Wanasiasa wanaotaka kuwania viti vya uongozi wakutana Mombasa

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 6 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น •

  • @washingtonmbiti9348
    @washingtonmbiti9348 2 ปีที่แล้ว +4

    Azimio oyeee Pwani kuu ya kenya .Mombasa ina musimamo

  • @princessemmy8183
    @princessemmy8183 2 ปีที่แล้ว +2

    Azimio La umoja all the way ❤💙💙

  • @JohnJuma
    @JohnJuma 2 ปีที่แล้ว

    AZIMIO hoyeeee! Tuko pamoja!

  • @naomikrause1762
    @naomikrause1762 2 ปีที่แล้ว

    Baba Bure kabisa 👨‍🦯👨‍🦯

  • @mwinyihathib7120
    @mwinyihathib7120 2 ปีที่แล้ว +1

    kijana Alikula

  • @sheengazi4245
    @sheengazi4245 2 ปีที่แล้ว +2

    Mzee mzima huyu anaita mtu baba,bure sana

  • @bentaaumrau8532
    @bentaaumrau8532 2 ปีที่แล้ว +2

    Wale wanasema odm haina watu, kwani hao ni mitungi ama ni miti?

    • @mmwaapamghambonyi7836
      @mmwaapamghambonyi7836 2 ปีที่แล้ว

      ODM imo, lakini haina shock absorber ,imepunguwa nguvu sana , ile mombasa iheshimike round hii tuchangue shabal tuwachane na katarina ,

    • @fatumahassan149
      @fatumahassan149 2 ปีที่แล้ว

      @Benta aumrau. Ngoja 9/8/2022 ndio utajuwa ODM iko Mombasa ama lilikuwa danzi😂

    • @mmwaapamghambonyi7836
      @mmwaapamghambonyi7836 2 ปีที่แล้ว

      @@fatumahassan149 Hamuna ,ODM ilingura na ikasahau mahitaji ya wa pwani, ndio watapata kifutia machozi hatukatiyi

  • @emmaxipriest3834
    @emmaxipriest3834 2 ปีที่แล้ว

    Baba is the 5th President

  • @kelvinkahiga3158
    @kelvinkahiga3158 2 ปีที่แล้ว

    mvita Shallo, Suleiman a good leader but kuzimia si haraka hivo. . .the mvita lady hana sera kelele tu na visababu mingi. . . RUTO all the way ground ni tofauti

  • @sheengazi4245
    @sheengazi4245 2 ปีที่แล้ว +2

    Pwani ODM haina watu tena

    • @trigachonse3486
      @trigachonse3486 2 ปีที่แล้ว

      We acha bana Odm iko imara uko pwani gani iyo wewe

    • @fatumahassan149
      @fatumahassan149 2 ปีที่แล้ว

      @Shee Ngazi. Hawaa mini wakiona hao vichuuzi wakujitakia matumbo zao hawajui vile roho zimechoka ODM miaka nenda tumeipigia kura imetusaidia na nini?

    • @trigachonse3486
      @trigachonse3486 2 ปีที่แล้ว

      @@fatumahassan149 Sasa iyo Uda pia itakusaidia na nini.nilimpigia 2013 ,2017,nasioni pingamizi kumpigia sasa 2022 inshallah

  • @sheengazi4245
    @sheengazi4245 2 ปีที่แล้ว

    Ati Mombasa nikitovu cha siasa?

  • @sheengazi4245
    @sheengazi4245 2 ปีที่แล้ว

    Ati jubilee? Jubilee ilikufa zamani

  • @abuubilal6586
    @abuubilal6586 2 ปีที่แล้ว +1

    ODM HAINA FAIDA YYTE NA WAPWANI

    • @mwinyihathib7120
      @mwinyihathib7120 2 ปีที่แล้ว

      anayo faida

    • @halimamimarich3799
      @halimamimarich3799 2 ปีที่แล้ว +1

      kwako n fmly yko kwetu iko n faidaa kubwa sana

    • @vansoham930
      @vansoham930 2 ปีที่แล้ว

      @@halimamimarich3799 Acha wivu man.umbwa hi

    • @andallaathman3856
      @andallaathman3856 2 ปีที่แล้ว +1

      Yenye nayo ni gani haya tumekubali odm haina hebu twambie gni hio

    • @b.truthful
      @b.truthful 2 ปีที่แล้ว

      Pole hayo ni yako , ODM ni chama chagueni watu wenye ufahamu wa mahitaji na kero zenu ifikapo wakati wa nominations sio kulilia vyama