KIKAO CHA RCC CHAMUIBUA MHE. PROF. PARAMAGAMBA KABUDI, AELEZA UTAJIRI WA MKOA WA MOROGORO

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 26 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น • 8

  • @FrenkfrenkFrenkfrenk-sf4hl
    @FrenkfrenkFrenkfrenk-sf4hl 12 วันที่ผ่านมา

    KABUDI nakukubar sana mzee wangu

  • @enockmlyuka6475
    @enockmlyuka6475 14 วันที่ผ่านมา

    Prof. Kabudi is genius, great thinker, and a true Tanzanian patriot! Let's make good use of people of this calibre!

  • @mcpaulmkopa4798
    @mcpaulmkopa4798 17 วันที่ผ่านมา

    Mkoa wangu MOROGORO, Hongera mkuu wetu wa mkoa na viongozi wengine pigeni kazi kuujenga mkoa wetu

  • @LushidulaJidamawi
    @LushidulaJidamawi 8 วันที่ผ่านมา

    Ila kubudi nikiongozi kwanini hapewi ukuu

  • @richardrugemalira6934
    @richardrugemalira6934 13 วันที่ผ่านมา

    Kwa mfano wilaya ya Kilosa uongozi wa wilaya wote imelala, hauna ubunifu kabisa dhidi ya fursa zake hususan mnyororo wa thamani ktk sekta ya Kilimo na ufugaji. Ni aibu kubwa sana. Kila kitu wanasibiri maelekezo kutoka juu.

  • @richardrugemalira6934
    @richardrugemalira6934 13 วันที่ผ่านมา

    Tatizo kwanini mkoa wa Morogoro elimu ni DUNI SANA inatokana na jamii kuwa na extremely WEAK social capital. Wenyeji wa huu mkoa imani yao elimu ni kazi ya serikali 100%. Wenyeji hawaijui thamani na fursa ya mkoa wao. Viongozi huku chini wote wababaishaji

  • @ramdhanichasigwe4473
    @ramdhanichasigwe4473 17 วันที่ผ่านมา

    ni kweli MORO imeshuka kwenye vitu vingi... ni mji mashuhuri sana ndani na nje ya nchi... ukiwa mbali ukisikia MORO na ukifika eneo halisi unagundua ni tofauti ... hata mitandaoni bado maswali ni mengi kama (why morogoro is not a city ?) vitu vingi tumeshuka hata michezo hatuna timu ligi kuu... hali ya barabara zetu ni mbaya... moro inapendwa ndio mji ulioimbwa zaidi na wasanii wa ndani na nje ya nchi... wakuu wafanyeni jambo kwakweli..