Wasukuma ni magenius sana, hapo hana elimu na ameishi kijijini lakini angalia uwezo wake wa kujieleza, uwezo wake wa kukwepa maswali ya mtego na namna anavyoweza kumuelezea mtu mwingine bila kuathiri chochote.
😂😂😂😂😂😂😂 niache ng'ombe kuchunga unajua utam wa maziwa weweeeeeeeeeeeee 😅😅😅😅😅😅😅😅😅 wahbeja saana kutuwakilisha 🙏🙏🙏🙏 ogopaaaa n hatari hizi n zawachache ww
Watangazaji mnapapara sana yaan mnataka nyie ndio mtoe majibu 😅😅😅mnakera ulizeni maswali sio kutoa maelezo meeengi mpaka mnajijibu wrong😅😅😅😅😅😅 Bora huyo dada
Mwanaume wa kisukuma anaelezeka:- Sifa ya 1st kbsa: Siliazi sana,alisema ndio ni ndio. Hapana ni hapana. 2nd. Akipenda amependa ila ukimfanyie asiyopenda akigeuka nyuma habadiliki tena 3rd......, ......... ........
Mie Niko kwenye kampeni ya kupandisha solo la wanawake weusi maana ni watiifu na wavumilivu maishani tutaanza kuwapa ng'ombe 60kwa 70 tuwapiku mie ndo nitawafingulia jahazi
Thanks nyanda for your speech, I'm Francis from kenya
Nakukubali sana msukuma mwenzangu
Nyanda kama nyanda keep up much love kwako ❤
Jidanganyeeeeeeee!!😂😂😂
Wasukuma nawakubali.Mpewe maua yenu.🌹💐
❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Nihatariiiiiii
@@Manyandaevance Ogopaaaaa
th-cam.com/video/4kcn-b6558w/w-d-xo.htmlsi=6tvi_fNv9IP9dHe-
Asanteeeee tunakupenda pia😂😂😂😂😂
Sana mwamba big up 4u nmependa kazi yako pia nataman nami cku1 nifanye kazi Kama hiyo Ila ilanakutana na changamoto za mazngira -, ❤❤
Kjana "Nyanda" anaupiga mwingi kwelikweli👍👍
Wale waliomsemag vibaya kipind kijana anaanza saiz wameishia kushangaa tu kwa jinsi MUNGU alivyomwinua kjana wetu.
th-cam.com/video/4kcn-b6558w/w-d-xo.htmlsi=6tvi_fNv9IP9dHe-
Unaweza Dhani kafundishwa kuongea lakini jamaa ni real kabisaa no fakes
Habal
th-cam.com/video/4kcn-b6558w/w-d-xo.htmlsi=6tvi_fNv9IP9dHe-
kwl kabisa
Ogopaaaaaaaaa jidanganyeeeeeeee❤ bigup sana planet bongo
th-cam.com/video/4kcn-b6558w/w-d-xo.htmlsi=6tvi_fNv9IP9dHe-
Daaah nimeenjoy kumsikia msukuma 🔥🔥🔥🙌🏾⚡️
Nimemuhelew San Mshkaj Anajuw Kujibu Na Kujihelez Big Up Xan 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Sasa ww kujiheleza ndo nn?
@@sikudhanimohammad7692🤣🤣🤣🤣
Ogopaaaaa😂 huyu mwamba ni wa Geita sio Rock city
Huyu nyanda anachekesha kweli.😂😂😂 Nihatari ogopa jidanganye.
Perfect nyanda
❤man you're able may GOD continue to bless you. And may we all say Amen.
