RC CHALAMILA awaka wamiliki wa MADANGURO "Nitapiga Lock Baa Zote" | Atoa siku Tano

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 8 ก.ย. 2024
  • Dar es Salaam. Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Albert Chalamila ametoa siku tano Kwa wamiliki wa madanguro kuyavunja wenyewe, wasipofanya hivyo atataifisha nyumba hizo.
    Pia amewaagiza wamiliki wa baa zote ambazo nje kunafanyika biashara hiyo kuhakikisha wanawaondoa vinginevyo atazifunga.
    Chalamila ametoa maagizo hayo leo Ijumaa Novemba 3,2023 wakati alipotembelea madanguro yaliyovunjwa na uongozi wa Manispaa ya Kinondoni.

ความคิดเห็น • 2

  • @Yona-bj6cg
    @Yona-bj6cg 10 หลายเดือนก่อน

    big up sana rc chalamila

  • @malkiawanguvu3150
    @malkiawanguvu3150 8 หลายเดือนก่อน

    Wapendwa naomben mwenye namba ya mkuu wa mkoa nashida nae saana Nina Kero kubwa saana