House tour njoo uone nyumba yangu mpya 🏠😍ilivyo ndani kabla ya kupanga vitu vizuri |BARIKI KAROLI
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 14 ต.ค. 2024
- Karibuni tena wapenzi kwenye video nyingine 👏🏽👏🏽💕💕
Leo nawaonyesha house tour ni sehemu mpya ambayo ndo nimehamia hivi karibuni.
Video iliyopita ya kuugua corona 👇🏽👇🏽
• House tour njoo uone n...
Instagram: bariki.k
Email address for sponsorship or business: bariki.karoli@gmail.com
Mimi napenda vitu vyeupw pia minimal clean and simple 😍😍
Nimependa,,,hongera dada
Hi i’m an Ugandan🇺🇬 but i love your videos all the way from Kampala, I would love to meet you one day when you get to Tanzania🇹🇿🍷The East African Queen 👑 Pole sana❤️
Nyumba nzuri sana bariki hongera, mi nimependa bafu ukiingia humo unaondoa stress zote
Asante dear 💕
Nimependa nyumba yako, nzuri sana, i love white color ndani ya nyumba and neat
Masha Allah mpenzi, samahani umejenga au umepanga?
Hello Bariki, nimependa sana video zako za housing. Me natarajia kuhamia Sweden na nimependa kujua vile watu wanaishi and how the apartment zinakaa..😍😍
Waw da barik hongera kila kitu kizuri dear umejitahidi
Nyumba nzuri sana hongera...love u
Hongera sana mpenzi nimependa sana jiko sana, hongera sana napenda sana usafi nikiona hivyo nafurah sanaaaa😘, mi naomba video ya kuondoa madoa na chunusi na weusi chini ya macho yaan nishatumia scrub ya coffee lakin bado yapo na uso wangu una mafuta sana please, kama hutojali naomba ushaur wa mafuta mazur ya kupaka mwilin uwe soft na kun'gaa ila nisin'gae sanaa
Nmependa Sana jiko na laundry area,pia baraza ya chumba Cha wagen...Hongera nyumba nzur sana
Wow! Umenipa raha sana Bariki na hiyo nyumba mpya...imetimia kila kitu ambacho mwanamke anakihitaji kusongesha maisha yake ya kila siku...👏👏👏
Asante sana dear 💕
Hongera my dear umejitahidi sana nimependa ulivyopanga vitu
💕Asante
Nimependa kilakitu 😍😍 kweli inavutiaa ubunifu ni kitu kizuri sanaa 👏🏾👏🏾
Asante dear
Nyumba nzurii nimependa sana jiko na sebule na kila kitu pia kitanda nimependa style yake
Asante 💕
una nyumba nzuri sana af i love the way u are a minimalist i wish i could but sijabarikiwa
Asante Mercy
Nyumba nzuri Sana dada
Iko sawa dada
Mashallha pazuri sana unameolewa uko au upo mwenyewe tu
Hapana sijaolewa
Ni nzuri Sana...hongera
Nimependa vyote plus tiles nakuja whatsp unitumie tiles hizo
Hongera sana nimeipenda
Nakupendaga Sana Sana jmn....very good selector....nitakutafuta nikihamia kwangu tupange nyumba wote pls.😘😘
Sawa dear 💕💕 Asante
Ni nzuri sana nimependa na upangaji wako uko vizuri sana 😀
Asante dear
Hata mimi napenda vitu vyeupe vya ndani. Lägenheten yako ni nzuri. Nimependa bafu. Nukuja kunutembelea one day🤗🌻🌞
Asante karibu 💕
Hongera nyumba nzuri sana
Bariki hongera sn umejenga au umepanga????
Mmmh hapo ni bongo kweliiii???
I love you so much.I am a student so I like to do things like you
Wow nyumba nzurii kwerii nitakuja lazima
💕Asante nakusubiri 😀
Hongera sana sana Bariki, beautiful house. Nimependa sebule yaani pakubwa madirisha makubwa, raha raha jamani 😃😃 hongera sana Mungu akubariki katika kuipamba pia
Asante sana dear 💕
Hongera sana Bariki...nyumba nzr mnoooo....natamani kujutembele nasubr upepo wa corona upite kushoto kwanza....😃😃
Asante dear yaani hii corona 😅 inachosha
Nimependa jikoni na bafuni hongera my dear nyumba nzur cn
Asante
Safi sana 👍🏻
MI jiko nime lipenda Sana mashaallah
Jiko Na choo pamoja Na bafu na baraza pakuanikia nguo pazur pia
Pazuriiiiii hongera mpenzi
Asante 💕
Hongera my kwan uko wapi ili nami nikihamia unisaidie kupamba penda sana ww ni nyenyekev.
