Sehemu ya 3: Kanisa Mwanga wa mataifa. Na Mwl Joseph Ludovick. Part I

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 16 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 3

  • @doctrina01
    @doctrina01  3 หลายเดือนก่อน +1

    Samahani watazamaji wetu, kuna makosa kadhaa wakati wa kunukuu, mara mbili badala ya kutaja injili ya Mathayo, nimetaja Yohane kimakosa lakini aya ni hizohizo.
    Pia kuna kosa dogo niliposema kuhusu ofisi tatu za kristo nimetumia ualimu na unabii kama jambo moja. Tunaahidi kuwa makini zaidi wakati ujao.
    Asante sana

    • @Jifunze1002
      @Jifunze1002 3 หลายเดือนก่อน

      Sawa kiongozi.
      Binafsi najifunza mengi sana kupitia wewe.
      Mungu azidi kukuimarisha.

  • @doctrina01
    @doctrina01  3 หลายเดือนก่อน

    Tunaomba radhi pia ubora wa video umekuwa unafifia wakati fulani.