Wakazi wa Mombasa waandamana wakilalamikia bei ghali za bidhaa

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 6 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น • 147

  • @Shariff143
    @Shariff143 2 ปีที่แล้ว +24

    We need that unity to be there everyday hii Kenya si yao they need to listen to citizens

  • @mosesmwaura7122
    @mosesmwaura7122 2 ปีที่แล้ว +27

    Viva we need demonstration country wide for high cost of living

    • @BrantoneSamuel
      @BrantoneSamuel 2 ปีที่แล้ว

      YES!Kenyans tuamke and stop entertaining these people!Enough is enough!!!!

    • @neprotechnologies
      @neprotechnologies 2 ปีที่แล้ว +1

      We just need a mobilization for every county for the demos.......

    • @davidbravoh4316
      @davidbravoh4316 2 ปีที่แล้ว +1

      Yeeees

    • @MJ-ye7dd
      @MJ-ye7dd 2 ปีที่แล้ว

      I agree

  • @alwihussein6888
    @alwihussein6888 2 ปีที่แล้ว +10

    Hii maandano inafaa iwe Kenya yote

  • @johnorina5606
    @johnorina5606 2 ปีที่แล้ว +27

    Country wide demonstration need to be done.....we are suffering wakulima wa kiwango Cha chini

    • @MJ-ye7dd
      @MJ-ye7dd 2 ปีที่แล้ว

      I agree,,we need a country wide demonstration

  • @lordenoughforme4417
    @lordenoughforme4417 2 ปีที่แล้ว +15

    Hii yataka kenya kenya mzima, mtu mmoja aliatwa pekee yake, ile siku ya budget, akaprotest na akashikwa. kenya hatuna umoja, ndio maana serikali haitambui mwananchi wa chini.

  • @ismailmwiti
    @ismailmwiti 2 ปีที่แล้ว +2

    Jamani mko sawa,kesho tuko pamoja hatukjua mara nyingine toeni habari mombasa zima ijue

  • @cloudinhoabdi5740
    @cloudinhoabdi5740 2 ปีที่แล้ว +3

    I support you guys for bold step. The Government need to reduce food and essential commodity prices, live is really unbearable. We should also boycott this elections if this problem won't be taken care of by the Government

  • @roserose887
    @roserose887 2 ปีที่แล้ว +2

    This is Good 👍 tushikane sisi sote.awashunguliki na sisi.i like this.

  • @excelhealthservices7038
    @excelhealthservices7038 2 ปีที่แล้ว +23

    this need to be done country wide with agency

    • @vincentmramba6341
      @vincentmramba6341 2 ปีที่แล้ว

      True every one should stand for this beautiful nation we are dying of hunger.

  • @hillaryngetich2630
    @hillaryngetich2630 2 ปีที่แล้ว +21

    Good for the people of Mombasa,Nairobi they just only protesting for over insults of politicians instead of protesting on something that affect everybody Shem on them.

  • @handersonmurithi3853
    @handersonmurithi3853 2 ปีที่แล้ว +3

    Congratulations 👏 ndugu zangu mombasani tunafaa kuandamana kenya mzima ili awa wajinga watuskie tumechoka na haya maisha ya kupandishiwa gharama kila siku..na uhuru asemi chochote amenyamaza tu ju anajua ameshiba akuna kitu anakosa kwake

  • @hassanmwaguzo7621
    @hassanmwaguzo7621 2 ปีที่แล้ว +9

    This should countrywide

  • @sylviaecke1772
    @sylviaecke1772 2 ปีที่แล้ว +6

    Sawa kabisa ningekua Kenya Nikua hapa Pia Kenya is expensive than Europa 🇪🇺🇪🇺🇪🇺🇰🇪🇰🇪

  • @marynjeri6634
    @marynjeri6634 2 ปีที่แล้ว +1

    Watu wa mombasa congratulations na mungu awambaliki unga ngano nairobi inaenda 200

