SADC na EAC kukutana kuhusu vita vya Goma, DRC

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 10 ก.พ. 2025
  • Jumuiya ya nchi za kusini mwa Afrika (SADC) na Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) zitaandaa mkutano wa pamoja Ijumaa na Jumamosi wiki hii kuzungumzia mzozo wa mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasi ya Congo. Mkutano huo utafanyika mjini Dar es Salaam, Tanzania, taifa ambalo ni mwanachama wa jumuiya zote mbili - SADC na EAC. Hatua hii inafuatia makubaliano kati ya mwenyekiti wa SADC Rais Emmerson Mnangagwa wa Zimbabwe, pamoja na mwenyekiti wa EAC Rais William Ruto wa Kenya. Taarifa kutoka Ikulu ya Nairobi inasema kwamba Rais Felix Tshisekedi wa DRC na Rais Paul Kagame wa Rwanda wamethibitisha kushiriki mkutano huo, pamoja na Rais Cyril Ramaphosa wa Afrika Kusini, Rais Yoweri Museveni wa Uganda na Rais Hassan Sheikh Mohamud wa Somalia.

ความคิดเห็น • 30

  • @SepamaybeMsafii
    @SepamaybeMsafii 7 วันที่ผ่านมา +5

    Love from Burundi 🇧🇮 ❤️ 💕 💖

  • @sibomanaemmanuel1831
    @sibomanaemmanuel1831 5 วันที่ผ่านมา +2

    This is East African issues we don't need SADEC.

  • @iamphoneclinic148
    @iamphoneclinic148 6 วันที่ผ่านมา +3

    there problem of drc and Rwanda there's no true.

  • @TresorKambalevindu1998a
    @TresorKambalevindu1998a 6 วันที่ผ่านมา +1

    Avantages

  • @mahamudaideed6922
    @mahamudaideed6922 6 วันที่ผ่านมา +3

    Banyamulenge ni wakongomani Bantus waache roho mbaya

    • @nyembomajid1262
      @nyembomajid1262 6 วันที่ผ่านมา

      tatizo kubwa yaani kubwa walioanza tabia mbaya ni hawa hawa wanyamulenge ...kwani wanyamlenge wana miaka ngapi congo kwanini hii tabia imeanza utawala moja ...utawala wa mzee biarimana haikua na shida kama hizo

    • @kharkanas6779
      @kharkanas6779 3 วันที่ผ่านมา

      ​@@nyembomajid1262 Cha msingi ni amani. Congo ni kubwa sana, inaeza kila mtu akaishi humo bila ubaguzi na bila chuki. Ila nchii jirani ziwache kuchochea vurugu nchini humo.

    • @nyembomajid1262
      @nyembomajid1262 2 วันที่ผ่านมา

      @kharkanas6779 :wacongo hawana ubaguzi ...na rudia tena wacongo hawana ubaguzi ...vita inaondelea congo sio la ubaguzi ...wacongo wenyewe hawajitokeze kuongea mtandaoni ...kuwambia watu jameni mnavofikiria sio lakini wamenyamaza wanauliwa kimia kimia jameni hawa watu wamekufa ...yaaani wamekufa ...lakini ok ulivo sema amani amani hata wao wanapenda amani

  • @JeanClaudeMudekereza-pm4bw
    @JeanClaudeMudekereza-pm4bw 3 วันที่ผ่านมา

    tume teseka sana

  • @AmadyYusuf
    @AmadyYusuf 6 วันที่ผ่านมา +1

    The truth is... Paul kagame he is innocent....

  • @KamatariBobo
    @KamatariBobo 2 วันที่ผ่านมา

    Maybe Congo should know who it's fighting with
    When Uganda, Kenya, Rwanda say that the M23 are politicians, Congo should tell Ugandan and Rwandan soldiers to go home and make the ADF and FDLR talk at home. I have never seen armed politicians

  • @sibomanaemmanuel1831
    @sibomanaemmanuel1831 5 วันที่ผ่านมา +1

    This is tribal conflicts

  • @tumsifusemana2629
    @tumsifusemana2629 6 วันที่ผ่านมา

    Jumuia, jumuia, jumuia,..............muuache unafiki wenu sas hivi. Mara mko wakombozi, mara mnapigana sambamba na walioyatekeleza na kufanya mauaji ya kimbari Rwanda kisingizio eti ni kumfurahisha mjinga Kikwete. Sawa. Hamjawahi kukipata chamtemakuni. Karibu mtakipata mkiendelea na kumfurahisha huyo Kikwete mme wa mtoto wa walioyafanya mauwaji Rwanda. Sawa. Muendelee kuja DRC. M23 inawangoja huko.

