SHUKRAN SANA SHEIKH WANGU ,LAKN KATIKA SURA HIYO YA 06 KUNA HERUFI LWAD HAIPO. LAKIN PIA TULIAMBIWA SURAT AL IMRAN IMEBEBA HERUF ZOTE ZA QURAN LAKI NAYO UKIINGALIA HERUFI LWAD HAIPO NA ALFU HAMZA PIA SIION NAOMBA UNAUTUELEWESHE ZAIDI.
ustadhi iyo aya kuna herufi saba azipo ume tueleza iyo aya ya 154 me eneza herufi zote za ABJADI mwanzo wa alifu na yeye nime chunguza kuwa akuna AKHINI, BWADI,DJIMU,KHE,ZEE,TWEE,DHWEE. Jitaidi kutuweka wazi kwa ilo
Kaka fuata sunnah achana na elimu zisizo na mashiko. Hata mi nimetafuta hizi herufi ج خ ز ض ط ظ غ hazipo halafu isitoshe kaiambatanisha hiyo aya na hadithi ya Mtume (saw). Hapo ndipo kina Sheikh Albani wakizitupilia mbali wanaanza kuja juu na kusema nani kampa ruksa ya kudhoofisha hadithi ya Mtume (saw)? Sasa hivi kweli jamani hata tukidanganywa tukubali tu kisa katajwa Mtume?
Assalaam Alaykum Sheikh. Nimekusikiliza kwenye somo hilo la abjad ila aya uliyoitoa ya Surah Al An3am kuna herufi saba hazipo: (ج خ ز ض ط ظ غ ) Na aya yenyewe ni hii: { ثُمَّ ءَاتَیۡنَا مُوسَى ٱلۡكِتَـٰبَ تَمَامًا عَلَى ٱلَّذِیۤ أَحۡسَنَ وَتَفۡصِیلࣰا لِّكُلِّ شَیۡءࣲ وَهُدࣰى وَرَحۡمَةࣰ لَّعَلَّهُم بِلِقَاۤءِ رَبِّهِمۡ یُؤۡمِنُونَ } [Surah Al-An`âm: 154] - Swali? Umeiambatanisha hiyo aya na hadithi ya Mtume (saw) kutokana na utukufu wake kukusanya herufi zote za abjad. Kwa kuwa tumeona hiyo aya haijakusanya herufi zote za abjad je na hiyo hadithi hapo itabaki kuwa sahihi? - Pia niimejaribu kuwauliza masheikh wengi kuhusu mashiko ya idadi za herufi za abjadi kwa mfano (ر=200, س=60, ي=10 )etc. cha ajabu tunaambiwa hatuna elimu. Naomba utufahamishe Sheikh wote tunufaike zimetokea wapi asili yake kwa ushahidi wa Qur'an na Sunnah. Jazaakallahu khayran.
@Rajab Nassor Kaka sijui kama umeisikiliza darsa yake yote aliyoitoa. Amesema Suratul An-A'm Aya ya 154 na akaioanisha Aya hii na hadithi ya Mtume (s.a.w) kwamba ukifika kwenye Aya hii Mtume (s.a.w) anasema fanya maombi. Hata mimi na uchache wangu wa elimu hiyo hadithi siyo sahihi na kama ingekuwa sahihi basi ingeoana na hiyo Aya anayoizungumzia. Pili hiyo Aya ya 3:154 ya Suratul Imran uliyoitaja siyo Aya pekee ndani ya Qur'an iliyokusanya herufi zote za Abjadi. Ipo Aya nyingine ambayo imekusanya herufi zote za Abjadi nayo ni 48:29. Je napo tukifika kwenye Aya hii tupige maombi? Sisi tunapinga elimu kama hizi ambazo hazina mashiko maana huyo Sheikh Ahmad Bawazir ukimsikiliza katika darsa zake anawashambulia wana Sunnah kwamba hawana elimu. Haya hapo Sheikh kachemka vibaya sana na hadithi yake hiyo isiyo sahihi je tumfuate tu kisa kutetea elimu ya uganga? Jamani tufuate Sunnah za Bwana Mtume (s.a.w) hatutopotea!
@@abeidmobile Hiyo siyo aya pekee ambayo imebeba herufi zote za abjad. Soma maelezo yangu vizuri hapo juu. Kisha hutakiwi umsemee Sheikh. Yeye ndio katoa darsa na kaisoma hiyo aya ya Suratul An-A'm kwa kuisisitiza. Sijui kama umeisikiliza darsa yote? Kabla ya kujibu kwanza elewa kilichoelezwa kwa kina kisha ndio ujibu.
SHUKRAN SANA SHEIKH WANGU ,LAKN KATIKA SURA HIYO YA 06 KUNA HERUFI LWAD HAIPO. LAKIN PIA TULIAMBIWA SURAT AL IMRAN IMEBEBA HERUF ZOTE ZA QURAN LAKI NAYO UKIINGALIA HERUFI LWAD HAIPO NA ALFU HAMZA PIA SIION NAOMBA UNAUTUELEWESHE ZAIDI.
Islam is a gift.
Alhamdulillah for Islam.
JazakaAllah sheikh.
Shekhe elimu yako katika hesabu IPO vizur Sana inshallah
Shukran sheikh tunaomba darasa inayofuata. inahaAllah.