  • @kennethkungu1778
    @kennethkungu1778 2 ปีที่แล้ว +8

    I'm out of Kenya but nikiangalia habari kila siku na kuwasiliana na jamii yangu na marafi wanavyoniambia Ile hali iko huko na ninavyo ona hufeel machozi kunidondoka watu hawana kazi hakuna biashara serikali imeshindwa kabisa Uhuru hafai kabisa

  • @jackimotienojuma8509
    @jackimotienojuma8509 2 ปีที่แล้ว +1

    Kweli kabisa tuna teseka Sana vitu ziko bei ya juu sana

  • @bernardomondi2632
    @bernardomondi2632 2 ปีที่แล้ว

    AMEEN Asanteni Kaka na Dada zetu wa coast kwa Umoja huu ndio tunataka kenya nzima

  • @joannembaja6053
    @joannembaja6053 2 ปีที่แล้ว +1

    Hongera county 001

  • @lucyngunju8810
    @lucyngunju8810 2 ปีที่แล้ว

    Very true go go go 💯 👍opposition ilimezwa na handshake hakuna wa kututetea sasa😭😭😭😭😭

  • @teresiahgitahi2087
    @teresiahgitahi2087 2 ปีที่แล้ว +9

    Uqweli tunateseka juu ya uchumi

  • @dennismwangi7315
    @dennismwangi7315 2 ปีที่แล้ว +14

    Nairobi protest yetu tufanye lini?

  • @BrantoneSamuel
    @BrantoneSamuel 2 ปีที่แล้ว +17

    Kudos to the Coastarians for this bold step!This and more should be done countrywide and stop entertaining these failed corrupt tribal kings calling themselves leaders!Wakiitisha those useless rallies zao in the name of Azimio and what have you,we go and protest!Waaache kuchukua Wakenya as if we are some kind of potatoes!

  • @janepeter4304
    @janepeter4304 2 ปีที่แล้ว +1

    Thats why we should send all dynasties home hiyo lugha hata wakae miaka mia moja no day they will understand lugha ya umaskini kura bado ziko kwa mifuko yenu pigeni kura wisely coming august

  • @mbuguaaida8470
    @mbuguaaida8470 2 ปีที่แล้ว +2

    Kisumu na Nairobi amkeni pia

  • @nairobikenya749
    @nairobikenya749 2 ปีที่แล้ว

    Truely..am joining many kenyans...hivi karibuni nitaandamana pekee yangu hadi CBD Nairobi...The Kenyan system has wasted us and overburdened us by unnecessarily misappropriated a lot of borrowed funds...now we are paying the hard way

  • @edwardlintari6849
    @edwardlintari6849 2 ปีที่แล้ว

    Kijiti au rally stake inapatilizwa Mr. Raila kutoka kwa UHURU....happy people of Kenya na shibe Ongera UHURU

  • @drrrr7475
    @drrrr7475 2 ปีที่แล้ว +8

    Uhuru is busy with his political project. Nkt

  • @faizislam2378
    @faizislam2378 2 ปีที่แล้ว

    Wananchi tupendueni hii serikali.tunaumia na bado tunanyamaza.uhuru kenyata 2013 nilimpa kura yng.leo hii hio kura yng ndio inaonitesa mm na wakenya sote.huyu hana iman ya kidini wala ki ubinadamu.amenona kama churaa sisi wananchi tunaumia vby sanaa.mungu akushinde ww uhuru kenyata usiku mchana tunakuombea kwa mungu.upate malipo mabaya kutoka kwake muumba wetu.

  • @kiturselassie813
    @kiturselassie813 2 ปีที่แล้ว +6

    Demonstrate and fight ,mtakaliwa na DYNASTY FAMILIES mpaka lini, liberate kenya

  • @murimikaburu1376
    @murimikaburu1376 2 ปีที่แล้ว +1

    Tuko pamoja wapwani. gharama iko juu sana. mafuta ipunguzwe vat

  • @jamesmwangi8598
    @jamesmwangi8598 2 ปีที่แล้ว +2

    Hakika vitu vimepanda mno hongera watu wa mombasa ata ill riziki mtu anapata kwa siku haitoshi .

