Asalaam Alaykoum, Napenda kushauri kuepuka kutumia lugha ya Kiingereza kwenye mawaidha ya Kiswahili. Tunawanyima wazee na vijana wasioifahamu lugha ya Kiingereza. Wakoloni wanafurahia tunapoipa kiupa umbele lugha yao, ni njia ya kuwapokonya Wananchi lugha na takalidi zao.
@@hajihassan5433 Kwa Waislamu hatujakatazwa kuchukua mazuri ukiwa utaweza kuyatambua hayo mazuri maana siku hizi mabaya hupambwa mpaka yakaoneka mazuri na kinyume chake.
MASHALLAH JUMA AMIR THIS IS GREAT WORK
Allah barik waj alu alayka kathira lilm an akhbaru kulla khutba
Aslm alkm ww.... Shukran sana Sheikh wetu kipenzi. Jazakallah kheir 🙏
Mashallah shekh juma
Mungu akuweke na mmi pia
Asalaam Alaykoum,
Napenda kushauri kuepuka kutumia lugha ya Kiingereza kwenye mawaidha ya Kiswahili. Tunawanyima wazee na vijana wasioifahamu lugha ya Kiingereza. Wakoloni wanafurahia tunapoipa kiupa umbele lugha yao, ni njia ya kuwapokonya Wananchi lugha na takalidi zao.
Hatuwezi kuepuka mambo ya Ukoloni, muhimu tuchaguwe mambo mazuri kutoka kwao hata hizi dini zimeletwa na Wakoloni.
@@hajihassan5433 ukristo wameleta wakoloni sio Uislamu...
@@hajihassan5433 Kwa Waislamu hatujakatazwa kuchukua mazuri ukiwa utaweza kuyatambua hayo mazuri maana siku hizi mabaya hupambwa mpaka yakaoneka mazuri na kinyume chake.
Ramazan Kareem Sheikh.well said.watcing from Boston USA
Watching from the same area...boston😋
Jazakaallah kheir sheikh Jim’s. May Allah grant you janatul ferdous
Mashallah tabarak Rahman shukran sheikh jazak allahu kher 🥰🥰🥰🇴🇲🌹
!حفظك الله سبحانه وتعالي ياشيخ جوما أمير
الشيخ جمعه أمير
Ma sha Allah sheikh amir juma may Allah s.w bless you.
Maasha Allah Sheikh Juma Amir mwalim na Imam wangu Jamia Mosque
Shukran sheikh jazzakallahu khairan
Masha Allah
Mash'Allah
MashaAllah