Thank you presenter Kai,,, kama sio wewe cngejua kama Kuna Lilian James🙏 Mungu akukumbuke dada🙏 atleast nyimbo zako zimetutia nguvu sisi ambao tuko saudia😢
Ujumbe mzuri. Ni kweli Mungu atatenda. Hata kama inaweza kuchukuwa Muda, najua atatenda. Amefanya hapo awali na mara nyingi e tena , Atatenda. Haleluhya!!!! Mungu akubariki kwa ujumbe mzuri.
Best song I've ever listened to..you are going far,the bible says in Joshua 1:9 9 Have I not commanded you? Be strong and courageous. Do not be afraid; do not be discouraged, for the LORD your God will be with you wherever you go.be blessed
Mungu akufungulie maono my sister good job
Thank you presenter Kai,,, kama sio wewe cngejua kama Kuna Lilian James🙏 Mungu akukumbuke dada🙏 atleast nyimbo zako zimetutia nguvu sisi ambao tuko saudia😢
Amen 🙌🙌🙌.. Shukrani Sana Sister 🙏🙏..be blessed
❤❤same here .just an amazing voice. Saw from presenter kai
and she is authentic with an angelic voice. May God extend her territories
Me to navile ako na touching songs
God is great
Amen,,always inlove in your songs,,,May God reign upon you
Amen 🙏🙏
Atatenda ipo siku naamini , Asante sana dada juu huu mwimbo unnitia moyo.
Ahadi zake ni za kweli asante Sana dadangu uwo wimbo umenigusa sana IPO Sikh atatenda
Amen.Mungu Atatenda 🙏🙏
Wenye tumetoka tiktok kujeni polepole msinikanyage more grace lilian james nyimbo zako ni manukato mbele za mungu.
Glory glory 🙏💪🙏... thank you so much 🙏🙏🙏🙏
Ahadi zake ni za kweli na Amina na kweli🙏🙏🙏🙏🙏🙌🏻🙌🏻🙌🏻atatenda bwana kwangu🙏🙏🙏
Amen lilian james acha Mungu huyo akusaidie kwa huduma hii unafanya barikiwa sana
Asante
Hallelujah 🙏🙌🙌🙌🙌🙌 mwaka wakuinuliwa Tena 🇰🇪
Amen
Barikiwa kaka
More grace mum,,,may God grant you more,,,keep moving on❤️❤️🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Amen
Atatenda.Ameen keep serving mrembo
Thank you
Great job congrats muziki bila jasho
Thank you
Nyimbo zenye upako zinatia nguvu hata kama umekata tamaa zinaimarisha tena ubalikiwe mno dada liliani
Amen asante Sana and may you be blessed too.
@@lilianjames7537 amen
Ujumbe mzuri. Ni kweli Mungu atatenda. Hata kama inaweza kuchukuwa Muda, najua atatenda. Amefanya hapo awali na mara nyingi e tena , Atatenda. Haleluhya!!!!
Mungu akubariki kwa ujumbe mzuri.
Asante
Woow good work sister lilian,kweli ni habari njema.
Thank you
Best song I've ever listened to..you are going far,the bible says in Joshua 1:9
9 Have I not commanded you? Be strong and courageous. Do not be afraid; do not be discouraged, for the LORD your God will be with you wherever you go.be blessed
Amen.
Asante Sana🙏
Huyu mdada yuko vzr nimemsikia leo kupitia tik tok anatisha
Hello hello... Lilian
Atatenda kweli ,usifiwe yesu kristo milele
Amen
Wimbo poa 👍 dada yetu
Direct follow from presenta kai....thanks presenta kai...❤❤❤❤❤❤
Shukrani Sana
My dear sister cant get enough of listening to your song ... They really bless me 🙏🙏
Thank you so much
Good job. Keep On keeping on n going
Awesome !awesome!So blessed. keep moving sister,More anointing and grace.
Thanks very much
Presenter kai, thanks for introducing lilian, this uplifting music❤❤❤❤❤
Hongera mungu akuinue juu kwani Mimi npat faraja napockiliza nymbo zako barikiwa Sana
Hongera sana Mungu akuinue zaidi
Asante
Amina , Ubarikiwe
Asante 🙏
Kweli ni habari njema. 👏👏 Good job
Great. Keep on pressing you are going to greater heights
Mungu Akutendee mema na akutie nguvu Umtumikie kwa moyo mkunjufu..IN THE NAME OF JESUS CHRIST YOU WILL MAKE IT..
Ameen.Asante
Nyimbo zako ni za baraka barikiwa
Wow congrats my classmate,,.nimebarikiwa sana,,I wish prosperity as you serve God
Amen thank you 🙏🙏
Woow ,,good work
Wow owesome love your voice next me and you💞💞💓
Thank you
Wow, Ameen naamini atatenda,
Amen . Asante 🙏🙏
God bless you presenter Kai kama sio wewe 😁😁😁 ubarikiwe sana
Amen
Mungu akure batikiwe
Kudos musubhati enokwi akutangulie
Amen
Lilian James nimekutambua kupitia Presenter Kai walai nyimbo zako nimezipenda ubarikiwe
Asante sana
Wow uko na sauti dada.ubarikiwe
Asante sana
@@lilianjames7537 👏👏👏
Nice Song dear keep it up.
