ADHIMISHO LA IBADA YA MISA TAKATIFU, KIGANGO CHA KANDIA, PAROKIA YA MT. MIKAEL MALAIKA MKUU KIJUNGU

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 9 ก.พ. 2025
  • Watu wengi wamekuwa wakiniukiza, nawezaji kuadhimisha Misa kwenye jamii ya kimasai na kimasai chenyewe sikijui. ukweli roho Mtakatifu anatenda kazi yake. wengi wanasikia kiswahili ila kuongea ni kidogo, ila wanafurahia sana wanapopata huduma za kiroho. Natamani kuhongea nami Kimasai Ili Niweze kufikisha ujumbe wa neno la Mungu Kwa urahisi zaidi.
    Jiunge nasi kufikisha neno la Mungu kwenye maeneo ambayo bado watu hawajamjua Mungu, wanatamani ila mazingira mengine ni magumu kufikika. by Fr. filbert njiu

ความคิดเห็น • 4