Ole Sendeka Miaka yote huwa Yuko Mkweli Ila hao wanaopewa MAMLAKA ndio wapigaji sio wazalendo kuwanzia Usalama , mpaka idara husika wanajenga Majumba mitaani tu kwa Mishahara ipi jamani tujiulize mtu anajenga Gorofo la karibiamia Milion 900
Hongera sana baba yangu mh Ole Sendeka, uzalendo umeuonyesha wa kweli. Baba unafaa kuwa kiongozi kabisa, mwenyezi MUNGU akubariki sana na akuzidishie afya njema.
Katika history wamasai wengi Sana hawanaga tamaa na mali ni waaminifu Sana bdo Mana ata kwenye mageti yetu tumewaweka kama walinzi masai ni mtu poa Sana wapo kama kina moringe sokoine na wengine wengi Wana hofu na mungu huyu mzee angepewa unaibu waziri wa madini
Waziri mkuu Naku heshimu sana ila kwa hili heshima nime ishisha huyo mbunge ana ongea maneno yamaana na ya kizalendo ww kama wazima unaleta utani ktk hilo nini maana yake kwa hiyo kipindi cha Hayati Mh Magufuli ulikua unafanya kazi kwa kumuogopa yy Daah Tanzania we have long way to go 🇹🇿💔
@@salumally3128 sio kote ni africa tu rabda na india ndi wanatabia kama viongoz wa tanzania hawataki inchi iwe juu kazi kuibia inchi na wanainchi ndi maana india na tanzania ziko raf sana
Huyu mbunge anaakili za Magufuli....niviongoz wa chache San wanao jielewa kama hawa....Na laiti kam magu angekuwepo angempa uwazili wa madini ......lakn utaona watamchukulia km RAIA wa kawaidatu bila kuthamn anayoongea ....ona wazili mkuu anacheka wakati mbunge yupo serious
@@whatisthetruth.8793 Kabisa Africa tumelazwa sana kihakili tumeaminishwa bila watu weupe hatuwez kufanya chochote kumbe hatujui bila sisi wao ndo hawawez kuishi
Kabisa, shida viongozi wetu hawana nia ya kukomesha udharimu. Hata marekani kesi ya uhujumu uchumi wanakufilisi na kukufunga, china unaua, India unaua, sisi tunasifia wabadhirifu wa mali ya uma kwamba ni wajaja sana. Tunachekesha
Wazee wanauchungu na nchi ila ssi vujana hatuna uchungu huyu mzee wataunda figisu wafanya biashara mwaka 2025 hatacuaguliwa kuwa mbunge mwenyezi mungu akulinde mzee mimi niko mwanza ila nimefurahushwa na kitendo cha uzalendo unaoupigania kwaajili ya jimbo lako na taifa kwa ujumla 👏🙏🙏🙏🙏r.i.p JPM😢
@@kwisa4899 Eti hakuna mzalendo duniani? Wazalendo tupo... Na ww pia ni mzalendo!!! KAMA SIO SISI NI NANI? Lakini tatizo, nini tafsiri ya "Uzalendo" siku hizi? Mimi sielewi kabisa...
Ole sendeka... Mbunge wa Simanjiroo.. maika 20 .. shule hazina madarasa, madawati,. Watoto wanafeli.. na kuzoom... Mm nipo simanjiroo uji kutembelea Wananchi... Unakaa tu kwako kifing'a
Serikali ijitathmini sana tena sanaaa maana hasara tunayoipata ni kubwa mnoo na inatugharimu kama taifa kwa,takribani miaka zaidi ya 60 sasa,Inauma sana
Uzalendo kwanza jamani tuweni wakeli tanzania atuwezi kufika mbali kama tutaendelea kuwa na tamaa ya leo kuliko kufata talatibu ili tulinyanyuwe taifa kwa pamoja mungu ibariki tanzania
👍👍mpaka kieleweke hapo hapo kazia Baba nashanga kenya wakuwa watu wajuu kwa madini kuliko tanzania wenye madini yao hapo ndiyo nashindwa na mlima wetu wanyama wetu lakini tunachnganywa wapi jamani 👀👀👀👀👀
yani nimependa san Uzalendo wako kiongozi ndio man TANZANIA tunatak watu kam nyinyi ila TANZANIA tangu andoke baba yetu mambo yamevurugika😭😭😭😭ila mungu anawaona wanyonge ndio tuna umiya 😭😭
Mh. Ole Sendeka, wewe ni mtu kati ya watu. Msema kweli mi mpenzi wa Mungu. Endelea kusimama na kweli tupu. Inua sauti yako kwa ajili ya sisi mil 60 ili tupone na vizazi vijavyo vipone. Namwuunga mkono pia Mh. Msukuma. Kwa kweli mkono wa Mungu na uwaatamie kwa habari ya ulinzi.
