngedere haw watu wa uzibit Wa hv v2 EWURA hawaoni haya mamb au wenyew wanadili tu n raia kuhuxu upandishaj w bei diesel
Maashaallah muheshimiwa wazir juma aweso kaz nzur Allah akusimamie kwa kila jambo na hatua na akulinde na hasad za sir na zahir Inshaallah 🙏🙏🙏❤❤❤my brother kaz iendeleee
Great! Uzao wa JPM kazi iendelee
Mungu akubariki kuwapigania wananchi
Kwa kweli nakupenda sana sana unasimamia Haki ❤️❤️❤️❤️❤️
Mungu simama na huyu waziri Aweso, msimharibie kazi jmn ni mtu mwenye wito kwenye uongozi.🇹🇿
Asante waziri
Arusha MTU analetewa bili ya 60000 na mita hazifanyi kazi yani hazitumiki lakini idara ya maji inaleta bili waziri njoo arusha tatizo lipo kubwa sana ni wababe hawaambiliki njoo waziri
Waziri ongelea tz, kote ni madudu idara ya maji, toa bei ya unit 1, na kuunganishiwa kiasi gani ijulikane, tunapigwa mno
We wa arusha tarakwa mji mdogo wa ngaramtoni hatujapewa maki ya Mari nini tatizo km saitabau wamefungiwa maki kila sehemu kwanini kata ya tarakwa tunaweza ndoo
Tunaomba uje Arusha mjini zaid sana Muriet bill zinatuzid uwezo wetu baba
Simanjiro tunaumia sana wazir
Baba njooo dar
MHESHIMIWA WAZIRI MADUDU HAYO HAPA DAR NDO YAMEZIDI, HAPA DAR VITUO VYA MAJI VYA BOKO NA MIVUMONI UKITAKA KUWEKEWA MAJI INATAKIWA MTEJA AJIPANGE MAANA ANASUMBULIWA SANA, BILA KUTOA RUSHWA KUUNGIWA USAHAU : USHAURI WANGU KUHAMISHA WOTE, ILI WAACHE KUFANYA KWA MAZOEA
Hawa jamaa hua wanamajibu ya ovyoo mh
Yaani hao hawakusikia enzi za magufuri kwa sasa mkuu hapo unapigia mbuzi gitaa tu
Waziri unadanganywa Arusha maji unity 1857 huyo alie kwambia 1300 mchunguze kwanza
Tuambiwe na dar ni shilling ngapi?
WILAYA YA KINONDONI VITUO VYA BOKO NA MIVUMONI NI SHIDA SANA WAZIRI KUUNGIWA MAJI KERO KUBWA BILA RUSHWA
Mimi nimeletewa bili mara2yani wiki hiii bili iliyofuata bili sijalipa mpaka leo muheshimiwa wetu
acha,hiyo,waziri,mm,kwangu,nimenunua,mita,maji,yanatoka,kwa,mgao,ila,siku,yakitoka,kwangu,hayatoki,ninataka,kuandikabarua,waje,watoe,hiyo,mita,na,wakate,bomba,mm.niko,
mbezi,kibaoni
Hapa mwanza 2000 waziri unashangaa 1500
Sisi huku mbezi makabe maji ya chumvi unit 1 5000
Cyo unit 2 hata vifaa wanavyotufungi ndy vle vle vnavyouzw mtaan bal vkifk huko idaran bac n mzaid y Mara,mbli bei alaf lazm wakuuzie wao tunapigw
hapa kibaha 1700
Huwez amini kesi ya Nyani ukampelekea ngedere haw watu wa uzibit Wa hv v2 EWURA hawaoni haya mamb au wenyew wanadili tu n raia kuhuxu upandishaj w bei diesel