Kocha ana mwezi 1 na nusu tu na kikosi ambacho 70% ya wachezaji ni wapya, hawajakaa kwa msimu 1 pamoja yaani ni msimu wao wa 1? Kocha na benchi la ufundi ni Jipya...HUYU KOCHA NI MZURI SANA KIKOSI KIKIJA KUELEWANA YANGA HII ITAKUWA BALAA! Yanga hii akina Haruna, Carlinhos na Saido....wote hawa hawakuwemo leo....Yanga hii itatisha sana na ndio maana wana nafasi ya kuchukua ubingwa MECHI 10 YANGA UNBEATEN...(WON 7 DRAW 3)
Naipenda Sana Yanga
yanga wapo vzuri sanaaaa
Kambi kiboko hy 💚💛💚💛 love you yangaaaa💕💞🔥🔥🔥🔥
Leo mnapigwa moja..bilaaa
Perfect coverage
Mbere2 nyuma mwiko
Kocha ana mwezi 1 na nusu tu na kikosi ambacho 70% ya wachezaji ni wapya, hawajakaa kwa msimu 1 pamoja yaani ni msimu wao wa 1? Kocha na benchi la ufundi ni Jipya...HUYU KOCHA NI MZURI SANA KIKOSI KIKIJA KUELEWANA YANGA HII ITAKUWA BALAA! Yanga hii akina Haruna, Carlinhos na Saido....wote hawa hawakuwemo leo....Yanga hii itatisha sana na ndio maana wana nafasi ya kuchukua ubingwa MECHI 10 YANGA UNBEATEN...(WON 7 DRAW 3)
Avic camp ulaya ndani ya dar
Suala la ubingwa ni given wala halihitaji maelezo
arafu oooh yanga omba omba Awana pesa
Ombaomba dadaako
Haya ss km washabiki yet macho tu
Tutaonaje hii game kwa sisi tuko ujerumani😳😏
Hawa machizi wa Mikia wanaropoka.Eti goli tatu,yakowapi sasa?
Nyambu was tari
Wanasimba awamu hii kazi mnayo.
Hiii kambi hataree
Nakukubal san babu wakazi upo vizur unajua kudadavua vityu
Daah kwakweli wawekezaji yanga wamewekeza sio utani Kama ulaya....inanukia
Du iii kambi so poa ata wachezaji wa simba wanataman kuwa yang
mpira wa bongo uchawi mtupu
Umeona kambi ya simba wewe? ?
Kama bweni la Secondary 🤣🤣hiyo ya simba
@@uwembatvonline ya yanga kama kanteen ya ya shule za kayumba