Chaki Episode 14

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 12 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น • 81

  • @exaverydevis7273
    @exaverydevis7273 17 วันที่ผ่านมา +2

    Ongeza dakika kazi ni nzuri sana

  • @wanahawaShaban
    @wanahawaShaban 18 วันที่ผ่านมา +5

    Madebe mauwa Yako chukua unajua mpaka unajuwa Tena natamani walio wengi wakupe sikio wakusikilize vitu unavyo vifanya nivikubwa mno 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @harunMorgan
    @harunMorgan 15 วันที่ผ่านมา +2

    Kazi nzur mungu awabaliki ndio wasanii pekee mnaonyesha uhalisia wetu

  • @MussahMavambo73
    @MussahMavambo73 17 วันที่ผ่านมา +3

    Jamani madebe. Anajua sio poa

  • @MasauShida
    @MasauShida 15 วันที่ผ่านมา +2

    Kazi nzuri sana Mr. Madebe Lidai🇹🇿

  • @bafey3173
    @bafey3173 12 วันที่ผ่านมา +1

    MALI MEDIA ni elimu isiyoisha kujifinza 🎉🎉🎉

  • @AnipendaYeye
    @AnipendaYeye 17 วันที่ผ่านมา +2

    Madebe ana haki yake

  • @SanchezShedrack
    @SanchezShedrack 17 วันที่ผ่านมา +2

    Mda autosh kabsa

  • @SanchezShedrack
    @SanchezShedrack 17 วันที่ผ่านมา +2

    Madebe ongeza mda

  • @RahmaSuleiman-j8g
    @RahmaSuleiman-j8g 18 วันที่ผ่านมา +4

    Govi kasema kweli bwaa madebe yup njee ya chaki😅😅😅😅😅😅😅

  • @frankmwaikambo9784
    @frankmwaikambo9784 13 วันที่ผ่านมา +1

    Kazi ni nzuri sana ina mafunzo ya kutosha

  • @MussaRamadhani-q7v
    @MussaRamadhani-q7v 18 วันที่ผ่านมา +6

    chanuo aje kuna kaujumbe kake apaaa kulia mbele ya media ili tuone ulionewa 😂😂😂😂

  • @OmarHarith-g3t
    @OmarHarith-g3t 18 วันที่ผ่านมา +2

    Madebe dakika umepunguza sana kutoka dakika 24 hadi dakika 10 daahh 😂

  • @rashidiamani8645
    @rashidiamani8645 18 วันที่ผ่านมา +3

    Ngoja tuone watafanikiwa

  • @jerryjob1692
    @jerryjob1692 17 วันที่ผ่านมา +2

    Madebe mmh Video dk 10 😂😂 Sawa na NYIMBO MOJA ya Mwanangu Dizasta HMNA Sio powa

  • @TwahaDumbe
    @TwahaDumbe 18 วันที่ผ่านมา +4

    Ila ii tamsilia mnaiyonaje jamn man sio powa 🎉🎉🎉

  • @GeofreyMlungu
    @GeofreyMlungu 12 วันที่ผ่านมา +1

    Maali elfu Tano😂😂🤣🤣😁😁😃

  • @MOHAMEDYUSUPH-oq1th
    @MOHAMEDYUSUPH-oq1th 17 วันที่ผ่านมา +2

    Madebe badilisha msuli bwana Kila cku uwouwo

  • @yuzarceefadanquraeesh816
    @yuzarceefadanquraeesh816 18 วันที่ผ่านมา +2

    From Mombasa tena😊

  • @emmanuelsikuku7933
    @emmanuelsikuku7933 18 วันที่ผ่านมา +6

    Huyu Madebe Ni Zaidi ya Mwalimu Basi yeye Ni Muhadhiri Wa Tamthilia Na riwaya

  • @abdul-hamidali6534
    @abdul-hamidali6534 18 วันที่ผ่านมา +9

    Nataka nishangae crismax tusipewe zawadi ya epsode

    • @MusaFalenzi
      @MusaFalenzi 18 วันที่ผ่านมา

      Kwel ety

  • @AishaKhatibu-d5e
    @AishaKhatibu-d5e 18 วันที่ผ่านมา +2

    Asant mwalim walim ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @RodgersOmondi-g8u
    @RodgersOmondi-g8u 17 วันที่ผ่านมา +2

    Madebe kazi safi sana chaki

  • @ADAMU09998
    @ADAMU09998 18 วันที่ผ่านมา +3

    Madebe lidai épisode zipo na dakika fupi sana

  • @shannarsaidSwahili
    @shannarsaidSwahili 18 วันที่ผ่านมา +1

    Madebe ni mtu mwenye elimu kubwa saana

  • @mwajumasaid7306
    @mwajumasaid7306 18 วันที่ผ่านมา +1

    💯💯💯💯💯💯hii move inatufunza

  • @edisonkimaro4792
    @edisonkimaro4792 18 วันที่ผ่านมา +2

    Kupost dkk 10 ni bora uspost tu

  • @JumaKavula-u5e
    @JumaKavula-u5e 18 วันที่ผ่านมา

    Duh, pole kwa wakati mgum unaoupitia bro madebe.