  • @CelestinNZEYIMANA-e9t
    @CelestinNZEYIMANA-e9t 4 วันที่ผ่านมา

    Sasa mikihuliza? Awo wanajeshi wa Tz walikuwa wanawaza wanaenda kanisani Wala vitani? Mwache micezo yani M23 mulitenda kuwuwa nawo niwatu. Muwace kuliya iyo macozi yenu ni ya crocodile

  • @kiizamrashani7223
    @kiizamrashani7223 7 วันที่ผ่านมา +1

    Salaam BBC,
    Ama kweli mchawi mpatie mtoto wako atakulelea Vizuri. Maswali mengi najiuliza kama majezi ya kimataifa UN , Majeshi ya SADC na majeshi ya Congo na M23 yenyewe imeshindwa kulinda Amani ya Congo nikiwa mdogo miaka 7 sasa nina miaka 50 nasikia vita ya Congo. Ni nani atamaliza vita hii? Ni mungu tu tukitubu zambi zetu.

    • @nyembomajid1262
      @nyembomajid1262 2 วันที่ผ่านมา

      @@kiizamrashani7223:utafiti inasema ile inchi ina madini asilimia 99% yaani kila madini ipo ...yaani dunia inangalia congo kwa jicho la tatu .

  • @JonasPhilimon
    @JonasPhilimon 6 วันที่ผ่านมา

    Kama kunawatu wanapaswa kua makini ni cisekedi na ndayishimiye

  • @kibetmitei4022
    @kibetmitei4022 7 วันที่ผ่านมา +1

    Pongezi viongozi wetu. Kukutana wanainchi wapate amani

  • @mwema5009
    @mwema5009 7 วันที่ผ่านมา

    Muyaya ni muongo sana hamnaa kitu mutafanya tena mumeshidwa .tumewaitika m23 pamoja na Nanga

  • @sibomanaemmanuel1831
    @sibomanaemmanuel1831 5 วันที่ผ่านมา +1

    M23 are Congolese read Berlin conference

  • @UyRonaldo
    @UyRonaldo 7 วันที่ผ่านมา +2

    Msijiusumbue sana mnyamulenge awezi kuwa mkongomani kamwe tutapigana sana tu adi kieleweke

    • @DouglasMassop
      @DouglasMassop 7 วันที่ผ่านมา

      😂😂😂😂

    • @josuensiama1777
      @josuensiama1777 7 วันที่ผ่านมา

      Mnyamulenge anaweza kuwa mwanainchi wa Kongo , acheni mapigano ndugu nyinyi ni wakongo

    • @enaz283
      @enaz283 6 วันที่ผ่านมา

      The foolishness you portray is worrying..you have no government yet you insist on fighting amongst yourselves 😢😢😢

  • @AmadyYusuf
    @AmadyYusuf 6 วันที่ผ่านมา

    Uneona BBC ameenda kwenye kituo cha mafuta.. huo ndio ujinga... BBC..kwenda...umone Willy ngoma... yes

  • @AmadyYusuf
    @AmadyYusuf 6 วันที่ผ่านมา

    Kwani nyie hamtaki ukweli... the truth is m23... mwenyewe wamesema.. they have said m23 are Congolese....

  • @AmadyYusuf
    @AmadyYusuf 6 วันที่ผ่านมา

    We are watching live.. the m23 leaders are speaking live..on all media and TV's... BBC waongo sana.... BBC mwambie watu ukweli... kwanini wewe BBC usiongee na m23....go and face m23...

  • @AmadyYusuf
    @AmadyYusuf 6 วันที่ผ่านมา

    BBC na CNN..vita kwisha..nyie mwambieni tshikedi Na government yake...wakae kwenye kiti..na Willy ngoma...na m23... wacheni kutudanganya

  • @AmadyYusuf
    @AmadyYusuf 6 วันที่ผ่านมา

    The war of Congo goma..m23......no need of sadec neither east Africa region...it needs wisdom of tshikedi and his government..to sit 🪑 down and discuss with m23 leaders... freedom fighters... yes.infuct they have revealed even the truth... did anyone knew that tshikedi was paying those machineries per month..20000.. thousand US dollars.. each one..