Mawazo ya mbunge mazuri sana ila wahusika sijui wanachukulia kwa uzito gani jambo hili. Uozo ni mwingi. Kila kukicha jipya linaibuka. Uzalendo ungekuwepo haya yasingetokea kwa kiwango hiki
Ole sendeka ww mzalendo wa kweli, tunaitaji wazalendo kama nyinyi, Big up sana
Ole Sendeka Miaka yote huwa Yuko Mkweli Ila hao wanaopewa MAMLAKA ndio wapigaji sio wazalendo kuwanzia Usalama , mpaka idara husika wanajenga Majumba mitaani tu kwa Mishahara ipi jamani tujiulize mtu anajenga Gorofo la karibiamia Milion 900
Kweli kaka
Majaliwa mwenyewe mwizi tuu
Tunatgemea atsaidie tena unakaaa kimya kweli
@@jackmabirangacharles9398 kweli kabisa
Hongera sana baba yangu mh Ole Sendeka, uzalendo umeuonyesha wa kweli. Baba unafaa kuwa kiongozi kabisa, mwenyezi MUNGU akubariki sana na akuzidishie afya njema.
Huyu mzee nimeanza kumuelewa toka lile sakata la Richimond ni mtu mmoja muwazi sana
Safi sana brother Ole Sendeka.
ole sendeeeka. the great. safi sana baba kwa uzalendo.
ASANTE SANAA OLE SENDEKA MWENYEZI MUNGU AKUJAALIE UMRI MREFU NA AFYA UPATE KUTETEA RASILIMALI ZA TAIFA LETU
Safi sana mzee wetu kwa maono yako kazi nzuli goog
Safi sana.
Hatimae Mh. Ole Sendeka umeamua kuongea ukweli kwenye swala linalokuhusu.
Msukuma aliwai kuwaambia hamukumuelewa
Yana ongelewa hapohapotu halafu basi
Walimuona std7. Angesema mwenye phd wangemuongeza cheo na kushirikiana nae kutuibia
Msukuma anawafahamisha ila wapi doooo
@@nardhismhagama6266 ndioshida yaTanzania hiyo
@@nardhismhagama6266 ndioshida yaTanzania hiyo
Waziri mkuu nampenda sana Sana japo mm chadema msikivu hana papala
Olezendeka we mzàlendo.viongozi kama ww ndio tunatakaga.big up broooo
Katika history wamasai wengi Sana hawanaga tamaa na mali ni waaminifu Sana bdo Mana ata kwenye mageti yetu tumewaweka kama walinzi masai ni mtu poa Sana wapo kama kina moringe sokoine na wengine wengi Wana hofu na mungu huyu mzee angepewa unaibu waziri wa madini
na kina Lowassa pia
Kweli kabisa Erick. Wengi ni waaminifu,wakweli na hawana hila.
@@herbertstaford soma comment yake vzr na kuelewaa,sio wajbu tuu kisa huna right ya kuchngia au kukosoa,,,,
Nani anabisha na abishe kwa hoja
Safi sana mh ole sendeka wewe ni mzalendo na nchi yako mungu akusimamie na wengine waige mfano wako
Mh.Mbunge Mungu akulinde.
Asante baba tunawataka wazalendo kama nyinyi magufuri kaacha chembe za baadhi ya viongoz
Mungu akubariki sana baba yetu mbunge. Nakuombea kwa Mungu hakika wewe ni mzalendo wa kweli Mungu akulinde.