  • @NyawaMtula
    @NyawaMtula 18 วันที่ผ่านมา

    Kazi nzuri brother

  • @engayoubkpenya6373
    @engayoubkpenya6373 18 วันที่ผ่านมา

    Umezingua sana yaaan dk 10 daaa hii sioo madebee

  • @IdrissaMukhtar
    @IdrissaMukhtar 18 วันที่ผ่านมา

    Nakubali kbs

  • @HamadiShabani-j7n
    @HamadiShabani-j7n 18 วันที่ผ่านมา

    MTAM Kawa MTAM kweli

  • @SadaHamis-ry1fm
    @SadaHamis-ry1fm 18 วันที่ผ่านมา

    Govi nimpumbavu sana🤣🤣🤣🤣

  • @deemandroid
    @deemandroid 18 วันที่ผ่านมา +1

    Napata vingi sana katika filamu za madebe, siwezi kukubali filamu yako yoyote inipite . Almost karibia zote nimemaliza

  • @mustaphasaidy7505
    @mustaphasaidy7505 18 วันที่ผ่านมา +2

    Wakwaza

  • @SamirThabit-pt5mx
    @SamirThabit-pt5mx 8 วันที่ผ่านมา

    Good job

  • @consolateurmgeni6772
    @consolateurmgeni6772 15 วันที่ผ่านมา

    Mubembe to thé wold🎉

  • @IsayaLaison
    @IsayaLaison 18 วันที่ผ่านมา

    Ila madebe

  • @mohamediomari9240
    @mohamediomari9240 18 วันที่ผ่านมา

    Ongera kaka mm nimekuwa wakwanza

  • @hellenConstantine-gx7vy
    @hellenConstantine-gx7vy 18 วันที่ผ่านมา +1

    Madebe naangalia kutoka omani naomba nikusahushe. P2 haitoi mimba

    • @exaverydevis7273
      @exaverydevis7273 17 วันที่ผ่านมา

      P2 inatoa mimba kwasababu mimba inatungwa mara baada ya tendo kufanyika

  • @ZarafiBandali
    @ZarafiBandali 18 วันที่ผ่านมา +1

    Dah wanymbna kaz zako zipo saaf saana naenjoy saana unanifunza mengi saana kupitia hiz hadith zako ungetupa hii chaki hata vipande vitano vya Christmas na mwaka mpya

    • @rukingamaboar802
      @rukingamaboar802 17 วันที่ผ่านมา

      Kwani aujui kua Madebe ni Muislam iyo Xmas ya nini tena

  • @mustamimmushajara8992
    @mustamimmushajara8992 18 วันที่ผ่านมา

    Leo wa kwnza❤❤

  • @MayasaZamea
    @MayasaZamea 18 วันที่ผ่านมา

    Safi

  • @Juma-qd5eq
    @Juma-qd5eq 18 วันที่ผ่านมา +1

    Watu wa kudumu ni mama ako mzaz na mwanao na mwanao atakuw wa kudumu endapo mama ake amekufa !!😢😅

  • @salummwakalinga4330
    @salummwakalinga4330 18 วันที่ผ่านมา

    Leo mm wa kwanza

  • @LupinajosephMatimba-pw7hw
    @LupinajosephMatimba-pw7hw 18 วันที่ผ่านมา +1

    Merry Xmas ❤❤❤❤🎉🎉🎉mungu atulinde😊

  • @AlexKasena-d9p
    @AlexKasena-d9p 18 วันที่ผ่านมา

    Dakika n chache sana jamani

  • @MOHAMEDYUSUPH-oq1th
    @MOHAMEDYUSUPH-oq1th 17 วันที่ผ่านมา

    Madebe unazngua kijipande kidogo acha izo

  • @MnambengaJr
    @MnambengaJr 18 วันที่ผ่านมา

    Leo wa kwaza kutoka 🇲🇿🇲🇿🇲🇿

  • @فاطمهفاطمه-ش2ز9ج
    @فاطمهفاطمه-ش2ز9ج 18 วันที่ผ่านมา +1

    😂😂😂nan kapika ugal mbichi mbn govi ugali umemnasia vidoleni.!??

