Lilian James-Hakuna wa Kufanana( lyrics video )

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 12 ก.ย. 2024
  • Hakuna wa Kufanana lyrics
    Ee Bwana wewe nimekuja kusema wowowowo wowowowowo. Hakuna wa kufanana nawe Bwana wangu : Hakuna ( Baba) Hakuna kama wewe. ( Nimetembea simwona kama wewe Bwana aaa ) Hakuna Hakuna kama wewe. ( Unainua wanyonge toka chini Bwana) Hakuna Hakuna kama wewe.( Eei, matendo Yako yanatisha eee) Hakuna Hakuna kama wewe ( Ninakiri nakusema hakuna kama wewe) Hakuna Hakuna kama wewe. Niseme nani wakulinganisha na wewe Mungu wangu.Paulo na Sila gerezani walisema ni wewe Mungu, Daniel akiwa tunduni mwa Simba alisema ni wewe Mungu , Shedrack Meshack Abednego walisema hakuna mwingine wa kuabudiwa ila wewe Mungu wangu ,tunasema ni wewe Bwana. Wachawi wanatambua hakuna wa kufananishwa na wewe.Wakuria tunajua, Hakuna wakulinganisha na wewe, Wakikuyu, Wajaluo, Wakamba tunasema hakuna kama wewe Bwana. Wote tunasema hakuna kama wewe,kama wewe Bwana, Hakuna kama wewe wowowowo.Unayetengeneza njia ,hakuna kama wewe.Unayejibu maombi ya watu wako hivi ni nani kama wewe . Hakika Mungu sijui niseme Nini, Hakuna kama wewe Bwana,Unashangaza Mungu wangu Wacha niseme unaweeza,unaweeza Bwana aaa hapatakuwepo kama wewe wewe.( Hakuna wa kufanana nawe Bwana wangu ) Hakuna ( ee Baba) Hakuna kama wewe. (Nimetembea sijamuona kama wewe Bwana) Hakuna Hakuna kama wewe. ( Unainua wanyonge toka chini Bwana eee ) Hakuna Hakuna kama wewe.( Matendo Yako yanatisha baba eee) Hakuna (Hakuna ee) Hakuna kama wewe.( Ninakiri nakusema hakuna kama wewe) Hakuna Hakuna kama wewe.( Hakuna wa kufanana na wewe Bwana) Hakuna (oh uooo) Hakuna Hakuna kama wewe.(Hakuna wakulinganisha nawe Bwana) Hakuna ( bwana aaa) Hakuna kama wewe.( Wewe uliyetetemesha milima) Hakuna (hakunaa) Hakuna kama wewe.(Hakuna Hakuna kama wewe) Hakuna ( Hakuna Bwana wangu) Hakuna kama wewe ( Mikono yangu nainua nikasemaaaa) Hakuna (ee baba aaa ) Hakuna kama wewe.(Tazama unavyopendeza) Hakuna ( wewe ni mwema ) Hakuna kama (Hakuna Hakuna kama wewe Bwana) Hakuna ( wowowo) Hakuna kama wewe.( Duniani kote tunasemaaaaaa) Hakuna Hakuna kama wewe ( eeiii) Ni wewe Bwana hmmmm unayenijua ,sina mwingine zaidi yako ila wewe Bwana.(Ni weeewe) Ni wewe Bwana unayenijua sina mwingine zaidi yako ila wewe Bwana. Kimbilio la moyo wangu,ni wewe Bwana,msaada wa maisha yangu ni weeweee, unayenijua na moyo wangu ni weeewe.Najitoa kwako Bwana,nakuja mbele zako kusema , haufananishwi ,haulinganishwi ni wewe mwema aaa ooh , haufananishwi haulinganishwi ni wewe Bwana eiye. Ni wewe Bwana ( ni weewee) unayenijua (sina mwingine eiyeye) Sina mwingine zaidi yako ( hmmm) Ila wewe Bwana.( Ni weeweee) Ni wewe Bwana ( unayejua maisha) unayenijua (unayejua moyo wangu) Sina mwingine zaidi yako (Sina mwingine ila wewe )ila wewe Bwana ( Sina mwingine ila wewe Bwana) Ni wewe Bwana (sina mwingine ila wewe) unayenijua ( unayenijuaaaaaa) Sina mwingine zaidi yako (ni weeweee)ila wewe Bwana ( eee eeee) Ni wewe Bwana ( halleluyah ) unayenijua (ni wewe Bwana) Sina mwingine zaidi yako (nikumbuke nani ) ila wewe Bwana ( ouwowowo)

ความคิดเห็น • 26

  • @eliassmangwengwe-uo5fw
    @eliassmangwengwe-uo5fw 3 หลายเดือนก่อน +1

    From the bottom of my heart sister this just made my day. God bless you....

  • @SalomeJelagat-ik1lb
    @SalomeJelagat-ik1lb 3 หลายเดือนก่อน +1

    What a great song,keep it up my sister n God bless you.

  • @jacklinemureithi9737
    @jacklinemureithi9737 2 หลายเดือนก่อน

    We heal in such songs...tgis song reminds me of people who were around our parents walipokufa walituachilia tukateseka yaani hata wacha tu....today ss ndio tunawasaidia😢

  • @BenedittaEgesa
    @BenedittaEgesa 3 หลายเดือนก่อน +1

    WOW,, very powerful worship 🙌🙌🙌,, keep going my mentor ❤️💖🫶🔥🔥🔥

  • @FaithCherotich-f1b
    @FaithCherotich-f1b 2 หลายเดือนก่อน

    More powerful 🙏🙏

  • @user-ms1du2bv4p
    @user-ms1du2bv4p 3 หลายเดือนก่อน

    Gorgeous mum.God Bless u So Much.Much❤❤❤❤
    ❤❤❤❤❤❤❤❤.May D Almighty God Expand Your Ministry Amen 🙏

  • @Calvincewise
    @Calvincewise 3 หลายเดือนก่อน

    Powerful sister

  • @josephmiringu9559
    @josephmiringu9559 3 หลายเดือนก่อน

    Yesu kweri ndiye kimbilio wa wote, azidi kukuzingila na damu yake dada yetu

  • @user-gk2wd9to7h
    @user-gk2wd9to7h 3 หลายเดือนก่อน

    More powerful

  • @FauziaMuhammad-yt7to
    @FauziaMuhammad-yt7to 3 หลายเดือนก่อน

    Powerful

  • @eliasSikuku
    @eliasSikuku 3 หลายเดือนก่อน

    Great one🎉🎉❤

  • @ArubinaChimuli
    @ArubinaChimuli 3 หลายเดือนก่อน

    GOD BLESS YOU MUMMY NYIMBOZAKO..NAKIPAWA.😭😭🧎‍♀️🧎‍♀️✝️✝️🙏🙏🙏🙏

  • @Victoria-bv6xu
    @Victoria-bv6xu 3 หลายเดือนก่อน

    God bless you 😍💞

  • @meshmusyoka6449
    @meshmusyoka6449 3 หลายเดือนก่อน

    Hakuna na hayuko

  • @SophieOwaabhochacha
    @SophieOwaabhochacha 3 หลายเดือนก่อน

    Beautiful ❣️

  • @alicemwikali9299
    @alicemwikali9299 3 หลายเดือนก่อน +1

    More powerful 🙏🙏

  • @alicemwikali9299
    @alicemwikali9299 3 หลายเดือนก่อน

    More powerful 🙏🙏