Dully Sykes - Baby Candy (Official Music Video)
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 5 ก.พ. 2025
- #DullySykes #BabyCandy #SlideDigital
Dully Sykes Songs OUT WORLDWIDE ON MAJOR DIGITAL STORES:
Follow Dully Sykes on:
/ princedullysykes
/ dully_sykes
Channel Administered by Slide Digital
Instagram: / slidedigitaltz
Kipindiiko mziki unathamani ata mtu mwenyehishmazake aliweza kusikiliza nahakugomba ddaah mziki nichombo chastarehe ilikua ila sio leo
its 2024 and you searched for this song
Usitafute baby candy. Utafungwa bwana 😂
That's me 😂
❤❤❤
me
Who's Tanzanian still listen this music on 2024 please geather here.
HERE I am
I am a Kenyan and I searched for this song 🎉
You know you are grown when you can relate...love from 254
I still get chills listening to this, I even called my gal back then Baby Candy. Still a banger. Love from Texas
Big up Dullysyx ulitoa ujumbe unaoishi 2025
Wimbo unaburudisha unafundisha
Siku izi tunaimbiwa mtoto kautaka
Mpelekee moto
Dhana ya fasihi kuelimisha na kuburudisha imetoka
Imebak kuburudisha tu kuelimisha tusitegemee kizaz cha wasanii wa sasa
Dully the Mbuzi!!!
Nihatari sana kitambo nakumbuka🔥🔥🔥
Bado nasoma hii nyimbo boy friend wang alikua akiniimbia hii nyimbo du maisha yanaenda kasii sana@@❤
Hizi ndo mambo napendaga jmn bongo fleva we hacha tu
Music is for a lifetime.
This never get old.. it's 2024 and still vibing to this
Damn... Good old days... Kenya loved it
You have saved my girlfriend bro be blessed 2024 listening.
Still playing hit in Sept 2024, who else is there? Good message in it
Tuko wengi
Dully with pancho latino dah noma sana hii kitu
2024 Niko hapa.
Always advice our younger girls do hurry for sexual relationship
Yaaaani,hii kitu ni balaaa
Hii nyimbo niliipenda sana💚💚🎉
My favourite singer all the time 2023 nakuangalia
2024 once again from south 🇿🇦
Still a vibe❤
Among the best songs from Dully with brilliant advice to the school girls
R.I.P home boy Marehemu Pancho kazi nzuri sana ulifanya kwenye huu wimbo.
This was my favourite song till now from high school 2008!!!!!
Old is gold 📌
This song made me crazy Dem days 😅
Rip pancho latino on the beat moja ya beat kali sana
hatari sana
yaani zamani wasanii walikuwa na love za kutosha kwa msanii mwenzao ona video nyingi za zamani Walishowlove sana ktk vichupa vya wenzao
Walikuwa wanaham ya kuonekana kwenye kideo😂
Tu akuombaaaa tupo chini ya miguuu yako tunakuomba uirudie hiyoo nyimbo tena ili waisikie vizuriiii kaka
2024 still loving this
hii nyimbo na situation ya vitoto vya elfu mbili in match kabisa, kaka alioona mbali sana
😂😂😂😂😂😂😂
hahahahhahahaha
Hatari sana
Dull sykes is my favourite artist in East Africa. Them day's, he real hyped up the floor with this song ❤😅😅it was crazy and the hype was real 😂😂
Nilikua secondary nakumbuka foleni za mabasi kutoka shule huu wimbo unatoka mvua na shida ya daladala kurudi home
From tegeta High school to Temeke best days of my life. What a song
Tegeta High School💥💥
2025 gonna like hapa😅😅😅😅😅😅😅😅❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
🎉...2025...this guy was a vibe
2025 first man to play like if u luv dully
Duly popo ulipo mimi nipo
In 24" this is still a banger..guy was ahead of his time nostalgic memories
Stivo ni msanii Wetu TANZANIA wenu ni diamond platinumz😊😊
Huyu jamaa alikuwa nomaa....siku hizi hata sijui kimetokea nn?
walokuja hap 2025 ebu chekwanza
😂😂😂
Ngoma kali kwa kweli😊
BONGO FLEVA, YA KWETU PEKEE❤
Ww Dully ww..👉👏🙌 🔥
Hizi enzi siwez zisahau ❤
Nakpenda sana hii ngoma
Nov 2024 still a heat
Nitaka niwe w kwnz kikombe kukivunja
Hii Ngoma ni Kali inanikumbusha inzi za kitambo aisee
Hii ngoma inanikumbusha mbali Safi Sana broo dulli
This song baby candy will never fade..ma y of diamond song has faded but this one no nooo way!!is a hit..dully love from Kenya
Duuu hii song kitambo Sana
baby candy
Oyaa watoto wasome mapenzi baadae😂😂
Hawa wasenge walikua wanaimba bhana aiseee achana na huu utopolo wa watoto wa 2000
Oy hil bonge la ngoma machizi
❤❤❤
😢daah nyimbo za kitambo haziishi utamu yaani
My favorite ❤
Dec 2024 🇰🇪
I remember my girlfriend back then in highschool. Would always remind me of her whenever I listened to it tukienda home for holidays...Thank God we ended up together 😂
Madiluuuu hyoo watoto wa mkwaaa huseni, watoto wamakambi subi hatariii sound silver bullett😂😂😂
Wee Dully lakini ni R.Kelly wa Tanzania 🇹🇿 😅😂 Yani hii 2024 ndio nimejua mtoto wa shule bro 😅🤣😂 anyway hii ngoma niliipenda sana now I have listened to the lyrics vizuri
Yanga kuvanowe waiyo, waiyoo dobidobi.....hatar sana much respect to konde boy
Wa Congo , wa bongo , tanga mupo, kogoma oh yeah.