  • @Marim-c6k
    @Marim-c6k 18 วันที่ผ่านมา

    Jamani yani tuliomba kuongezwa dakika mkaamuwa kupunguza kabisaaa kutoka 15hadi 10😢😢😢😢mmmhhhmm

  • @ameali5606
    @ameali5606 18 วันที่ผ่านมา

    Mood ya mwazo ya samak imerud saiv😂

  • @SultanAlshekaili-q8f
    @SultanAlshekaili-q8f 18 วันที่ผ่านมา

    Safi sana

  • @Shukurumakokola
    @Shukurumakokola 16 วันที่ผ่านมา

    Madebe wzadi wa tamthilia

  • @allysangara8711
    @allysangara8711 18 วันที่ผ่านมา

    Inaendelea

  • @EdwinNyambi-k6j
    @EdwinNyambi-k6j 15 วันที่ผ่านมา

    Kak ongera San

  • @Mrpasakaonline70
    @Mrpasakaonline70 18 วันที่ผ่านมา

    Christmas njema wapendwa

  • @rashidgona1808
    @rashidgona1808 18 วันที่ผ่านมา

    Hawa wazaz wa mtamu hawana akili kabisa mtu azini Halafu wasimame na yeye kumtetea

  • @Muab-Football
    @Muab-Football 18 วันที่ผ่านมา

    Tunatk n mwendelez w nguru mzee

  • @saulimaliaki-j1j
    @saulimaliaki-j1j 18 วันที่ผ่านมา

    taratub kesho matatulete dakika tano ikiwa mnakazi nyingi embu jaribuni kuachia lisaa pat 1 lisaa pat 2 maleta kazi ingine maana mmmh sio kwa dadika kumi matapungua hamu ya kuwafatilia

    • @SaleheSalehe-p8e
      @SaleheSalehe-p8e 18 วันที่ผ่านมา

      Daaah Hii movies ukiwa nayo makin inakufunza ming tusitizame picha Bali tusikilize yanayo semwa

  • @anzurunindume
    @anzurunindume 18 วันที่ผ่านมา

    Tupo mpaka mwisho

  • @Nchoji_Tz
    @Nchoji_Tz 16 วันที่ผ่านมา

    Uwe unatoa vipande vi 3 kwa Viki kaka

  • @swalehemwemeke6755
    @swalehemwemeke6755 18 วันที่ผ่านมา

    Movie nzuri lkn muda mfupi

  • @issasingano1546
    @issasingano1546 18 วันที่ผ่านมา

    Madebe ongeza dakika sasa hii umeweka dakika 10..

  • @MayasaZamea
    @MayasaZamea 18 วันที่ผ่านมา

    Gud

  • @mustamimmushajara8992
    @mustamimmushajara8992 18 วันที่ผ่านมา

    Mbn mnaleta dakika kidg

  • @RashidiSaidi-z4t
    @RashidiSaidi-z4t 18 วันที่ผ่านมา

    kuna umuhimu wawanaume wakukaa faragha

  • @AishMpika
    @AishMpika 18 วันที่ผ่านมา +1

    Kila muda nafwatiria kila episode

  • @Shiva-wo8yh
    @Shiva-wo8yh 18 วันที่ผ่านมา

    Merry Xmas 🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @benpaty
    @benpaty 18 วันที่ผ่านมา

    wakwanza

  • @MASHAURIGODFREY
    @MASHAURIGODFREY 18 วันที่ผ่านมา

    ❤❤❤

  • @farajatewele205
    @farajatewele205 18 วันที่ผ่านมา

    right now🧷🙏

  • @MomadeMudimoz70-cs2ud
    @MomadeMudimoz70-cs2ud 18 วันที่ผ่านมา

    🙏🙏🙏🙏💖💖💖💖

  • @abdoulkarim7123
    @abdoulkarim7123 18 วันที่ผ่านมา

    Plz ongezeni dakika munatunyimaraha

  • @MOHAMEDYUSUPH-oq1th
    @MOHAMEDYUSUPH-oq1th 17 วันที่ผ่านมา

    Madebe hii story y kwl au umeitunga?

  • @JacklineMhina
    @JacklineMhina 18 วันที่ผ่านมา

    Madebe kwel 10 dkk?

  • @AsmaAsma-og6ul
    @AsmaAsma-og6ul 18 วันที่ผ่านมา

    ❤❤❤❤❤❤