Wewe shekhe kipozeo na wewe afande hamadi mbona hamjazungumzia kuhusu mavazi ya nusu uchi mavazi ya uchi wanaovaa mama zetu Dada zetu mabinti zetu wasichana wetu na wake zetu mna habari ya kwamba kwa sasa hivi baadhi ya maeneo ya Pemba wanawake na wasichana wanatembea uchi
Mashallah.afande.wetu.kutoka.pemba
Manshallah Manshallah afande iko vizuri Allah azidi kumuongeza madaraka na amupe umri mrefu
Mashallah afande hamad
Big up Afande Hamad & Sheikh Kipozeo ❤
MaaShaa Allah,, Allah akulipen kher
Nakupongeza sana kwa kufundisha maadili ya Wa Tanzania kwa ujumla
Afande Hamad hongera sanakwa kuliwakilisha jeshi la polisi Mkoa wa kusini Pemba kutoka wilaya ya Mkoani
Hamadi hayupo wilaya yamkoani .hamadi yupo chake chake kwass.
Afande hamad on fire ,yupo sawa
Masha'allah sheikh police 🚔 Masha'allah sheikh kipoozeo
Mashallah 🎉
Afandi hamad anaiwakilisha sna Pemba
Duu pacha wake washee nyundo huyo😂😂😂😂
Kwel
Kipozeo mjuzi wa kisuwahili nahapo mtu asojua kiswahili haambulii kitu
Hhhhh nyundo mtupu😂😂😂😂😂😂
Wewe shekhe kipozeo na wewe afande hamadi mbona hamjazungumzia kuhusu mavazi ya nusu uchi mavazi ya uchi wanaovaa mama zetu Dada zetu mabinti zetu wasichana wetu na wake zetu mna habari ya kwamba kwa sasa hivi baadhi ya maeneo ya Pemba wanawake na wasichana wanatembea uchi
Pemba ipi wanatembea uchi
Sasa mama na dada mpaka wanatoka nyumbani na nusu uchi nanyi mnawaangalia tu mnasubiri afande na sheikh kipoozeo waje umu TH-cam wakemee kweli?
Afande wewe ni kuigwa mfano maana kazi ya wazazi na masheikh lkn wanakaa kugombana kwa ujinga wao
Abdl azizi kwani mama yako anavaa nguo kufupi hiyo kazi ya baba yako sio yakipozeo peke yake
😅