Enyi wakarimu, matarajio yao yamefeli. Amerika kwa nguvu zake zote haikuweza kuvunja nguvu za watu wa Sham kwa zaidi ya muongo mmoja uliopita. Na karibuni mtawala wao atasema, "Kwaheri ewe Damascus," bila kurudi tena. Na karibuni Sham itakuwa jinamizi kwa Mmagharibi. Je, mnadhani watafanikiwa sasa katika kile walichoshindwa kwa miaka mingi? Hawana tena uamuzi wowote juu ya Sham sasa. Wallahi, hatukudhani vibaya kuhusu Allah, Mwenye kunusuru Jeshi lake na kuinua Dini Yake. Na Mwenye kuwashinda maadui peke Yake. Enyi mnaofanya kazi ya kutabikisha Uislamu, simameni imara! Wallahi, ni uvumilivu wa muda mfupi, na alfajiri itang'ara, dhiki itaondoka, na giza la madhalimu litatoweka. Abu Mazin
Mansha Allah
Mashaallah
Allahu Akbar
Baraka za Allah ziwe nanyi wenye kuieneza neema yake kwa umma na ikawafikia wasio nayo , salamu tokea Tanzania
Amiin Yaa Rabb Al a'alamiin
@@allyseluanja3534 aamin
Masha Allah MUNGU awazidishie kheri na baraka Mashekhe wetu
@@mwanajaa-v5x aamin
Quran ni kukatazanaaa mabayaa na kuoneshaanaah mazuri…..
Enyi wakarimu, matarajio yao yamefeli.
Amerika kwa nguvu zake zote haikuweza kuvunja nguvu za watu wa Sham kwa zaidi ya muongo mmoja uliopita.
Na karibuni mtawala wao atasema, "Kwaheri ewe Damascus," bila kurudi tena.
Na karibuni Sham itakuwa jinamizi kwa Mmagharibi.
Je, mnadhani watafanikiwa sasa katika kile walichoshindwa kwa miaka mingi?
Hawana tena uamuzi wowote juu ya Sham sasa.
Wallahi, hatukudhani vibaya kuhusu Allah, Mwenye kunusuru Jeshi lake na kuinua Dini Yake.
Na Mwenye kuwashinda maadui peke Yake.
Enyi mnaofanya kazi ya kutabikisha Uislamu, simameni imara!
Wallahi, ni uvumilivu wa muda mfupi, na alfajiri itang'ara, dhiki itaondoka, na giza la madhalimu litatoweka.
Abu Mazin
Mashaallah
Mashallah