Mimi naishi sweden dear
Nimekua nikifatilia videos zak na nimekua nikipata kuona content nzur na ujumbe mzur san kupitia maswala ya urembo na utanashat ila samahani ningepend siku tuwasiliane kwa msaada na mamb mengine tunayoweza kusaidian hasa maswala ya muonekano nakadhalik ikikupendeza lakin,samahan kama nitakua nimekusumbua,naitwa Hussein from tanzania.shukran
Asante sana Sawa hamna shida njoo instagram insta yangu ni bariki.k
Ok saw shukran nita ku follow
Hongera kwa apartment mpia... nimependa bathroom and the kitchen... the appliances are top notch... much love from a Kenyan living in Minnesota USA 🇺🇸
Asante sana
Iko vizuri sana dada
Kiujumla ni pazuri sana sana mpenzi hongera sana
Asante dear 💕
Niite nikufanyie kazi ya nyumbani
Jiko.nzr na bafuni kiufup nyumb yote ipo vzr
Asante dear 💕
Bariki chumbani papange nunua mito mingi uparembe shofa lako nizuri sana najiko zuri sana ongera
Yea nitapanga ila mimi sipendi mito mingi 😅
Asante 💕
@@barikikaroli6088 kitanta chako hakina marembo kwaiyo mito inatakiwa iwepo mikubwa na midogo kita pendeza sana sebule usiweke vitu vingi kwakua nindogo yale mauwa ulio weka dirishani yatoe tengeneza vikabati vile.vidogo upangie mauwa alafu, dirishani weka pazia nyeupe au, zarangi ya maziwa pata pendeza sana......
Pazur manshallah
Mashaallah da barik mambo yako sup nime papenda sana
Asante dear 💕
Hongera sana ni pazuri mnoooooo...
Asante my dear dada💕💕
Hongera dada umeweza
Asante 💕
Finally...Asante nilikuwa nasubiria hii video
👏🏽👏🏽Asante dear
Sweet
Inaonekana huko Kuna baridi bariki siyo kwa msweta huo,kwako pazuri mpenzi nimepapenda
Ndiyo mimi Mara nyingi nasikia baridi 😀 Asante 💕
@@barikikaroli6088 poa mpenzi unanikosha sana na video zako
Bariki naomba ajira please 😭
Ni pazur Sana kwa kweli
Asante
Sijui how I missed this , let me now watch it
Congrats hongera sana 🙌🏾🙌🏾😍😍
Thank you 💕
Pazuri kote
Asante
Mashallah mm nimependa bafu
Asante dear 💕
Mimi naona kapeti ni nzuri
Bariki nyumba mzuri
💕💕
Nimependa bafu na jiko na chumba Cha Wageni
Sofa zuri
weka pazia la grey itaendana na sofa na itapendeza
Asante dear nitaangalia hizo pazia 👏🏽
Hongera sn Bariki,nyumba yk yote nzuuuri😘
Asante dear 💕
Nice😘
Masha Allah pazuri
💕
Hiyo meza hata mimi siipendi 😂😂😂😂😂 ni kama ya kijijini
Jamani 😂😂
Such a beautiful house 🏠 ❤❤
💌💌💌nyumba nzuri sana nilitamani niione mwonekano wa nje pia hongera nimependa mpangilio wake wa ndani natumai nitaiga kila kitu wakat wa kujenga kwangu 🏢
kumbe kunamashine ya kuoshea vyombo 😁me nakupenda jmn unatupa akil sana
Asante dear 💕yea mikono yangu inapumzika kidogo kuosha vyombo 😅
The first one from🇧🇮
💕
Carpet rangi imechangamka sana 😂😂😂😂
Nimepienda nyumba ina nafasi ina mwanga wa kutosha
Asante 💕
I wish you could have opened your fridge 😔
Bafuni na jikoni
Unakaa peke yako?nije tuishi wote?
Omg wow 😻😻
Asante mkojani ❤️
Siungetufungulia na ilo friji 😂
Siku nyingine 😀