KIMENUKA PAULA NA ABY CHAMS AMPA MAKAVU HANA KAZI ZA KUFANYA ANA TREND KWA WANAUME/MARIOO ACHUKIA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 30 ก.ย. 2024

ความคิดเห็น • 43

  • @tundacappuccino
    @tundacappuccino 7 หลายเดือนก่อน +23

    Kama unakubali couple ya marioo na paula like hapa🙌😍

  • @ubuyumediatz
    @ubuyumediatz 7 หลายเดือนก่อน +14

    Paula achana na uyo mshamba

  • @SIMULIZIZAGECHA
    @SIMULIZIZAGECHA 7 หลายเดือนก่อน +9

    Uyu ndio mwanaume 👏safi Mario pambana na uba laki kweli mtoto ametulia sana na aijawaitokea chukuwa mauwa Yako 💕💕💕💕💕 upewe tunzo

  • @Sabrinamajid06Sabbycute
    @Sabrinamajid06Sabbycute 7 หลายเดือนก่อน +7

    Huo ni wivu tu wa abby jaman haon kam Dada p anaduk lake zur tu

  • @Nihadshighadi
    @Nihadshighadi 7 หลายเดือนก่อน +6

    Paula marioo❤❤❤abby hana nyota kama marioo alikudinya go heal😂😂😂

  • @STORYZALEO
    @STORYZALEO 7 หลายเดือนก่อน +7

    Kidogo kinapendansana kiki😂

  • @JudithKigalu-ue3in
    @JudithKigalu-ue3in 7 หลายเดือนก่อน +4

    Aby chams anatafuta kiki. Awezi trendy bila kutaja paula wivu wivu mtupu.

  • @jescatebuye2287
    @jescatebuye2287 7 หลายเดือนก่อน +5

    Mbona hata huyo bikra Hana kazi ,Hadi mama yake anamtaftia soko kwa kutangaza mwanae bikra naye hiyo si ndo biashara anafanya 😂😂😂😂😂

  • @SIMULIZIZAGECHA
    @SIMULIZIZAGECHA 7 หลายเดือนก่อน +6

    NATAFUTA boyfriend atakayekua anaingilia ugomvi wangu😂😂😂😊

    • @SaidChilaza
      @SaidChilaza 7 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂😂chizi wew

  • @tundacappuccino
    @tundacappuccino 7 หลายเดือนก่อน +5

    Sema Marioo akiimba taarabu ataua sana😂😂 hajuagi kujikaza na kupotezea mwaya😂😂

  • @ChasTz
    @ChasTz 7 หลายเดือนก่อน +4

    Mwanaume anaejitambua hawezi kuingilia marumbano ya wanawake maana ukiingilia sanaa na ww utakuwa ni mwenzao hapo wakujibu ni pau na sio ww ukubwa ulio nao ww kwenye mziki ilikuwa unyamaze tuu uwaachee au tuseme Aby alikukataa ndo maana akiongea kituu 2 unahangaikaa😂😂 jitambue mtt wakiumee wewee

    • @RehemaSepi
      @RehemaSepi 7 หลายเดือนก่อน +1

      Umoumo❤

  • @husnaally-e9z
    @husnaally-e9z 7 หลายเดือนก่อน +4

    Watu wamemuuliza bhana na yeye akajibu. Kwani alichosema uongo? Paula ana kazi gani? Si tunamjua becoz of masela au? Muacheni Abby ase.

    • @mzembemakini3532
      @mzembemakini3532 7 หลายเดือนก่อน

      Pg hesab ya wanaume uliowah kutombwa nao half ukimaliza ndouje 2ongee lugha moja😂

  • @paulawakajala
    @paulawakajala 7 หลายเดือนก่อน +9

    Kama upo upande wangu naomba like ❤

  • @tundacappuccino
    @tundacappuccino 7 หลายเดือนก่อน +9

    Kama unamkubaliii abby chams like hapaaa ❤️❤️❤️🔥🔥

  • @JudithKigalu-ue3in
    @JudithKigalu-ue3in 7 หลายเดือนก่อน +3

    Paulapaulaaaaaaaaaa

  • @tundacappuccino
    @tundacappuccino 7 หลายเดือนก่อน +3

    Marioo yule n mtt wa dada wataifa ngoja uandkiwe walaka wa amani 😂😂😂

  • @husnaally-e9z
    @husnaally-e9z 7 หลายเดือนก่อน +2

    Abby to the Top😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 Abby mmoja Kanyamyua Tanzania nzima Leo kivumbi 😂😂😂😂😂😂