Mungu akulinde ole maana ukisema ukweli tu🙏🙏
Waziri mkuu Naku heshimu sana ila kwa hili heshima nime ishisha huyo mbunge ana ongea maneno yamaana na ya kizalendo ww kama wazima unaleta utani ktk hilo nini maana yake kwa hiyo kipindi cha Hayati Mh Magufuli ulikua unafanya kazi kwa kumuogopa yy Daah Tanzania we have long way to go 🇹🇿💔
Uzalendo vitendo na nmeviona Vitendo vya Mbunge wangu
Mungu akulinde Mh. Mbunge Ole Sendeka.🙏
Ongela sana mbunge kweli leo nimejua ww ni mzalendo wa kweli yani mafuta yanapanda tu bei ata atujui nani atatutetea mungu ibaliki tanzania
Huyo mbunge kaongea vitu vyia msingi waziri mkuu anachukilia simple anacheka tu
Kicheko kinaweza kuwa cha hasira pia
Magu hayupo waziri mkuu sa hvi anachukulia mambo poa tu
@@humphreyvidonyi253 Umeona eeeh nae ana pesa yake ana wekewa pembini ndio maana hafoki tena
@@humphreyvidonyi253 mwenda zake hakuweza kudhibiti hapo watu walikuwa wanavusha madini kila dakika
Muogope sana mtu anaecheka wakati unaongea jambo la kukasirisha.
Tatizo hii nchi ukiwa mzalendo unapata maadui wengi
Na maisha hatarini
Sio hii nchi tu..., ni asilimia kubwa duniani
Salum Ally bongo imezidi ndo maana haiendelei,
Ndio ttzo la africa
@@salumally3128 sio kote ni africa tu rabda na india ndi wanatabia kama viongoz wa tanzania hawataki inchi iwe juu kazi kuibia inchi na wanainchi ndi maana india na tanzania ziko raf sana
Well done ole Sendeka. Tanzania
Kuna haja ya kuangalia upya hizi sheria zetu japo zitakuwa kali lakini ni kwa manufaa ya taifa na vizazi vijavyo
Mzee kaongea kwa uchungu sana kanikumbusha mzee maneno ya mzee magu... Tunaibiwa sana haya rest in peace JPM 😔😪😪
Mi mwenyewe kaniliza koz his mzalendo Ingekuwa Magu angetatua hapohapo
@@sophiasophia6945 KWA HIYO MAGU HAKULIONA HILO.
@@salimsaid7200Tatizo mulimuwaisha kumnyonga mbona alikuwa njiani kulekebisha uko? RIP 😭😭
RIP MAGU 😭😭
Ndiyo maana wakamuua ili waibe vizuli coz aliwabana sana
Mungu akulinde olesendeka
Safiii Mzee Mungu akubariki na kukulinda mzalendo hoyeeee
Huyu mbunge anaakili za Magufuli....niviongoz wa chache San wanao jielewa kama hawa....Na laiti kam magu angekuwepo angempa uwazili wa madini ......lakn utaona watamchukulia km RAIA wa kawaidatu bila kuthamn anayoongea ....ona wazili mkuu anacheka wakati mbunge yupo serious
Asante mzee wetu tunahitaji watu Kama hii ili inchi iweze kusonga mbele
Vizur sana mzee sendeka TUNATAKA wazalendo tuh.
Safi Ole nakuelewaga sana Mzee wangu
Huyu jamaaa nampa mia Sana
Tatizo sio ditto .......baba alisema nimesacrifice maisha yangu kwa ajili ya watanzania maskini
Layzer Hongera saana..upo vizuri,Hiyo ndio kazi ya Mbunge.
Ahsante sana mzee Ole sendeka kwa uzalendo huo.tunahitaji viongozi wa namna hii.