Huyu jamaa anakipaji kikubwa sana jamani ❤❤❤
th-cam.com/video/4kcn-b6558w/w-d-xo.htmlsi=6tvi_fNv9IP9dHe-
Huyuu mtangazajiiiii anamuona msukuma mbululaa kweliiiii anampa maswaliii ya mtegomtego wakati hajuwi kwamba msukumaaaa anajielewaaaa hatariiiiiiiiiii😅
Sana.Wasukuma wako vyedi
Uwooooiiii 14:53
th-cam.com/video/4kcn-b6558w/w-d-xo.htmlsi=6tvi_fNv9IP9dHe-
Hatari 🔥🔥
Ogopaaa 😂😂😂
Huyu dada mdangazaji namkubali sana anasauti nzuri sana ya kutangaza bravoo
Mr ogopa mimi nakusuport kwenye maziwa
Sasa magombe yana kumiss kaka inatosha rudi tuu , kaka 😂😂😂
th-cam.com/video/4kcn-b6558w/w-d-xo.htmlsi=6tvi_fNv9IP9dHe-
Mwamba uko vizuri sana ufike mbali
Hatari ogopa😂😂😂😂 nyanda Big up sana 🎉😅😊
th-cam.com/video/4kcn-b6558w/w-d-xo.htmlsi=6tvi_fNv9IP9dHe-
Nawakubali sana wasukuma,wako kwenye uhalisia
th-cam.com/video/4kcn-b6558w/w-d-xo.htmlsi=6tvi_fNv9IP9dHe-
Msukuma mwenzangu umetishaaaa
Sikutaka kucheka ilaa kwa nandy mpaka imenilazimu aiseeee nyanda kabundi maua yako 🪴🪴🪴🪴🪴🪴🪴🪴🌲🌲🌲🌲🌲🌲🌲🍀🍀🍀🍀🍀🍀🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🍀🍀🍀🍀🍀🍀🌳🌳🌳🌳🌳🌳🌳🌳🌳🌳🌳🌳🪴
Nihatareee ogopa😂❤ chezea wa kwetu 😂
Wasukuma ni magenius sana, hapo hana elimu na ameishi kijijini lakini angalia uwezo wake wa kujieleza, uwezo wake wa kukwepa maswali ya mtego na namna anavyoweza kumuelezea mtu mwingine bila kuathiri chochote.
Walitarajia aseme pesa kubwa,,hala mwamba kataja bei ya kawaida sanaa,, very Smart,,angekuwa mwingine apo ungesikia 1M
Uko sahihi
😂😂 jamaa anatisha sanaaa
Kijana NYANDA ana uwezo mkubwa sana wa kujieleza. Na yupo makini kujibu maswali.
Imagine na hajaenda hata chekechea
Yaani kabisa. Mungu azidi kumbariki
th-cam.com/video/zBn2twizmAY/w-d-xo.htmlsi=s-8N3ZethT9fnvzu
Wana wake. Wadar. Et mchumba. Mnawaza. Ngono. Tu.
Yupo vzur kujieleza
Hongera Yako msukuma mwenzangu
Nawapend wasukum wapo vizuri
Nyanda maana yake dogo.umetisha mzeee 🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿👊👊👊 maua yako nyanda 🥀🥀🥀🥀🥀🥀
Nyanda maana yake ni kijana
Wasukuma wanapenda wanawake weupe jamaniii.Kwa nandi rangi
hata sisi hatujui kwann tunapenda ni DNA tu 😀
Ogopaaaa😂😂😂jamaa ana vibe🤣🙌🙌🙌
Nimempenda amesimamia alichopwa na mungu(satte mweni
Nyanda yuko makini sana. Brain kubwa hii😊
Oy huyujamaa anajiamini Sanaa na ndivyo inavyopaswa mwanaume kujiamini ila Yuko vizuri sana
Mungu aendelee kukuwezesha bwana mdogo
Kinehee nkoi❤❤❤❤❤
Chipanda 2:03
Nandy njooo usikie huku nyimbo yako😂😂😂😂
Ni kipaji ukiiga utapotea. Asee
He is talented
Ngosha,,umetuwakilisha vzr Kanda ya ziwa.
Mimi ni mhaya lkn napenda vijana mnavyopambana.Ndg zangu wasukuma ni watu wazuri.
Waguma owatata!!
Ndugu yangu pamoja sana
Mwamba anaweza Yuko vzur nyanda kbnd👍😃😃
th-cam.com/video/4kcn-b6558w/w-d-xo.htmlsi=6tvi_fNv9IP9dHe-
Mtani wangu keep it up kijana
Dogo uko vizuri pambana
Hii nchi ya matukio uyu jamaa ametokea sasa na ana trend tu! Anaupiga mwingi mnoooo anapiga mpunga!
