Mwengine nimpende nani Nilijaribu kwa mwengine nikatesa hisia zangu Hadhari maigizo lovie Taratibu na wengine Usije toa roho yangu Nami si nina wivu Honey mina wivu Kuna time naumia unione fine Unione mi mtulivu Mapenzi mataaaaam Asali si asali utayapa jina gani Nienzi kitaalaaaaaam Nimsahau flani aitwa jina gani Am falling deep in love Am falling deep in love For you X2 ❤
jina lako bado naiwaza,sura yako shepu lako nalikumbuka eh kweli mapenzi maradhi makubwa dakitari rejea naumwa unipe tiba nije kupona nisiangamie bado natamani bado natamani tuwe kama zamani tulivyo pendana bado natamani bado natamani tuwe kama zamani tuwapandishe nyongo I MISS YOU I MISS YOU
Mdogoetu unaua sana
Thanks
Tutafanya kazi
Thanks
Mwengine nimpende nani
Nilijaribu kwa mwengine nikatesa hisia zangu
Hadhari maigizo lovie
Taratibu na wengine
Usije toa roho yangu
Nami si nina wivu
Honey mina wivu
Kuna time naumia unione fine
Unione mi mtulivu
Mapenzi mataaaaam
Asali si asali utayapa jina gani
Nienzi kitaalaaaaaam
Nimsahau flani aitwa jina gani
Am falling deep in love
Am falling deep in love
For you X2
❤
Thanks
Tizo touch nimemiss sana kuuskiliza beat yenye chorus tafadhali ilete
Soon
Thanks @@tizotouchz
Kali sana my producer🔥🔥🔥🙌
Thanks
Fire
Thanks
never disappointed
Thanks
Tizo touch bro u are my King 🫡🫡🫡
Thanks
jina lako bado naiwaza,sura yako shepu lako nalikumbuka
eh kweli mapenzi maradhi makubwa dakitari rejea naumwa unipe tiba nije kupona nisiangamie
bado natamani bado natamani tuwe kama zamani tulivyo pendana
bado natamani bado natamani tuwe kama zamani tuwapandishe nyongo
I MISS YOU
I MISS YOU
Thanks