  • @lukuluku7724
    @lukuluku7724 2 ปีที่แล้ว

    Shida imekuwa mingi sana... tunaumia wakati wengine wanatajirika!! So painful...

  • @tysoneddy978
    @tysoneddy978 2 ปีที่แล้ว +8

    Shida ya handchieth,,, Better nimpe Ruto kura than hao brothers bonoko kutunyanyasa

    • @lucylucy58
      @lucylucy58 2 ปีที่แล้ว

      yeye na serikali yake,,ndio wamesambbisha hii

  • @michaelngige1339
    @michaelngige1339 2 ปีที่แล้ว +2

    We should hold countrywide demonstrations to sennsitize this oppressive government.

  • @Thenduthiculture
    @Thenduthiculture 2 ปีที่แล้ว +4

    Kenyan Leaders
    Politics, very informed. They even know what their opponents do in private.
    Economy and leadership. They have no clue what's happening.

  • @jamaalmallo136
    @jamaalmallo136 2 ปีที่แล้ว +1

    Ata mkaandamana Kenya Nzima hakuna kitu itapungua..... Kenya uliuzwa Wakati mkilala

  • @yusufsaid8911
    @yusufsaid8911 2 ปีที่แล้ว +7

    THIS NEED TO BE DONE ALL THE COUNTRY

  • @chabunu3367
    @chabunu3367 2 ปีที่แล้ว

    Chabunu hapa nawasalimia kwa Asalam aleykum warahmatullahi wabbarakatuh

  • @rahmaabdi6346
    @rahmaabdi6346 2 ปีที่แล้ว

    Hata Nairobi waanze coz tumechoka

  • @faizislam2378
    @faizislam2378 2 ปีที่แล้ว +2

    Sisi wakenya hatuna umoja.hii nchi watu wapiganee huyu uhuru kenyata hana huruma na wananchi.mali waloiba bado wanaona badoo.kenya nzimaa watu wajitokezeee

  • @UDA-fk13
    @UDA-fk13 2 ปีที่แล้ว

    Hapo sawa

  • @abdurahimabdulkadir3926
    @abdurahimabdulkadir3926 2 ปีที่แล้ว +2

    Kenya nzima yatakiwa hivyo

  • @wezhc3013
    @wezhc3013 2 ปีที่แล้ว

    Sio mombasa tu Bali ni Kenya mzima

  • @Lannister-89
    @Lannister-89 2 ปีที่แล้ว +1

    TWAHITAJI HII KENYA NZIMA HII SERIKALI IMETUUMIZA SANAAA

  • @bilhawambugu1587
    @bilhawambugu1587 2 ปีที่แล้ว

    Hongera Wana Mombasa tuko pamoja kweli punda kashoma . No FOOD No CAMPAIGN

  • @MJ-ye7dd
    @MJ-ye7dd 2 ปีที่แล้ว

    This should be a national demonstration...hawa wanasiasa wanaiba tu pesa za kufanya siasa

  • @zionlady1052.
    @zionlady1052. 2 ปีที่แล้ว +4

    Yes wenye wanatetea Uhuru sasa semeni sasa business is not as usual. His biggest agenda is i want Baba in. CRAZY 🤣

    • @charlsemusina9698
      @charlsemusina9698 2 ปีที่แล้ว

      You are the same people who voted for this government twice mkisema thuraku thuraku... tyranny of numbers 😃🤣😆Sai mnalia,,,,si mwambie ule fake "hustler" wa Sugoi....he has been incharge of the ministry of Finance

    • @zionlady1052.
      @zionlady1052. 2 ปีที่แล้ว

      @@charlsemusina9698since when ruto was in charge of finance in this government??? Remember Uhuru in his first term was doing bloody good but eventually the opposition joined the government and everything went out of hand and Uhuru changed to unrepearable thing and all over sudden shown his true colours. Anyway he's just but a shadow in his own government. If it's something that railas people are demonstrating for by now he could have gone to the ground to defend but now since it's an ordinary people he cares less. AKWENDE kabisa...

