Yani bunge miaka 5 hakuna chochote walicho pitisha tofauti na kubishana hovyo kwa Mambo ya sio ya umuimu , ongera Sana Raisi wetu maana hata bunge likikosekana nchi inaenda kwa ajiri yako mungu ni mwema 🙏 🙏 raisi upo juuuuu.
Kiukweli bunge in chombo na muhimili muhim sana katika kila nchi, lkn inashangaza na inasikitisha kuona binge tegemewa katika nchi linajadili mambo yakipuuzi, iv kangi lugola alistahili kweli kukalia icho kiti!!!! Kama ni kujipendekeza hii imekua too much, bora ata alitumbuliwa
Bunge Limekuwa Sehemu Ya Mipasho...Kuna Vitu Vingi Vya Msingi Vya Kujadili Wao Wanapigana Mipasho Wangejiunga Na Taarabu Tu
Madhambi ya mbona uyasemi we si ndio ulisaini mkataba mbovu ?
Kasikia Andengenye kasemehewa ndo nae kajitoatoa aonekane na utopolo wake jitu zima ovyo ili ndo maana ukatumbuliwa
Hahahah
Hawezi kusameeewa kamweeee
Bajeti sasa ivi inajadiliwa kwa kila anaesimama mjadala mbowe tu Bunge linatia aibu jamani
Yani bunge miaka 5 hakuna chochote walicho pitisha tofauti na kubishana hovyo kwa Mambo ya sio ya umuimu , ongera Sana Raisi wetu maana hata bunge likikosekana nchi inaenda kwa ajiri yako mungu ni mwema 🙏 🙏 raisi upo juuuuu.
Hatima ya huyu mzee cjui imeishia wapi?anajipendekeza
Kiukweli bunge in chombo na muhimili muhim sana katika kila nchi, lkn inashangaza na inasikitisha kuona binge tegemewa katika nchi linajadili mambo yakipuuzi, iv kangi lugola alistahili kweli kukalia icho kiti!!!! Kama ni kujipendekeza hii imekua too much, bora ata alitumbuliwa
Kazi ipi hapo
Msamaha umepita ndio maana misifa kama yote
Huyu kesi yake iliishia wapi. Daah TANZANIA nchi yangu
Mzee kangi umenichekeshaaa 😂😂
ukweli mzee usema hakuna aliye kamilika
anasifia ili asishtakiwe hahahaa
Ndiomaana ulitumbuliwa
Mtu unaweza kutafut sababu ya kwanini ccm inachukiwa na watu kum e wahuni tu kama hawa
ina haja gani ya kumtaja mbowe bungeni kila cku kuna vitu vingi kuzungumza
Anajitetea tu apo...... Si apihujumu uchumi uyo
Ivi na huyu kasamehewa ama maana siskii akienda mahakamani
Ivi bado upo kwenye uwazili
Anajipendekeza tu huyu
Jamani huko bungeni kunavituko awamu hii
Kuna mawazili pumba lakini huyu kazidi mana hana ata ubinadam mdawote anaongea ujinga
Bunge limekuwa la umbea baada ya kufanya kilicho wapereka
Bunge hili too much
Huyu nae kasemehewa hahhhahhaahaahaahha
Thief thief