Aiii Jeremy..Seattle ziko every where hata emblem zao ndizo zinakukaribisha kwa every city..hujawahii kuziona and the way you frequent Seattle. Hiyo hoteli most likely ni yao.
Haki JD hata unachekesha ,..ati unakaa kwa hio hoteli na hukujua 😂 . Ngai. Na vile umetembea kwanza , utalala na uoga sasa. but you are covered with the blood of Jesus!!🙏
Jeremy unajua je ata hio Hotel ni yao? Hujui wanafanya nini huko usiku Mkiwa mmelala, usikule kitu kwa hio Hotel, hio ni Design yao ya ndirisha sita sita.Hio Hotel usiyamini wengi wao wanalala huko.
Mtu akakuliiza hiyo hampton inn who owns it, nani anaiendesha, inaendeshwa na hilton hotel, lakini ukichuguza hata CEO wao nasseta, hajulikani mambo yake vizuri, anybody that famous like the CEO of Hilton, information yake inakuanga online, jaribu kujua ata mambo yake isipokuwa ya career, no one knows alot about him, hiyo hotel pengine ni yao😀😀😀
Its true waswahili walisema "chochote king'aracho ,hakikosi kasoro"The building looks fantastic na kumbe ni ma....... yatafakari hayo.Thank you Jeremy for the good analysis.
Muriithi witu good job 🙏👍 and thank you for the tour.May God cover you with the blood of Jesus and remember no 🔫🔪 fashioned against you will prosper 💪🙏. in Jesus mighty name.When the devil 👿😈 see you he'll take off running, be blessed my brother 🙏🔥✝️🕊️🛐🤍👏🌹
The security fence on that premises say it all. Most buildings around don’t have perimeter wall na hii vile wameweka security tight, Pia no loitering or trespassing 🤔🤔🤔 washindwe sana
Ata hiyo hotel maybe ni yao😮😮...but in God we trust
Nyakang’a asikugonge na maji 😂😂😂😂na kuna watu wamepark 😮😮
Mungu akuzingile kwa Maraika Wake na Damu Ya Yesu wewe na family yako yote
Jeremy your covered by the blood of Jesus Christ no weapon formed against you will prosper, angels of God surrounds your every move, Amen
Masons ni wajenzi wa kutumia mawe, nadhani.
😂😂😂the siren scared you kidogo lakini usiogope. Those who are born of God it's permanent
Endelea kutumikia Mungu!! Ata niliona vile ulitafuta your other siblings and Mum na ukawajengea nyumba!! Blessings galore
Omg,my brother Jeremy hapo ata siwezi pitia😮😮Damu ya mungu wa mbinguni ikuzingile🙏
We will serve the Lord forever tukifika huko cannada na kwenye tuko pia ata saa hii twamsifu mungu
Nyakang'a was just chilling🤣🤣🤣🤣🤣🤣
I swear have laughed 😂😂😂
@@faithgatwiry Jeremy hufurahisha 🤣🤣🤣
You could have edited nyakang'a😅😅
@@gracewanjiru8716iko. sawa kabisaa
I used to live in Hamilton Ontario before moving to Texas. Oh wow! Good job Jeremy
Hamilton Ontario
Nilikuona leo at full gospel tumaini ad I had to follow u your word was great
Dunia ina mambo, may God protect us
Jeremy Leo umenifurahisha 😂😂😂
Aiii Jeremy..Seattle ziko every where hata emblem zao ndizo zinakukaribisha kwa every city..hujawahii kuziona and the way you frequent Seattle. Hiyo hoteli most likely ni yao.
How He use Govt money??because Masonic donate money to all Alliens of USA
JD you are one in Africa very capable continue it's good to educate people well done
Unge ingia uwasalimie😅😅😅
Thanks for showing us this JD. Be blessed and covered by the blood of Jesus.
KUDOS Brother Jeremy Damaris!!
That Blood that was shed is enough for your cover!! I USUALLY follow your heart warming episodes!!
God bless you!!