  • @mmhmedia8375
    @mmhmedia8375 7 หลายเดือนก่อน +2

    Kipuuzi sana kile ,kitoto cha kufikia mangee, ndo kinajuwa kitatetewa na mange ,,

  • @mmhmedia8375
    @mmhmedia8375 7 หลายเดือนก่อน +3

    Awache shoboo mume kama hakupenda just move on bana Paula nakupenda wewe na huyo mume marioo🔥🔥❤️🙌🙌🙌😂😂😂😂😂😂

    • @SaidChilaza
      @SaidChilaza 7 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂😂🎉🎉🎉

  • @marrychas441
    @marrychas441 7 หลายเดือนก่อน +2

    Ahsante marioo wewe ni mwanaume wa ukweli sawa sawa ndio wanachotaka nimefurahi sana

  • @SIMULIZIZAGECHA
    @SIMULIZIZAGECHA 7 หลายเดือนก่อน +2

    Kwahiyo sasa hivi kamjua?😂 kumbe inauma eeh

  • @mmhmedia8375
    @mmhmedia8375 7 หลายเดือนก่อน +2

    Na Bichwa lake Refu kama Rungu la Kipepe 😂😂😂

  • @ChasTz
    @ChasTz 7 หลายเดือนก่อน +2

    Naww marioo sio kila kitu ujibu jamani

  • @CHASTZA
    @CHASTZA 7 หลายเดือนก่อน +2

    😂😂😂

  • @mmhmedia8375
    @mmhmedia8375 7 หลายเดือนก่อน +1

    Kashindwa kumjibu mhuni chino wanaman anakuja kutetea maku huku atuache sie Huu mchezo hautaki hasira jeshi la mtu mmoja waleteee Abby next kwesheni 😂😂😂😂 atajibu walicheza utotoni🙌🙌🙌

  • @RehemaSepi
    @RehemaSepi 7 หลายเดือนก่อน

    Duh Ila jaman Paula mtu mbadii Jan kazi ya maan lakni maaruf kuliko wenye Kaz zao

  • @farhannahkulishwaburekunam5360
    @farhannahkulishwaburekunam5360 7 หลายเดือนก่อน

    Ni kweli hana kazi anasubiri tu awapate wanaume wKudandia tu au kuwachuna tu hana kazi mwenzio anaimba anapat pesa wache wafanye kazi na mario huna jipya wewe paula wache wafanye kazi waimbe

  • @HasnaYesu
    @HasnaYesu 7 หลายเดือนก่อน

    Wameach da Paul jamn wanatak Nini tunampenda san

  • @farhannahkulishwaburekunam5360
    @farhannahkulishwaburekunam5360 7 หลายเดือนก่อน

    Sasa paula anaharib unaharibu kazi za mario na abbchams unatia fitia ili wasiimbe na wewe juma likole msenge unaingilia ugomvi kwa sababu unapewe nguo dukani au kwa sababu ulimtafutia mario huyo paula ndo umtetee mwaume mzima kama mwanamke imekuhusu nini sasa wewe ukingilia na sisi tupo msenge wee nenda esma keshafukuzw

  • @VeronikaSaimon
    @VeronikaSaimon 7 หลายเดือนก่อน

    Kosa la paula liko wapi au unatafta kiki ili nyimbo yako itrendi wasanii wangapi wapo kwenye mahusiano alafu atujui kazi wanazo fanya kiki ww mwenzio katulia na mahusiano yake hana shobo na mtu malio mtete mpenz wako ww ndo wanaume tunao waitaji wa dizaini kama yako🙏💋

  • @mmhmedia8375
    @mmhmedia8375 7 หลายเดือนก่อน +1

    Wanaume wa dar🙌🙌🙌 Mikoani yaani hata uje udundwe mbele ya mwanaume wako anapiga kimya mambo ya kike yanakuwa hayamuhusu 😂😂😂😂

  • @anastaziamussa
    @anastaziamussa 7 หลายเดือนก่อน

    ❤❤❤❤🎉Paula wa moto sana

  • @VeronikaSaimon
    @VeronikaSaimon 7 หลายเดือนก่อน

    Timu paula tupo jaman

  • @susanwanyama1594
    @susanwanyama1594 7 หลายเดือนก่อน +1

    Team paula

  • @NeemaKihundwa
    @NeemaKihundwa 7 หลายเดือนก่อน

    Abby oyeeee

  • @NeemaKihundwa
    @NeemaKihundwa 7 หลายเดือนก่อน

    Abby oyeee❤

  • @mmhmedia8375
    @mmhmedia8375 7 หลายเดือนก่อน +1

    ❤❤