YOMBO YOUTH SDA CHOIR - MUNGU KWANZA (4K OFFICIAL VIDEO)
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 2 ธ.ค. 2024
- Vitu vya duniani vitapoteza maana yake tukikumbuka tumeazimwa kwa muda mchache. Mungu ni ngao yetu na ngao hutangulizwa mbele, Mungu alikuwepo kabla ya sisi kuwepo na atadumu kuwepo baada ya sisi kuwepo na yeye ndio pekee awezaye huisha maisha yetu. Mfanye Mungu kuwa wa kwanza maishani mwako.
Directed by Vankuva Jackson, a VANPRO STUDIO production. Instrumental by Jacob Mang'ombe.
Wimbo mzuri. Mungu azidi kuwatumia katika muziki
Mengine tanizidishiaaaaa. Mbarikiwe sana Vijana yombo .Tunamwamini tunayemtumikia .
Mmbarikiwe sana wajori
Dah! Nyimbo Taaam Hii Isee....
Good music lives in you guys.
I'm micng u
Mubalikiw kwanyimbo nzur
great God is good
Welcome welcome my Favourite Currently Youth Choir...
So Cake&awesome Song and arrangements.
Be blessed brothers and sisters
Amen
Aaaaaaah
🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾
Wana yombo Mungu awabariki Sana pamoja na mchungaji jakobo
Amina, endelea kubarikiwa pia mtumishi
Very nice song ...Glory to God
🇹🇿🙏🏿💕
Amen