Jeremy ukikuja kenya aky nitafute ndio unisaindie vyenye nataka pliz
I had a boss who belonged to the free massions, and he was the most kind and gentle person I have ever known. They are good people
Jeremy, these temples are all over the US. There's one in Nairobi on state house road. What's the news or surprise?
I don't know the news here surely.
Nipatie number yake
People are so ignorant about Masons. I find it very primitive been a Mason for long and it’s not what people like him say
Satan appears to be kind not untill otherwise happens.
There is one in Jacksonville Florida similar structure.
Haha JD you can be funny 😅😅😅Ati unaskianga wako na magari makubwamakubwa but unaona tugari tudogo
Haki JD hata unachekesha ,..ati unakaa kwa hio hoteli na hukujua 😂 . Ngai. Na vile umetembea kwanza , utalala na uoga sasa. but you are covered with the blood of Jesus!!🙏
Be blessed and be safe God first 👏
😂😂😂ati unatetemekea wapi😂😂
Jeremy unajua je ata hio Hotel ni yao? Hujui wanafanya nini huko usiku Mkiwa mmelala, usikule kitu kwa hio Hotel, hio ni Design yao ya ndirisha sita sita.Hio Hotel usiyamini wengi wao wanalala huko.
Yani ni mchana Tena Sunday na hakuna watu kwa Barbara,may God protect you
Dakuhubira na thakame ya jesu na maraika, othe ,angainimaguthiururokiire,
Sasa hawa ni washilika wa huko kwisha mimi😂😂😂
Ati nyakanga 😂😂😂😂….. started a rather dull day with amusement……. It’s just hilarious 😅
Wewee! Jeremy , unajiita Nyakang'a? Amusing! Nilikuwa nafikiria wanaweza kunote vile unafanya.
@@annewangari3466 apparently you never got the joke.,,, it’s Jeremy who called a mzungu nyakang,a 😅
Umelindwa na damu ya Yesu
What a clean street,what a wonderful place to be,jeremy enyewe nmtembeaji,last week ulitutembeza dani ya ship,wewe uyuu canada
Jeremy you are the entertainment, guaranteed laughter. U should have gone in walking backwards woooooiii WA Damaris
Ati Ako karibu kunipiga na maji nyakang'a😂😂😂
😂
zipo Temple nyingi sana
Mtu akakuliiza hiyo hampton inn who owns it, nani anaiendesha, inaendeshwa na hilton hotel, lakini ukichuguza hata CEO wao nasseta, hajulikani mambo yake vizuri, anybody that famous like the CEO of Hilton, information yake inakuanga online, jaribu kujua ata mambo yake isipokuwa ya career, no one knows alot about him, hiyo hotel pengine ni yao😀😀😀
Hilton hotel ya Kenya I heard it's a partnership with Paris Hiltons Father
😂😂😂😂
I think wanaingianga na reverse kam wachawi tu.😅
Hiyo hoteli ni yao pia😂😂.... Sasa unalala hapa kwa hapa na shetani😂😂
May the grace of God be with your spirit.
Enjoy and be Safe JD. Unbelievable If its what am thinking
Umetuonyesha kweli. Ungesema ingia yea salimie😅
Tutawai fikia hii maisha wazungu uishi kweli!!
He who is in us is stronger than the one in this world.
Nyakanga😂😂 na anakuosha
Change hiyo hotel,mi siezi kaa na wao
DAMU ya Yesu ni nguvu imara
Ati tugari tundogo ,kweli ngoma niaharire
😂😂😂aty nyakanga😢
😂 You made me laugh... Ati "nyakang'a ".. But ungeingia ndani utuonyeshe kidogo😂
Its true waswahili walisema "chochote king'aracho ,hakikosi kasoro"The building looks fantastic na kumbe ni ma....... yatafakari hayo.Thank you Jeremy for the good analysis.
I love all your shows and touring
Iko kubwa sana hapa Seattle kent.
Aki Jeremy please sponsor me to one of your trips, i love traveling but finances kidogo zinaleta shida
I will sponsor you twende mombasa na wewe
I love it when you say i don't know this i don't that, thats wisdom...