Hana ushamba hata wa kuwa muoga ni luga tu hiyo ndio inawafanya hivo
Huyo kijana anazid kutufurahisha❤
Huyu jamaa akipata manager mzuri atafika mbali sana ana kipaji vha asiri kabisa
Very nice mkaka
Hàhàhaà limepigwa story la kwenda hapa ngosha safi sana
Kijana umetisha hataari😂😂😂
Nyanda UK vizur hongera
Swingi puli 😂😂😂😂 jamaa anajiamin sana ,hongera
th-cam.com/video/4kcn-b6558w/w-d-xo.htmlsi=6tvi_fNv9IP9dHe-
Ngosha umenichekesha sana
daaa wasukuma bwan
Wasukuma 4life😂
Yani wabongo akili zao zinawaza ujinga mda wote mke mchumba wanabaki na nani sisi tunawaza kutafuta hela wao wanawaza ujinga
Umetuwakilisha vizuri NYANDA
Idadi htaji dahhh
MUNGU akubariki upate MAFANIKIO ZAIDI NGOSHA
walomela jisoga nkoi, pejaga ko bhatomane abhasukuma umo tule.
hatari.... Ogopaaaaaa😂😂
Ogopaaaaaaaaa....
Mie nimwimbaji Niko mwanza naitwa papaa mashana naombeni intavyu
Jitoe hakili utoboe uoni NYANDA
@@ibrahimelisha6842😂😂😂
Kama ni intavyu huwezi kupata labda interview
Nyanda kabundi wee nomaa rudi kijijini kachunge zako
Kamanda uko vizuri komaa
Uko vzr broo
kabundi namukubali
😂😂😂😂😂😂😂 niache ng'ombe kuchunga unajua utam wa maziwa weweeeeeeeeeeeee 😅😅😅😅😅😅😅😅😅 wahbeja saana kutuwakilisha 🙏🙏🙏🙏 ogopaaaa n hatari hizi n zawachache ww
🔥🔥🔥😍
Pamoja sana
Nice
Tatizo la wasukuma bwan wanapenda kupitiliza mpka inakua kero
Ni hatariiii,,ogopaaaa,,,tena jidanganye...hakuna kupitiliza bro ni uhalisia tu...cheza chini bro...hujaona ma swingipuli wewe...😂😂😂😂😂
wewe kupendwa hutaki unataka usipendwe kupendwa na mtu unayempenda ni raha ila kama humped ndio kero utaona
msukumaaa
Mbona huyo mwenye shati nyeupe anajidai anajua saana baada ya kumuacha ajieleze
Nasikia wasukuma hawaendi jando ni kweli?
Only wasukuma wanaweza ku comment hapa, kama wewe sio msukuma heshimu comment hii..
😂
Watangazaji mnapapara sana yaan mnataka nyie ndio mtoe majibu 😅😅😅mnakera ulizeni maswali sio kutoa maelezo meeengi mpaka mnajijibu wrong😅😅😅😅😅😅 Bora huyo dada
Katiyamsukuma na msukure😅❤😢🎉😅😊
Hapo ni rafudhi tu hana ushamba wowote
Dereva wa roly mbona wanakaa mwaka ajafika nyumbani miez 3 4 2 jambo la kawaida ujafikq nyumbani
Daah kwakweli huyo jamaa . namkubali kinyama
Na kukubari sana nyanda kabundi
Dogo uko vzr mungu nimwema utafanikiwa umeparform vzr sanaa
Mwanaume wa kisukuma anaelezeka:-
Sifa ya 1st kbsa: Siliazi sana,alisema ndio ni ndio. Hapana ni hapana.
2nd. Akipenda amependa ila ukimfanyie asiyopenda akigeuka nyuma habadiliki tena
3rd......,
.........
........
Hivi uyo mwamb alovaa tshert nyeusi ni nani apo east africa
Kwenye masingi puli😂😂😂😂😂
Asate asana nyada ume jibu vizuli sana
Uwezo mkubwa wa kuongeza na kufikil na kujib
Namuelewa sana kijana wa mwanza sengerema ila make akizalia nyumba mahari inashuka haya kama ni mweupe
😂😂😂huyo anatoka mkoani Geita sio mwanza sengerema
Hizo ng'ombe zikitolewa wanachukua wazazi ila hizo kazi utenda ukome 😂😂
Nyanda kabundi katokelezea leo nihatal ogopaah
Nimefulahi sana jisidogo alivyo imbawimbo wa 20 paa kweli doyupo vizuli
Dea yupo wapi namdai anilipe 😂
wew hata Iringa sio Mwanza
hahahahaha😅😅 musukuma mshamba😅😅😅
Mie Niko kwenye kampeni ya kupandisha solo la wanawake weusi maana ni watiifu na wavumilivu maishani tutaanza kuwapa ng'ombe 60kwa 70 tuwapiku mie ndo nitawafingulia jahazi
Hahahaaa umetisha
Ww dada nimekumc sana
Anajua
Ogopaaaaa
😂😂😂
MUNGU AKUINUE NGOSHA UWE TAJIRI,