Juzi nliangalia hii clip live tbc
Kwakweli WAZIRI MKUU anaonyesha moyo wakuipigania nchii hii lkn naona kama yuko peke ake tu! 😢😢😢
Mama yuko kimya sana kama kikwete
Safi Olee,, hafu mipango ya fedha wanaacha kubana huku ili wapate huku pesa za kutosha wanahangaika na matozo, tozo kwa wanyonge,, huu niunyam
mtu aliefanikiwa dunian kuliko wote ni yule alieiroga AFRICA
Wee acha tuu , unaweza kufuru akifikiri sana
@@whatisthetruth.8793 Kabisa Africa tumelazwa sana kihakili tumeaminishwa bila watu weupe hatuwez kufanya chochote kumbe hatujui bila sisi wao ndo hawawez kuishi
@@maikomwaryobawaryoba3804 na ndio wengi wapo ivo , tizama tuu kwa mfano uyo bii raisi , mie naona remote control yake wananyo ulaya ,
Madini yapo Tanzania uchumi wa kenya unapanda leo mnadanganywa chuma kina bei mnazarau zahabu watu wanasomba tu
Tanzania bado tuna safari ndefu..
Hukumu ya Kifo kwa watorosha madini inapaswa ipitishwe..
Kabisa, shida viongozi wetu hawana nia ya kukomesha udharimu. Hata marekani kesi ya uhujumu uchumi wanakufilisi na kukufunga, china unaua, India unaua, sisi tunasifia wabadhirifu wa mali ya uma kwamba ni wajaja sana. Tunachekesha
Ole sendeka yuko vizuri safiii.
Asante muheshimiwa Sendeka.
Uyu Mzee mim naona angepewa icho kitengo chaku simamia madini naona angekitendea haki sababu siri zote anazijua
Wanamuua kwa Tanzania hii tena Ccm ndo wamejaa mafisadi
Naumia sn kwa baadhi ya watz kukosa uzalendo na nchi yao. Mungu tusaidie watoto wako tunaangamia kwa kukosa maarifa.
Safi sana ole kwa kutufahamisha
Wazee wanauchungu na nchi ila ssi vujana hatuna uchungu huyu mzee wataunda figisu wafanya biashara mwaka 2025 hatacuaguliwa kuwa mbunge mwenyezi mungu akulinde mzee mimi niko mwanza ila nimefurahushwa na kitendo cha uzalendo unaoupigania kwaajili ya jimbo lako na taifa kwa ujumla 👏🙏🙏🙏🙏r.i.p JPM😢
WAZIRI SHIKAMOO?
MPE OLE SENDEKA KAZI KWENYE MADINI. UYU NI MZALENDO.
Hakunaga mzalendo Duniani sheria kali ndio zinazo walazimisha mzalendo bado ajazaliwa
Kabisaa
@@kwisa4899 Eti hakuna mzalendo duniani? Wazalendo tupo... Na ww pia ni mzalendo!!! KAMA SIO SISI NI NANI? Lakini tatizo, nini tafsiri ya "Uzalendo" siku hizi? Mimi sielewi kabisa...
Hongera Sana Christopher olesendeka🙏🙏
hongera saana sendeka
Sendeka the great......Et makwapa yote.
Hongera sana mkuu wallah unafaa kuwa waziri
Ajiuzulu haraka sna.
MADAMU WEWE I
UMESEMA KESHO ATAJIUZULU 🤣🤣🤣🤣🤣
Mzee safi sana aise, ole sendeka
mbunge yupo vizuri piga kelele
Apewe ulinzi aseee mzeee kaongea kwauchungu sana apewe ulinzi
Lucky of Commitment Na Uzalendo .. Where are you Comando wetu Magufuli???
hakika mzee ole sendeka he is a very intelligent
Ole sendeka... Mbunge wa Simanjiroo.. maika 20
.. shule hazina madarasa, madawati,. Watoto wanafeli.. na kuzoom... Mm nipo simanjiroo uji kutembelea Wananchi... Unakaa tu kwako kifing'a
dah watu wezi sana sijui.Afrika tunafeli wapi
Kwann mh.ole asiwe waziri wa madini.Mama angalia vigezo vya kuteua mawaziri
Hakunaga christopher mjinga😄😄😄
Wanaanzaje sasa kuanzia mtangulizi Columbus 😃😃😃
Serikali ijitathmini sana tena sanaaa maana hasara tunayoipata ni kubwa mnoo na inatugharimu kama taifa kwa,takribani miaka zaidi ya 60 sasa,Inauma sana
Ajengewe sanam...