But was Nyakang'a necessary 😂
Waaaaa 😮
Nobody walking,only cars,ingia huko masonic uwasalimie,🤣🤣hawaogopi snipers kutoka kwa hotel
Hii picnic imenifurahisha sana😂😂
Usiingie iyo kanisa. Iyo niya wenyewe.
Jeremy research Abt the grand hotel and connect the dots uracuuka ruui wikariire ihiga
Ata ya kenya hukua na magari mingi sana kubwa kubwa na iko mahali kwa kichaka 😱😱
Anahela snaa nivile wanatoa sadaka za binadamu lakini kama sihivyowengiwangeingia
Hio kanisa imejaa masaitani aki😅😅
Jeremy nifanyie connection YA Canada Nko Gulf.
Ziko mingi,they don't hind.
Go to Richmond hills,ziko
You do a very good job of taking us through many places and enlightening us
May God always protect you always
Hahaha wa damaris you are protected by the blood of Jesus christ...
Jeremy umesema uko na event on 18th Aug, unaenda na wakenya? As in ni kama conference?
The first one nimeona iko na dirisha most have no dirisha na huwezi ona any cars outside the temple ya mashaituri
😂😂😂😢 This iş the funniest video you have made. Have 🎉enjoyed. Yo😂u are protected in Jesus mighty Name 🙏🙏
Ingia dani wanakuaga poa sana
Mimi niliona ya 666 mlangoni wameandika, Montreal Quebec
Eti unaskianga wanakuanga na magari makubwa 😅😅😅
Hahaha Nyakaga was Necessary 😂😂😂😂😂
Niliona ingine Washington wameandika ati cult classes starts from 8 am to 9, nilikimbia nikaacha hio street😢
Good you have let us know and see it 👍🏿
Ingia useme we ni visitor lakini usiokoke wakutume na salamu
Very big thing ya mapepo damu tu wakunywa
🤣🤣🤣🤣🤣. Yenyewe even me I would be afraid.
Bona nilikusalimia haukusalimika.
Mi nimeona.. mungu akulinde
Inakaa tuu nyumba ya sheitani, horror aki, imagine uangukie huto tuguka aki,
Jeremy huku Boston ni mingi,
Jeremy unafanya kazi nzuri
Muriithi witu good job 🙏👍 and thank you for the tour.May God cover you with the blood of Jesus and remember no 🔫🔪 fashioned against you will prosper 💪🙏. in Jesus mighty name.When the devil 👿😈 see you he'll take off running, be blessed my brother 🙏🔥✝️🕊️🛐🤍👏🌹
Awww Jeremy. You do make me laugh “ Nyakanga” 😂😂. Enjoy your adventure.
Nimewahi patana na mmoja wao fb na wueh kuniambia wako na passport zao na wanaeza enda anywhere in the world bila kuulizwa,Blood of Jesus covered me😮
Huyo ni scammer
You make my day nyakang'a l love your show
Jeremy,are you still in Hamilton? Please talk to me,am here,working not far from that building.
I really like this man the way he updates us 🙏🎉🎉
Utalala ukiota juu umejua wako hapo😂😂😂
Wacha niwe makini kusiza sababu napenda kuzurura nchi za wenyewe sana😂kisinirambe
Ungeenda mpaka ndani hawawezi kuuliza uwaambie you want to know how they operate inside there.. 😊 Na ukitoka uwaitishe kitu kidogo
The security fence on that premises say it all. Most buildings around don’t have perimeter wall na hii vile wameweka security tight, Pia no loitering or trespassing 🤔🤔🤔 washindwe sana
I laughed na vile Leo nilkuwa nimejam nyakang'a😂
Ungeingia 2one ndani venye kuko.
Jeremy Damaris aki barikiwa sana tumeona masonic temple ...I heard they celebrate black mass I don't hio ni Gani hata Mimi..dramas are everywhere 😅😅😅
Wacha uoga, Eldoret tunapita nje yake na tunakula hapo kando
Bro Mbona umewa expose.. hawa majamaa watakufuata..
You will be surprised hata Kenya they have
Kama wewe ni mwanamme ingia dani utuonyeshe maneno live😂😂😂
Anaboesha sana huyu