TEARS | EPSODE 5

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 20 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น • 42

  • @malichanda3146
    @malichanda3146 หลายเดือนก่อน +11

    Dada hajra uko serious hadi unaniliza ❤❤❤❤❤ hongera uko vizuri sana kwenye kazi

  • @AminaUjumbe
    @AminaUjumbe หลายเดือนก่อน +2

    Hajira kama jina la Mdog Wangu nime penda kazi yako hajira upande wako una fanya vizuri sana mashaallaah

  • @estherchoni-yq6dr
    @estherchoni-yq6dr หลายเดือนก่อน +2

    Ikifika part ya hajra inaniliza sanaa😢😢❤❤🎉

  • @JescaMarykarisa
    @JescaMarykarisa หลายเดือนก่อน +2

    Pole sana kwa unayo pitiya hajra

  • @estherchoni-yq6dr
    @estherchoni-yq6dr หลายเดือนก่อน +2

    Kapela mwanamke hapigwe😢😢utakuja mkumbuka hajra wewe Wanda anakuchezea tuu😂😂❤❤❤🎉

  • @estherchoni-yq6dr
    @estherchoni-yq6dr หลายเดือนก่อน +2

    Kapela wadanganywa wewee kitakuramba hayaa 😢usiseme sikukwambia mim naangalia tuu😂😂❤🎉🎉

  • @fatumajuma9388
    @fatumajuma9388 หลายเดือนก่อน +5

    Uyu mam mkwe namchukia ingekuwa mm ndo hajra angenikoma uyu 😢😢Ila much love team kapela from 🇰🇪❤️

  • @SophiaAlifa
    @SophiaAlifa หลายเดือนก่อน +2

    Ajira unaujua kucheza sana😢😢😢😢😢

  • @Khajra-r1u
    @Khajra-r1u หลายเดือนก่อน +3

    Kazi nzuri ❤❤nawapenda timu nzimaa

  • @NtacobanzizaLeatitiazilfa
    @NtacobanzizaLeatitiazilfa หลายเดือนก่อน +2

    Yani hajra Anacheza Nahisia Sana Hadi na Muchukia kapela kwakutelekeza watoto

  • @رحيمهايباد
    @رحيمهايباد หลายเดือนก่อน +2

    Family ya hivi ipo. Nyingi sana . Ila zamani ila kwasasa. Subutu. Kwanza uyo kapela nimpatemm. Ataomba poo😂😂😂😂😂😂.. Kisha ukija uyo mama mkwe. Hahaha ah.. Atachekea choon. Naona

