MURO: UNTOUCHABLE! REKODI ZA YANGA CAF ZAMBEBA PACOME/ CHAMA KUMBE KASAINI YANGA? SA ITAKUAJE!!

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 30 ก.ย. 2024
  • #tpmazembe #timuyawananchi #tpmazembe #rajacasablanca #daimambelenyumamwiko #daimond #timuyawananchi #mkapastadium #sisco #milladayo #tanzania #utalii #simba #simbafans #tff #caf #yanga #michelo #mbwaduke #gsm #nbcsports #nbcsports #sportspesa #feitoto #tpmazembe #robertinho #rajacasablanca #mbet #phiri #baleke #bocco #ntibazonkiza #tanzania #live #livestream #trendingshorts #manara #teamindia #nguvumoNukuu#mamelodi

ความคิดเห็น • 13

  • @WilliamJoel-kz2jv
    @WilliamJoel-kz2jv 3 หลายเดือนก่อน +3

    Kama unaikubari data sports gonga 👍

  • @ShafiiHungo
    @ShafiiHungo 3 หลายเดือนก่อน +1

    Kwangu mm pacome yuko juu chama atakaa benchi

  • @ernestjohnbosco2053
    @ernestjohnbosco2053 3 หลายเดือนก่อน +1

    Mm naondoka na pacome mana ni mtu asiekata Tamaa na pia hana hasira mchezoni

  • @MaulidMaulid-i2p
    @MaulidMaulid-i2p 3 หลายเดือนก่อน +1

    Mimi kama mimi naondoka na pacome

  • @dietrichoswald34
    @dietrichoswald34 3 หลายเดือนก่อน +2

    Wacha data za msimu uliopita ziongee. Wote walikuwa champions league. Chama amecheza hadi robo fainali, wakati Pacome aliishia makundi, bado data zinampa pacome nafasi bora kuliko chama. Wote ni wachezaji walio na uwezo wakuamua matokeo ktk mechi ngumu, kama ilivyokuwa kwa chama mechi dhidi ya power dynamo ,chama aliweza kuamua matokeo kwa kurudisha mabao ma2 waliokuw wamefungwa hafu ya kwanza. Pacome naye aliamua matokeo mechi ya Al ahly kwa goli bora na akilu kubwa dakika za jioooni, pia dhidi ya Mediama mechi zote home & away alifunga. Ikiwa tulichokiona inadvisable ni 30% ya uwezo wa pacome tarajia makubwa zaidi kutoka kwa pacome.

    • @jimmybrownkabingabinga9008
      @jimmybrownkabingabinga9008 3 หลายเดือนก่อน

      Eti chama aliishia makundi....ulikuwa hujazaliwa bado? Simba walivuka makundi na Asec Mimosas (Wydad na Galaxy walitoka) waliishia robo fainali kwa kutolewa na Al Ahly ya Misri. Jifunzeni kuwa wanamichezo wazuri.

    • @ernestjohnbosco2053
      @ernestjohnbosco2053 3 หลายเดือนก่อน

      Nakubali kabisa Pacome jembe

  • @PaiivanMustafa
    @PaiivanMustafa 3 หลายเดือนก่อน

    Bloo congratulations we hujawahi kuukosea mpira

  • @jumaalimohd6967
    @jumaalimohd6967 3 หลายเดือนก่อน +1

    Naondoka na Pacome

  • @KenedyMhagama
    @KenedyMhagama 3 หลายเดือนก่อน

    Oyaaa naondoka na profesa zuzwa

  • @RAGHIBMOHAMMED-p6m
    @RAGHIBMOHAMMED-p6m 3 หลายเดือนก่อน

    Asanteee muro

  • @chochotekitu-hf6of
    @chochotekitu-hf6of 3 หลายเดือนก่อน

    Mi ntaenda na saidoo ntibayokiza

    • @robertphilip385
      @robertphilip385 3 หลายเดือนก่อน

      Upeleke wapi huyo garasha