Goma DRC: M23 wasitisha vita... Matangazo ya Dira ya Dunia TV Jumanne 04/02/2025
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 4 ก.พ. 2025
- Kundi la waasi la M23 linaloungwa mkono na Rwanda limetengaza kwamba limesitisha vita mashariki mwa DRC kwa misingi ya kibinadamu. Kundi hilo pia limesema kwamba halina nia ya kuteka au kudhibiti maeneo mengine ya mashariki mwa DRC. Tamko hili linaonekana kukinzana na lingine la awali kwamba wanalenga kuingia mji mkuu wa Kinshasa. Haya yanajiri wakati ambapo marais wa Rwanda na DRC wanatarajiwa kushiriki katika mkutano wa amani wa kikanda nchini Tanzania wikendi inayokuja ili kutafuta suluhu ya mzozo huo.
Huyu jamaa alipo Rusizi amepatwa na usingizi mnono 🤣🤣
❤
Daaah kwa razima usema linashilikiana na Rwanda mijitu mingine bana
Mm zuberimohammedi Nampa pole Dada meli mungu alinde
Kilicho na mwanzo lazima kiwe na mwisho wake
ipo Siku Rwanda itajutia kwa umwangaji damu ya watu wasio na hatia
Tunaiombea amanita nchi ya congo
Mufunge nyiye ma ibwa musikuwe muna danganya batu
Hivi M23 wana jeshi kubwa kiasi gan
Mungu ampumzishe Mahala Pema Pepon ndgu Ahmed Rajabu.Hakika ni Pigo ktk Ulingo wa Habari By Andrew Hagamye Nikiwa Kigoma Mjin Tanzania
Propaganda za mabeberu
Rwanda ime uwa zaidi ya watu 2000
Duu MUNGU wasaidie Congo
BWANA aepushe mbaliiiiii..!
Asande kwa kutujuza habari
Mnawa vijana hafu mnategemea wawasaidie
Ninyi ni wanafiki yan mnadiriki kuunga na wazungu kusaidia propaganda