Legend dully syks 🔥🔥🔥
Hii ngoma Kuma make nili kuwa nataka kwenda kunya lakin mavi yenyewe yame Rudi tumboni kwa mdundo huu
Dully nyimbo zake Sina tibu strees
This song 🥰🥰 i was stupid in love by then with a guy way much older than me and he used to sing this for me.... Memories 🤦♀️
Ngoma bado inakita🎉🎉❤
Bonge la meseji
Aa ! Jaman tuachen nipo kidato cha 2 huniambii kitu mkomboz 2003 iyo from hedaru
Hiiiii Ngoma imetulia sana
Hii nyimbo inanikumbusha mbali sana!!duly bdo nasoma nimekumbuka mbalii sana!! Pamojaa
Back for this
Jigi hug na love ❤️ sheeeeeesh 🔥 🙈 🤤
Mkali wao
moto August 2024
I'm watching it in 2024 ❤ #tellaaxistz
Piga Remix ya hii ngoma sahii tena....2024
Here in August 2024🔥
Legend
Mshikaji alikuwa anatoa mawe aisee
Who’s around here 2025
Tupooo😂😂😂
Wimbo bado unahiti mpaka sasa
🔥🔥
Wangapi tumemuona chid benz
Hatareee sana🔥🔥🔥💚💛
Legend dully
❤
When was this?
I'm here listening 2025
Rest in peace baby kendi
Kumbe arikufa uyu demu
Ee nimeishi nae dodoma alikua jirani yangu ana miaka Kama miwili kafariki
Bigap sana
yes
2024🔥🔥🔥🔥🔥
Now
😊
Baby usilie
Mi najua wazo lako
Ni kuwa na mimi leo mpaka kufa (baby Candy usilie)
Nenda shule kwanza
Halafu mambo ya love ndo baadae yatafuata
Usione nadharau
Hata mimi nakungoja baby Candy
Wala sijakusahau
Bado nakupenda usione sikupendi (baby usilie)
Umetoroka kwenu
Umenifuata home
Usiniponze Candy
Rudi kwenu Dom
Unataka tu-spend jigi, hug na rom
U-study mapenzi yatazidi ka ya dili ya niko
Kwa mwingine siendi
We ni zaidi ya utamu
Na ngoja ufike age
Mpaka moya msimamu
Itakuwa afadhali, rahisi kuja kwangu kwa room
Pia uache tabia zako za kutaka kunywa sumu
Nayafuta machozi
Acha kulia Candy
Nitakupa mapenzi
Utapokuwa na age
Takua upate umri wa ku-spend na mi
Usije ukanifungisha nikashangaza jamii
Baby usilie
Mi najua wazo lako
Ni kuwa na mimi leo mpaka kufa (baby Candy usilie)
Nenda shule kwanza
Halafu mambo ya love ndo baadae yatafuata
Usione nadharau
Hata mimi nakungoja baby Candy
Wala sijakusahau
Bado nakupenda usione sikupendi (baby usilie)
Sio kwamba sikupendi
We bado mdogo sana
Sikia baby Candy
Mi nakupenda sana
Nangoja ukue kwanza
Twaweza kuoana
Nataka niwe wa kwanza
Kikombe kukivunja
Wacha kulia sana
Unanisononesha
Mi nakusihi sana
Pia nakukumbusha
Rudi shuleni soma
Kwani bado mapema
Usije pata homa
Kwa kuniwaza mama
Hata rafiki zangu
Watanitenga pia
Na itakuwa kashfa kwangu
Hata kwako pia dear
Nadhani umenisikia
Yote nilokwambia
Wacha kulia lia
Wacha kulia lia
Baby usilie
Mi najua wazo lako
Ni kuwa na mimi leo mpaka kufa (baby Candy usilie)
Nenda shule kwanza
Halafu mambo ya love ndo baadae yatafuata
Usione nadharau
Hata mimi nakungoja baby Candy
Wala sijakusahau
Bado nakupenda usione sikupendi (baby usilie)
Baby Candy
Si kwamba sikupendi
Nangoja ukue, umalize shule
Tuta-spend, tuta-spend
Baby usilie
Mi najua wazo lako
Ni kuwa na mimi leo mpaka kufa (baby Candy usilie)
Nenda shule kwanza
Halafu mambo ya love ndo baadae yatafuata
Usione nadharau
Hata mimi nakungoja baby Candy
Wala sijakusahau
Bado nakupenda usione sikupendi (baby usilie)
Baby usilie
Mi najua wazo lako
Ni kuwa na mimi leo mpaka kufa (baby Candy usilie)
Nenda shule kwanza
Halafu mambo ya love ndo baadae yatafuata
Usione nadharau
Hata mimi nakungoja baby Candy
Wala sijakusahau
Bado nakupenda usione sikupendi (baby usilie
2024
June 2024
Kitambo sana