    • @charlsemusina9698
      @charlsemusina9698 2 ปีที่แล้ว

      @@zionlady1052. The news was all over yesterday when Wanjigi confessed that the government was split into two and Ruto took the ministry of Finance na Uhuru akachukua Defence.... don't you ask yourself why the economy is on its knees but some people have money to splash around? It's not rocket science my dear.....

    • @charlsemusina9698
      @charlsemusina9698 2 ปีที่แล้ว

      @@zionlady1052. Ruto has succeeded in brainwashing you now mnaona Uhuru ndo mmbaya but Ruto ni Saint...who bewitched you...Ruto will only use and dump you....he wants to take all the Gema with him to the opposition because he is fully aware that the presidency is a pipe dream for him...He won't be the next president,,, you can take it from me..

    • @zionlady1052.
      @zionlady1052. 2 ปีที่แล้ว

      @@charlsemusina9698 I think to my own opinion that's a lie! RUTO has the name of vise president but his work was taken buy your Baba and the oversight was given matiangi infact ruto it's only God who has given him that strength if it were me seriously going through all that I would be dead by now. Hongera ruto. RUTO TOSHA 🔥🔥🔥

  • @joycewanjiru2202
    @joycewanjiru2202 2 ปีที่แล้ว

    Njaa. Uhuru ajui njaa.ndio maana anakimya tu

  • @kamaupeter9769
    @kamaupeter9769 2 ปีที่แล้ว +9

    Hii serkali ya uhuru na raila hata inafaa kushitakiwa, haki ya wananchi hakuna kazi yao ni kunyanyasa wakenya na kutumia pesa ya wakenya vibaya kwa kuwaletea saisa bonoko kama vile BBI , HUDUMA etc...

    • @azzoearly9051
      @azzoearly9051 2 ปีที่แล้ว +1

      Umesahau ruto😜😜

    • @elysonchivatsi5472
      @elysonchivatsi5472 2 ปีที่แล้ว +1

      C hata ruto yuko ndani ya serekali

    • @kamaupeter9769
      @kamaupeter9769 2 ปีที่แล้ว

      @@azzoearly9051 kiongozi saa ii ni uhuru ndiye tulimpingia kura ili awese kutujali sasa ruto hana jukumu lolote akiabiwa nyamaza lazima akimye

    • @Raj-xd6vk
      @Raj-xd6vk 2 ปีที่แล้ว +1

      Tuache ujinga,,serikali c Uhuru na Raila ,, serikali ni ya Uhuru na Ruto,,tusitetee mtu yeyote,,Ruto n DP na anapokea mshahara ya dp,,xo awajibike sio kelele tu zakusingizia watu wa opposition,,he must do something...

    • @greattiktokers3546
      @greattiktokers3546 2 ปีที่แล้ว

      Report says that 16M Kenyans are subjected to poverty since 2014 Immediately the Uhuruto took the country.

  • @lordenoughforme4417
    @lordenoughforme4417 2 ปีที่แล้ว +2

    tumekua waoga wa tear gas, ndio maana twateseka. inchi zengine wakipandisha bei shilingi moja tuu, wanafanya maandamano. leo imekua wakiamua wapandisha 30bob bila kujali

  • @felixokoth5296
    @felixokoth5296 2 ปีที่แล้ว

    We need to join this

  • @wilfredbii6164
    @wilfredbii6164 2 ปีที่แล้ว

    we support this

  • @smallwaterproviders5099
    @smallwaterproviders5099 2 ปีที่แล้ว

    kuna shida kubwa sana ya njaa na viongozi wanyamaza

  • @hustlingingodwetrust417
    @hustlingingodwetrust417 2 ปีที่แล้ว

    sii njoho ako huko na aliyeteuliwa tena uhuru kenyatta alikua huko mungeandamana wakati huo