Jazakallah Khair Habib wangu. Allah akubarikie
Aaamin
Very helpful education
Maashaallaah uko vizur
Hii mashine
sharif upo vizuri mashallah
Shukran Habib
Shukran
Insha_allah nataman kufahamu uzuli
Bila shaka
Inshallah na utajua tu bi idhni llah kareem
Maashaallah
ustadhi iyo aya kuna herufi saba azipo ume tueleza iyo aya ya 154 me eneza herufi zote za ABJADI mwanzo wa alifu na yeye
nime chunguza kuwa akuna AKHINI, BWADI,DJIMU,KHE,ZEE,TWEE,DHWEE. Jitaidi kutuweka wazi kwa ilo
Kaka fuata sunnah achana na elimu zisizo na mashiko. Hata mi nimetafuta hizi herufi ج خ ز ض ط ظ غ
hazipo halafu isitoshe kaiambatanisha hiyo aya na hadithi ya Mtume (saw). Hapo ndipo kina Sheikh Albani wakizitupilia mbali wanaanza kuja juu na kusema nani kampa ruksa ya kudhoofisha hadithi ya Mtume (saw)? Sasa hivi kweli jamani hata tukidanganywa tukubali tu kisa katajwa Mtume?
Inshaallaah
Inshallah
Shukrani sana kwa somo ila hii namba 5995 inapatikana vipi?
Assalam alaikum,Biasha juma itakua ni idadi gani?
Asalam aleykum shekhe wangu ninamtihan naomba unisaidie
Waalaykum salaam pole sana mtihani gani
Utukufu wa abjad ni Mkubwa Sana lakini Sharif mimi binafsi sijakuelewa hata kidogo .na somo hilo bado aujaliweka sawa.
Inshallah Habib namba zetu zipo usipoelewa uliza tu bila shaka
Assalaam Alaykum Sheikh.
Nimekusikiliza kwenye somo hilo la abjad ila aya uliyoitoa ya Surah Al An3am kuna herufi saba hazipo: (ج خ ز ض ط ظ غ
)
Na aya yenyewe ni hii: { ثُمَّ ءَاتَیۡنَا مُوسَى ٱلۡكِتَـٰبَ تَمَامًا عَلَى ٱلَّذِیۤ أَحۡسَنَ وَتَفۡصِیلࣰا لِّكُلِّ شَیۡءࣲ وَهُدࣰى وَرَحۡمَةࣰ لَّعَلَّهُم بِلِقَاۤءِ رَبِّهِمۡ یُؤۡمِنُونَ }
[Surah Al-An`âm: 154]
- Swali? Umeiambatanisha hiyo aya na hadithi ya Mtume (saw) kutokana na utukufu wake kukusanya herufi zote za abjad. Kwa kuwa tumeona hiyo aya haijakusanya herufi zote za abjad je na hiyo hadithi hapo itabaki kuwa sahihi?
- Pia niimejaribu kuwauliza masheikh wengi kuhusu mashiko ya idadi za herufi za abjadi kwa mfano (ر=200, س=60, ي=10
)etc. cha ajabu tunaambiwa hatuna elimu. Naomba utufahamishe Sheikh wote tunufaike zimetokea wapi asili yake kwa ushahidi wa Qur'an na Sunnah.
Jazaakallahu khayran.
Ni Surat Al-'Imran 3:154 ndio inaherufi zote
@Rajab Nassor Kaka sijui kama umeisikiliza darsa yake yote aliyoitoa. Amesema Suratul An-A'm Aya ya 154 na akaioanisha Aya hii na hadithi ya Mtume (s.a.w) kwamba ukifika kwenye Aya hii Mtume (s.a.w) anasema fanya maombi. Hata mimi na uchache wangu wa elimu hiyo hadithi siyo sahihi na kama ingekuwa sahihi basi ingeoana na hiyo Aya anayoizungumzia.
Pili hiyo Aya ya 3:154 ya Suratul Imran uliyoitaja siyo Aya pekee ndani ya Qur'an iliyokusanya herufi zote za Abjadi. Ipo Aya nyingine ambayo imekusanya herufi zote za Abjadi nayo ni 48:29. Je napo tukifika kwenye Aya hii tupige maombi?
Sisi tunapinga elimu kama hizi ambazo hazina mashiko maana huyo Sheikh Ahmad Bawazir ukimsikiliza katika darsa zake anawashambulia wana Sunnah kwamba hawana elimu. Haya hapo Sheikh kachemka vibaya sana na hadithi yake hiyo isiyo sahihi je tumfuate tu kisa kutetea elimu ya uganga? Jamani tufuate Sunnah za Bwana Mtume (s.a.w) hatutopotea!
Ni sura ya 3 aya 154, imeabza na thumma hapo heruf zote zipo?
@@abeidmobile Hiyo siyo aya pekee ambayo imebeba herufi zote za abjad. Soma maelezo yangu vizuri hapo juu. Kisha hutakiwi umsemee Sheikh. Yeye ndio katoa darsa na kaisoma hiyo aya ya Suratul An-A'm kwa kuisisitiza. Sijui kama umeisikiliza darsa yote? Kabla ya kujibu kwanza elewa kilichoelezwa kwa kina kisha ndio ujibu.
Mh
Jaazakallahulkhari