Thank you 🙏🙏
Amina. Kutana na mahitaji ya watu wako Baba.
Wape amani wakungojao Tumiza ahadi zako kwao baba.
"Hata kwangu iko siku atatenda" naamini.
Amen.Amen keep trusting God will do it for you.
Wau ...mbona nilkuwa namiss kitu poa ...your songs are mmmwaaah... congrats 🎉🎉🎉may God bless you 🙏
Amen 🙏🙏
God bless you madam 💝💞
Nice song Lilian
Asante sana 🙏
Nice song mum keep it up
Thank you 🙏🙏
Congrats my sister, powerful message God bless you
Thank you
I love your voice 💖💖💖💖
Thank you so much Sister 🙏
Big up for the nice song,more favour
Thank you
Finally titkitok brought me here...am blessed indeed by this song 🎵🎵🎵 🙏🙏🙏🙏
🙏🙏
Kweli kunao wanebaki wa kuabundu mungu Lilian james u are one of them ❤❤❤❤❤❤
Amen 🙌🙌... asante Sana sister
Aminaaa kweli atatenda kwangu
Lovely,, touching song,, Lilly❤❤
🙏🙏
Sister lilian good work
Thank you
❤❤❤❤❤❤ the vocal is just waow you are blessed mommy love your songs
Thank you so much 🙏
Good work friend
Thank you
Nice song❤❤❤keep moving
Amen thank you 🙌
Congulations my daughter Lilian God bless you so much
Thank you
Wooow ur blessed gal,💪
Asante sana 🙏🙏
Amen 👏 🙏 👏 hakuna wakupinga be blessed dada nyimbo zako tamu
Asante
Moharekwa this is great let God increase you
Thank you
Nyimbo nzuri kweli,,
Amen 🙏🙏
Nice song💪💪💪💪💪
Thank you so much sister 🙏❤️
Amen,nimebarikiwa sana na nyimbo zako lilian
Asante
Woow great song with a powerful massage ❤❤
Amen 🙏
Nice song keep going in Jesus name
Amen 🙏
Great job dear ,keep it up 😘🥰🥳🎊🎉
Thank you
💥💥
Thank you
Gold voice🎉your a blessing to many souls 🙏🔥May God keep and hide you for more generations to come 🔥🔥🎉🥳🥳
Amen 🙏
Powerful.press on
Thank you 🙏
Tuweke kambi hapa tusupport dada yetu Lilian she has a great voice en message as well ❤😊
Thank you so much Sister 🙏🙏❤
Congratulations girl keep going more blessings.
Thank you
From🇿🇼🇿🇼🇿🇼we love your music... Be blessed sister ❤️
Thank you so much
Wow 😍😍😍 thank you Lilian James. Blessings upon blessings
Amen.Thank you so much dear 🙏🙏
Mungu.nimwema
Lilian james, nimekufahamu kupitia huyu mtu anaitwa presenter kai, hakika Mungu anae njia nyingi sana za kumfahamisha mtu kwa wengi
Amen
You made me to turn back to God😢😢😢😢
Glory to God 🙌🙌🙏.Be blessed Sister and God will do a new thing in your life
Amen, God never fail🙏🏾🙏🏾
barikiwa sana hadi ushangae
Amen 🙌
Asante Sana 🙏
Barikiwe sana mama
Amen 🙏🙏
I remember when you used to praise back in high school and God has blessed you with a great talent use it well and be blessed
Amen.Thank you
Congratulations are in order,,great work classmate keep spreading the gospel am so touched with this song 😘😘
True
Nice song atatenda kwako pia
Amen asante 🙏
Huu wimbo unanibariki sana ubarikiwe sana mtumishi
Amen 🙏
❤GOD bless u
Amazing voice keeps on to serve God
🙏
Barikiwa dada yangu mungu amufikishe mbali
Amen
Blessing song,,, atatenda weema wake,,, 🙏🙏🔥🔥
Amen 🙌🙌
@@lilianjames7537 🔥🔥
Congrats Lilian ..more blessings
Thank you
Great job may God continue annointing you more just subscribed
Thank you
Awesome. Keep soaring higher like an eagle.. a nice song
Thank you
Mungu akubariki sana dada kwa nyimbo zinazotufariji mioyo
Amen 🙌🙌🙌🙏🙏🙏
Awesome siz
Thanks brother 🙏
Wow! Keep going sissy..
Thank you
I rely needed to listen to this tune. God above all, akiahidi kwa kweli anatenda.
Amen 🙌🙌🙌🙏🙏
Wow I love the message in this song, watched you sing at happy church kehancha. Ulinubariki sana
Asante sana barikiwa 🙏
Mungu akubariki sana mtumishi wa Mungu unaimba vizuri sana na ujumbe mzuri wa Mungu na pia Mungu ambariki presenter kai maana nimekujua kupitia kwakwe
Amen 🙌🙌 asante sana🙏🙏
uko sawa dada mungu akutie nguvu leo n hata milele
Amen 🙏🙏
Good work siz..... keep going am praying for you
Thanks bro
Mungu azidi kukubariki na nyimbo za kumsifu kumabudu na kumuinua
Amen 🙏🙏