  • @OldisGold1982
    @OldisGold1982 2 ปีที่แล้ว +1

    Wakenya kama sio kuabudu uhuru na Raila tungeandamana Kenya yote

  • @paulgitau5270
    @paulgitau5270 2 ปีที่แล้ว +1

    This is very true

  • @biabumwarua2444
    @biabumwarua2444 2 ปีที่แล้ว

    uyu mama amenitoa machozi jamani serikali ituhurumie watoto wanalia njaa

  • @maalimhassanali2327
    @maalimhassanali2327 2 ปีที่แล้ว +2

    Kweli

  • @abdullahiisaackkiriama2505
    @abdullahiisaackkiriama2505 2 ปีที่แล้ว +1

    Warudishe zile pesa za bbi

  • @alicenjeri8141
    @alicenjeri8141 2 ปีที่แล้ว

    Hapo sasa

  • @johnkariuki4214
    @johnkariuki4214 2 ปีที่แล้ว

    Wakenya washikani

  • @mohamednyinge6030
    @mohamednyinge6030 2 ปีที่แล้ว

    Wa pwani waungwana hauna fujo ni ujumbe tu kwa serikali kuu

  • @pollywanjiru1742
    @pollywanjiru1742 2 ปีที่แล้ว +1

    Serikali tuko nayo haitambui ata watu wapige nduru aje

  • @faizislam2378
    @faizislam2378 2 ปีที่แล้ว

    Tunahitaji kenya nzimaaa watu waandhamane hii serikali ni ya dhulmaa

  • @y.n.initiative2701
    @y.n.initiative2701 2 ปีที่แล้ว +1

    WAFUNGUWE SECTOR YA SCRAPE METALS

  • @bakarihussein4166
    @bakarihussein4166 2 ปีที่แล้ว

    This should be country wide,,,,

  • @peterk5952
    @peterk5952 2 ปีที่แล้ว

    Uhuru amechidwa na serekali nawaede yeye raila Wake

  • @rashidmwaita5163
    @rashidmwaita5163 2 ปีที่แล้ว

    Hii yataka iyenee kenya mzima.watu waandamane kwa siku

  • @danwanyinaalice3778
    @danwanyinaalice3778 2 ปีที่แล้ว

    Nairobi ita kua lini ?am ready

  • @picklessngitu8871
    @picklessngitu8871 2 ปีที่แล้ว +4

    Kindly move allover and collect Kenyans..trillionares are ruling this country, they want Bread to go up to 500 ksh i. The next 5 years

  • @lucymathai3041
    @lucymathai3041 2 ปีที่แล้ว

    Punda amechoka. Hatutaki project Raila.

  • @kimanijohn9529
    @kimanijohn9529 2 ปีที่แล้ว +2

    We have a huge debts in China, have of it got pocketed by one family, Kenyans please wake up,

  • @wanjiruwangeci7997
    @wanjiruwangeci7997 2 ปีที่แล้ว +3

    We can't even have a decent breakfast 😒

  • @samkamaa441
    @samkamaa441 2 ปีที่แล้ว +1

    Illegal handshake government should act ASAP

  • @farhiyajamaa7717
    @farhiyajamaa7717 2 ปีที่แล้ว

    😭😭😭😭

  • @saadiaali5609
    @saadiaali5609 2 ปีที่แล้ว +1

    Munalilia serekali na hio ndio inaruhusu wanaosimamia vyakula na mafuta

  • @OmarMohamed-tp4uf
    @OmarMohamed-tp4uf 2 ปีที่แล้ว +1

    What is going on Kenya 😭

  • @najimamohammed337
    @najimamohammed337 2 ปีที่แล้ว

    Chakula kimepanda stima zimepanda hata maji pia school fees mitihani Kenya hii

  • @shirazwalji3094
    @shirazwalji3094 2 ปีที่แล้ว

    Better to call joho to help.

  • @hujaleabdirahman9156
    @hujaleabdirahman9156 2 ปีที่แล้ว

    Viongozi wakuu wa ii nchi mkona maswali ya kujibu mbele ya Allah. I wsh your kid whom you've taken them to abroad could also suffer like thz. Shame on you Politicians.you're behind ol thz.

  • @Big-a-low
    @Big-a-low 2 ปีที่แล้ว +1

    Ask your mpigs about the high cost.