Waziri Mkuu msikivu sana
Awamu ya sita ni majambazi tu,safi Sana mbunge mzalendo
Ongera Sana ole zendeka baba msalendo
Hongera sana jembe
Well done wazarendo wapo bado alhamdullilah..
Asante baba kwakusema ukweli,uzalendo namba moja
Kwa hili Mh. Ole Sendeka kanifueahisha. Serikali ichukue hatua coz anachosema ni sahihi.
Mzee Mungu akueke
Mi sito msahamu mzee wetu mungu amlaze mahali pema
Mungu akuliki boc wangu
Iyu mbunge hatalii sana siokama wetu Hulu amnakitu
Okoa nnchi naunaskini babaangu 👏👏👏👏👏👏👏
Tumeanza kukuelewa Mzee👏👏👏
Sendeka huwa mzalendo huwa nakupenda sana
Toka nimeanza kukusikiliza kaka Ole hapa umeongea point sana.
Uzalendo kwanza jamani tuweni wakeli tanzania atuwezi kufika mbali kama tutaendelea kuwa na tamaa ya leo kuliko kufata talatibu ili tulinyanyuwe taifa kwa pamoja mungu ibariki tanzania
Muheshimiwa waziri mkuu muwekee walinzi Huyo mbunge kanikumbusha mzee magufuli huyobabu anauchungu na nchiyetu anae nielewa nini mbunge kazungumza point gongs like
ULINZI WA NINI NA WATU WASIO JULIKANA WAME UFYATA.
👍👍mpaka kieleweke hapo hapo kazia Baba nashanga kenya wakuwa watu wajuu kwa madini kuliko tanzania wenye madini yao hapo ndiyo nashindwa na mlima wetu wanyama wetu lakini tunachnganywa wapi jamani 👀👀👀👀👀
kweli kabisa mbunge
Jembe katutoka, sasa tumerudi kure kure. Ewe Mungu duhurumiye !
yani nimependa san Uzalendo wako kiongozi ndio man TANZANIA tunatak watu kam nyinyi ila TANZANIA tangu andoke baba yetu mambo yamevurugika😭😭😭😭ila mungu anawaona wanyonge ndio tuna umiya 😭😭
Mh. Ole Sendeka, wewe ni mtu kati ya watu.
Msema kweli mi mpenzi wa Mungu.
Endelea kusimama na kweli tupu.
Inua sauti yako kwa ajili ya sisi mil 60 ili tupone na vizazi vijavyo vipone.
Namwuunga mkono pia Mh. Msukuma.
Kwa kweli mkono wa Mungu na uwaatamie kwa habari ya ulinzi.
Dah......!!!Mimi naumia sana
Mungu akulinde Mzee, Ole Sendeka, wasije wakakusweka ndani kama Ole Sabaya😔
KWANI MZEE NAE MWIZI KAMA SABAYA AU????
Nilisubiri kusikia kauli ya waziri mkuu (MAAMUZI) juu ya maelezo ya Ole Sendeka.
Vizuri kabisa Mbunga
Awa ndo viongozi wanaotakiwaa, wawe wengi Kama hawaaa
Sahihi
Fanya mambo waziri mkuu tunakuteegemea tunakuaminia Sana Sana baba yetu
Safi mzee
Kaongea ushauli mzuri Sana waziri mkuu na Raisi lichukueni Hilo sio mzaha mzaha wakucheka cheka kijinga
Watakuuwa akina kigogo
Mh shida hiyo ulisema ukweli maisha yako unayaweka rehani
@@omanabcd9249 ATAULIWA NA AKINA WASIO JULIKANA.
@@mwinyikadhi2870 KWA HIYO VIONGOZI WOTE WENGINE TZ WANASEMA UWONGO.
Mola akubariki mbunge
daaah nimeumia kweli kama mtanzania
Mawazo ya mbunge mazuri sana ila wahusika sijui wanachukulia kwa uzito gani jambo hili. Uozo ni mwingi. Kila kukicha jipya linaibuka. Uzalendo ungekuwepo haya yasingetokea kwa kiwango hiki
Safi sana
Kwelii