Mchungaji FARAJA HAMULI, hili somo ni nyeti sana kwetu sote. Binafsi nimelisikiliza hadi mwisho na kulirewind-rewind. A brief but POWERFUL and EDUCATIVE sermon of all times crossculturally. Asante sana kwa ujumbe mzuri. NYTV mbarikiwe sana kwa kushare ujumbe huu.
Nimefurahia na mafunzo yako mama Mtumishi naomba hayo mafunzo pia myatoe kwa mabinti wanaojiandaa kwa ajili ya ndoa kupitia somo hili ndoa nyingi zitapona na furaha zitatanda kwenye nyumba za wanandoa na watoto Ubarikiwe sana sana

Fundisho ni zuri mno; ubarikiwe sana mama mzuri; binafsi nimejifunza na it's my prayer Mungu anisaidie kuitendea kazi 😍
Nimebarikiwa sana mama,Mungu akubariki
Hongera mwalimu wangu
AMINA SANA MAMA MCHUNGAJI NA MTUMISHI WA MUNGU.MUNGU AKUBARIKI.SOMO ZURI SANA.GLORY BE TO GOD.
Mungu akubariki mama
Nimefurahia na mafunzo yako mama Mtumishi naomba hayo mafunzo pia myatoe kwa mabinti wanaojiandaa kwa ajili ya ndoa kupitia somo hili ndoa nyingi zitapona na furaha zitatanda kwenye nyumba za wanandoa na watoto Ubarikiwe sana sana
Ubalikiwe MWALIMU mama mkurugenzi kwasomo zuri.
Natamani kukuleta ufundishe Wamama wa dini yangu, naomba unikubali.
Na mimi nimeolewa miaka 20 iliyopita
Hongera mama uko vzur wamama wore wangekusikiliza na kukuelewa ndoa zingepona ubarokiwe