  • @alextercisio
    @alextercisio 2 ปีที่แล้ว

    Ata Mimi niabiwe wako wapi niede niugane na wao ...

  • @georgepeters2180
    @georgepeters2180 2 ปีที่แล้ว

    These are the real hustlers, not the politicians who fly all over in helicopters.

  • @mercyruto2046
    @mercyruto2046 2 ปีที่แล้ว

    hii yote ni raila handshake ,mtabaki ivyo kama hamtamfunguka macho, mombasa lazima tuerevuke, Raila amenyamaza na serikali na yeye ndio opposition leader, hes sleeping on his job , Ruto alisema hamkumsikia, mjue every action has consequences , mfunguke macho jamani watu wangu wa mombasa,

    • @Raj-xd6vk
      @Raj-xd6vk 2 ปีที่แล้ว

      Hapa hamna cha Raila,,cc wapwani tunajua rais ni Uhuru na dp ni Ruto,,hatutambui Raila,,wasettle their differences vitu ziende shwari,,hyo ufala ya kuingiza Raila tumekataa,,wabebe mzigo wao

  • @kenyamoja179
    @kenyamoja179 2 ปีที่แล้ว

    na still mutapigia tena kura watu kama raila na uhuru

  • @picklessngitu8871
    @picklessngitu8871 2 ปีที่แล้ว

    Serikali itanjenga Barbara ama itaokoa mwanainchi badilisheni huongozi

  • @saadiaali5609
    @saadiaali5609 2 ปีที่แล้ว

    Serekali inajuwa kura zinasongea sasa wanabana vyakula na mafuta kwanini munapata mishahara alafu wananchi wale wanaopiga kura ndio munawatesa na vyakula

  • @murimikaburu1376
    @murimikaburu1376 2 ปีที่แล้ว +2

    punda amechoka, Naukot had a good plan for Kenya. tupunguze pia mps and uncessary offices

  • @jimmykariuki4340
    @jimmykariuki4340 2 ปีที่แล้ว

    Is the president seeing this? Am only asking.

  • @t.c7915
    @t.c7915 2 ปีที่แล้ว

    Deni 13trillion mtalipaje na suspension

  • @HapaTexas
    @HapaTexas 2 ปีที่แล้ว

    Demonstrate, but also understand the power to act lies in the legislators. Vote wisely and hold the legislators to account.

  • @pchaguas7681
    @pchaguas7681 2 ปีที่แล้ว

    How did we get here, high prices and shortages of foodstuff? What is the role of government if it cannot plan and implement to safeguard food security.There are no justifiable reasons for Kenyan's food shortages and prices except those caused by poor planning on fuel shortage, over taxation, corruptions andneglect of agriculture sector, which is the backbone of economy employing over70% of rural population. Let us remind those who consistently defend the government's failures that Kenyans is an agriculture country, which should be self-sufficient with stable food

  • @janet7740
    @janet7740 2 ปีที่แล้ว +1

    Stop voting for nominees first to draw attention to the government

  • @johnmwangi8706
    @johnmwangi8706 2 ปีที่แล้ว

    Th next war will b about food

  • @johnndungu8764
    @johnndungu8764 2 ปีที่แล้ว +4

    Punda amexhoka

  • @cegesl4521
    @cegesl4521 2 ปีที่แล้ว +1

    Power to the people the billions of BBI would have helped to reduce the cost of living

  • @UDA-fk13
    @UDA-fk13 2 ปีที่แล้ว

    Uhuru joined the opposition. No president

  • @sylviaalu5867
    @sylviaalu5867 2 ปีที่แล้ว

    🤣🤣🤣🤣 kweli punda amechoka mpaka amekuja na sahani na kijiko!!njaa inaaibu

  • @khamisjuliabut9245
    @khamisjuliabut9245 2 ปีที่แล้ว +1

    Useless leadership of odm in coast

  • @hamidgustavo9904
    @hamidgustavo9904 2 ปีที่แล้ว

    we are tired of Uhuru regime