  • @BonheurFilah-g3i
    @BonheurFilah-g3i หลายเดือนก่อน +2

    Hongera sana Kaka by nvc official tv

  • @ZoyaAli-qy3tg
    @ZoyaAli-qy3tg หลายเดือนก่อน +4

    Kapela una Pendwa jamani bac pendeka usimtese hajra wetu ❤❤🎉😅

  • @clarakadzo1575
    @clarakadzo1575 หลายเดือนก่อน +2

    One love brother from Kenya 🇰🇪 🎉❤upo vizuri🎉

  • @ChafiJogoboy-f8f
    @ChafiJogoboy-f8f หลายเดือนก่อน +1

    Kazi nzurii sana

  • @clarakadzo1575
    @clarakadzo1575 หลายเดือนก่อน +2

    Mama mkwe wa ovyo kbisa 😂😂😂ningempata mm uyu😂😂🎉angefurahii mbona🎉😂😂

  • @BrendaMogambi
    @BrendaMogambi หลายเดือนก่อน +3

    Kapela 😂😂😂ww ni mnoma sana

  • @ZZawadi-s5v
    @ZZawadi-s5v หลายเดือนก่อน +2

    Hajra pole sana yote ni mapito ya dunia

  • @machozimukucha
    @machozimukucha หลายเดือนก่อน +3

    ILA kapela jamani

  • @omarbosiomar8608
    @omarbosiomar8608 หลายเดือนก่อน +3

    kapela bana waangalie wanao

  • @Okanatz-01
    @Okanatz-01 หลายเดือนก่อน +4

    Bomboclats😂😂

  • @TheReporter-A47
    @TheReporter-A47 หลายเดือนก่อน +3

    Si mchezo hii tamthilia kongole sana

  • @selemanhamoud5239
    @selemanhamoud5239 หลายเดือนก่อน +2

    Kazi nzur kapela

  • @mchinaVEVO1
    @mchinaVEVO1 หลายเดือนก่อน +2

    Kaz iendelee

  • @Sharifaliuma-gb3vt
    @Sharifaliuma-gb3vt หลายเดือนก่อน +2

    Wewe ajira akili una uwezi kunganganiya sehemu kamaiyo unafaidanayo gani kamampo wanawake munaopitia aya na mumeka tu kuteseka kisa watoto Mungu awape akili

  • @MaryamKjor3
    @MaryamKjor3 หลายเดือนก่อน +3

    Pole mama mazongo yamekukuta ❤❤❤❤❤❤

  • @ZulfaJuma-z6s
    @ZulfaJuma-z6s หลายเดือนก่อน +2

    Nawapenda ❤❤❤❤

  • @MwanalimaMwalimu-c4m
    @MwanalimaMwalimu-c4m หลายเดือนก่อน +2

    Wanda wewe huna huruma ila nawapenda sana 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇸🇦🇸🇦🇸🇦🎉🎉❤❤

  • @rahemh1234
    @rahemh1234 หลายเดือนก่อน +2

    Kapela kapela huyo anaye kupa kiburi naye ni muke wamtu 😮😮 kitakuramba

  • @BrekEdha
    @BrekEdha หลายเดือนก่อน +3

    Huyo mama mume hapo mumefeli hafai hata bure

  • @Makukamohamedi
    @Makukamohamedi หลายเดือนก่อน +3

    Movie yenye funzo kubwa

  • @beatricenjau-ps9qi
    @beatricenjau-ps9qi หลายเดือนก่อน +4

    One love my brother❤

  • @MWANAISHAMTENGO
    @MWANAISHAMTENGO หลายเดือนก่อน +2

    Naala buu

  • @raymondimboywa9698
    @raymondimboywa9698 หลายเดือนก่อน +3

    Apana hii movie unalia sana na hutaki kuwachika 😂😂😂😂

  • @DILAXOG
    @DILAXOG หลายเดือนก่อน +2

    Shaba juu

  • @tigejuma9865
    @tigejuma9865 หลายเดือนก่อน +2

    Huyu jamaa atakuja juta very soon ata sio mbali....unatelekeza mkeo na watoto wako hawaendi shule juu ya uzembe wako.....majuto n mjukuu...kule kwa kimada sio mbali mungu atamuumbua na atajuta....huna pesa uzembe wa nini..!? 😢😢😢

  • @SeverinKindole
    @SeverinKindole หลายเดือนก่อน +2

    💯🤜🤛

  • @GHgh-hq3zj
    @GHgh-hq3zj หลายเดือนก่อน +2

    ❤❤❤❤

  • @BalethMedia
    @BalethMedia หลายเดือนก่อน +2

    💥💥💥💥🔥🔥

  • @ftoom3612
    @ftoom3612 หลายเดือนก่อน +3

    😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭

  • @Brendah-i6f
    @Brendah-i6f หลายเดือนก่อน +3

    𝐾𝑎𝑝𝑒𝑙𝑎, 𝑘𝑎𝑝𝑒𝑙𝑎 𝑘𝑎𝑝𝑒𝑙𝑎 𝑐ℎ𝑎𝑝𝑎 𝑦𝑒𝑦𝑒,, ℎ𝑖𝑦𝑜 𝑘𝑖𝑡𝑢 𝑖𝑘𝑢𝑡𝑜𝑘𝑒,😂😂😂

    • @rahemh1234
      @rahemh1234 หลายเดือนก่อน

      🤨🤨🤨🤨🤨🤨